Recent content by Ipananga kulwa

  1. Ipananga kulwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aibu mwanamke wa kizazi hiki kuwa gogo kitandani

    #though nimemkumnja hivyo hivyo#
  2. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Brighter Monday kwa hili hamko sahihi...!!!

    Aisee hao jamaa ni wapuuzi saana ...dogo awe anatuma kwenye emeli za kampuni husika.....
  3. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Sasa mimi nilijua unatumbia kumbe unatuuliza?
  4. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa Serikali ya Magufuli

    Naona umejimilikisha kazi ya Sammy Awami wa BBC
  5. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Angekuja aingie mtaa wa Samora Posta afaulu ...ila kwa sasa amefeeeeeeli
  6. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi latoa Tathmini ya Mashambulizi ya Marekani na washirika wake kwa Syria

    Mfumo wa Syria wa Kujilinda dhidi ya Makombora umewekwa na Urusi kwa kuwa na maslahi kwa Assad..... Wachambuzi wa Mambo wanasema kuwa ingawa ni wa Kizamani ( Baada ya vita ya Pili ya Dunia ) lakini bado una Nguvu saana kufanya kazi ndio maana maeneo yaliyolengwa hakuwa na madhara makubwa...
  7. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vita kubwa kuibuka baina ya NA TO na Urusi?!!

    Sasa ww huoni haya ni maoni ya mtu binafsi?
  8. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania North Korea Imekuwa Superpower Country

    Haijajulikana ...na Japan inaona kama haijashorikishwa sasa inataka kushiriki
  9. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Rais wa Syria akimbomoa mwandishi wa Marekani

    Hahaaa mwandishi ameenda na kaushahid cha kutengeneza na wamarekani ( FBI) ...halafu mshkaji kumbe anamcheki anacheka hihihiiiii
  10. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania North Korea Imekuwa Superpower Country

    Kuna taarifa zinasema kuwa utafanyikia kwenye meli ya kivita ya kimataifa ...hawataki ifanyikie kwenye eneo lolote lenye wanajeshi wa Marekani, Urusi , China Korea au Japan
  11. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania North Korea Imekuwa Superpower Country

    Pompey = × Mike Pompeo=√✓
  12. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Ahsante dokta nitafanya hivyo
  13. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Mkuu nina shida ya meno kufa ganzi nikinywa soda aina ya pepis na nikitumia dawa ya meno ile white dent nyeupe shida ni nini?
  14. Ipananga kulwa

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu magonjwa ya kisaikolojia, dalili,tabia na mifano.(Case study Tanzania)

    Ahsante saana mengine yananihusu mengine hayanihusu
Back
Top Bottom