Hivi kwanini Serikali isiajiri wahitimu wote kama wanavyoajiri walimu na kada zingine za afya bila interview?

Ukienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kazi
Sio kweli mkuu wengine tusingeajiliwa ndo maana watoto wa maskini tunaomba ajira zote ziendelee kupitia psrs uzuri wa utumishi ukipigwa unajua na ukionewa pia unajua
 
Ukienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kazi
Mimi sija

Mimi sijakataa Mkuu ila kama hivyo niliomba kazii Tra nimeitwa kwenye usailii vpy hiyo pesa ninayo nisaidie nanii nimpelekee hiyo hela ilii anipee kazii
 
Ukienda kuomba kazi serikalini au hata sehemu zisizo za serikali lazima utangulize kwanza pesa ndo upate kazi skuiz hakuna vya bure hata kwenye majeshi lazima utoe pesa ili upate kazi
Na utumishi p

Na utumishi pia niliomba kazii mkuu nasubiriaa kuitwaa kwenye usailii naomba unisaidiee nani nimpelekee pesa ili anipee kazii maake kazi naitakaa
 
Nenda kwenye ofisi ya utumishi wa uma tafuta mtu mwaminifu mfanye mipango ili upate kazi la sivyo hutopata kazi
 
Huyo mtu mwaminifu utamjuaje mkuu Kwa hiyo unamaanisha hta hizo ajira za TRA hakuna atayepataa bila connection mkuu
Ndiyo kaka watu wapo pale ongea nao vizuri upate kazi mie kuna ndugu yangu juzi kati imenitoka milioni 2 ili apate kazi jeshini asiv yupo kusini huko anakula maisha
 
TRA inataka custom officers II wapatao 24 tu

Walioomba nafasi hizo 24 ni 12,332

Lazima rungu la interview liwapopoe kwanza ili kuleta fair competition platform

Kila la kheri mtakaoanza interview za TRA kesho Jumapili
Mzee..... Adjee
Nakuona na mambo ya Tax.... TRAT&TRAB
 
Back
Top Bottom