North Korea Imekuwa Superpower Country

North Korea Imekuwa Superpower Country

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,086
Baada ya Korea Kaskazini kufanya majaribio ya kuonyesha inauwezo wa kufanya mashambulizi ya kupiga bomu la nyuklia sehemu yeyote Marekani na Ulaya sasa ni rasmi nchi imejiunga rasmi kwenye nchi zenye uwezo wa kuwa na silaha ya nyuklia.
Rais wa China anategemewa kufanya ziara na kukutana na Rais Kim Un Jong huko Pyongyang. Mkurugenzi mteule wa CIA Pompey alifanya ziara mwanzoni mwa mwezi huu na kufanya mazungumzo na Rais Kim Un Jong katika kufanya matayarisho ya mkutano unaotegemewa kufanya mwezi May kati ya Rais Donald Trump na Kim Un Jong.
 
Kwaiyo mkutano utafanyika Pyongyang au Washington?
 
Marekan anamgwaya kiduku mwenye nyuklia na akili za kiwendawazimu.
 
Baada ya Korea Kaskazini kufanya majaribio ya kuonyesha inauwezo wa kufanya mashambulizi ya kupiga bomu la nyuklia sehemu yeyote Marekani na Ulaya sasa ni rasmi nchi imejiunga rasmi kwenye nchi zenye uwezo wa kuwa na silaha ya nyuklia.
Rais wa China anategemewa kufanya ziara na kukutana na Rais Kim Un Jong huko Pyongyang. Mkurugenzi mteule wa CIA Pompey alifanya ziara mwanzoni mwa mwezi huu na kufanya mazungumzo na Rais Kim Un Jong katika kufanya matayarisho ya mkutano unaotegemewa kufanya mwezi May kati ya Rais Donald Trump na Kim Un Jong.
Pompey = × Mike Pompeo=√✓
 
Hawa jamaa wataisaidia dunia kuondoa ujeuri wa USA ikidhani ndio pekee yenye HATI NA HAKI MILIKI ya silaha za nuclear na utaalamu wa hayo mambo. Kama Rais KIM UN JONG asingekuwa na uwezo huo unadhani Rais mjeuri wa USA Trump angeota hata kuongea naye!? USA imesha ona nguvu na uwezo wa hili Taifa ndio maana wameomba wakutane waongee kiutu uzima yaishe vinginevyo ni shida tu.
 
Back
Top Bottom