AUTISM: USONJINaomba shule ya huu ugonjwa/hali inayoitwa Autism. Ni ugonjwa gani huu? unasababishwa na nini? Madhara ya ugonjwa huu? Ushauri wa kitaalamu kuhusiana na malezi, makuzi na taaluma kwa watoto wenye hali hii na mengineyo muhimu unayoweza kutuelimisha.
Asante
Naomba shule ya huu ugonjwa/hali inayoitwa Autism. Ni ugonjwa gani huu? unasababishwa na nini? Madhara ya ugonjwa huu? Ushauri wa kitaalamu kuhusiana na malezi, makuzi na taaluma kwa watoto wenye hali hii na mengineyo muhimu unayoweza kutuelimisha.
Asante
Kumekuwa na ongezeko
AUTISM: USONJI
Usonji ni tatizo linalo jitokeza mapema kipindi cha utoto. Ambao mtoto hua na vijitabia ambavyo hua ni tofauti na watoto wengine.
Usonji:
Hufanya mtoto kua na tabia ya kujitenga, kutotaka kua karibu na watu,(impaired social interaction)
Mtoto hupata matatizo ya lugha na shida ya mawasiliano na hua na tabia ya kurudia rudia kitu anachokifanya Mara nyingi.(restricive repetitive behaviour)
Mara nyingi wazazi hugundua tatizo hili kipindi cha miaka mwili na kuendelea.
Lakini dactari ana nafasi kubwa ya kugundua tatizo hili kwanzia siku saba tangu mtoto azaliwe kwa kutazama mboni ya macho ya mtoto.
Kwa hali hiyo wazazi/walezi wapelekeni watoto wenu kwenye vituo vya afya pale mnapowaona watoto wanakua na vijitabia tofauti na wenzao.
CHANZO CHA TATIZO.
Chanzo cha tatizo hili ukweli msweet hakijulikani. Ila kuna matatizo ya kijenitic(neurodeveropmental disorder) ndio huhusishwa zaidi na tatizo hili.
Lakini pia kuna mambo mengine yanaweza kuhusishwa na tatizo hili kama.
1 Maambukizi ya Rubella
2 Matumizi ya Pombe wakati wa ujauzito
3 Matumizi ya Madawa ya kulevya aina ya cocaine wakati wa ujauzito.
4 Sababu za kimazingira.
Yote hayo huhusishwa na tatizo hili la autism ama usonji
DALILI
Dalili za tatizo hili Mara nyingi hua ni dalili za kimatendo, ambazo ni
1 kupiga piga mikono
2 kutikisa tikisa kichwa Mara kwa Mara na kujibilingisha mwili.
3 kupanga vitu kwa mpangilio kuelekea juu
4 Kuosha mikono Mara kwa Mara
5 Kung'ang'ania vitu visihamishwe. (Vile anavyotaka yeye kitu kiwe basi iwe hivyo).
6 kutotamka maneno ya kitoto mpaka anapotimiza umri wa mwaka mmoja.
7 kushindwa kupunga mkono(waving gesturing etc.)mpaka miezi 12
8 kushindwa kutamka neno lolote mpaka kufikia miezi 16
9 kutotamka maneno mawili kwa pamoja au sentesi mpaka miezi 24
10 kupoteza uwezo wa kuongea.
UGUNDUZI
Kama nilivyosema hapo juu Daktari ana uwezo mkubwa wa kugundua Tatizo hili.
Kwa kuhusisha akili mwili na matendo. Mwisho daktari huweza kuamua kumfanya mtoto uchunguzi wa kijenitic.
MATIBABU.
Familia ya mtoto mwenye autism(usonji) huitaji kuelimishwa zaidi jinsi ya kuishi na mtoto huyo pamoja na kusaidiwa katika malezi yake.
Kimsingi tatizo hili halitibiki moja kwa moja ni muhimu mtoto kupata tiba ya kitabia
Uchambuzi wa tabia (ABA) kutumia utaalam wa kisaikolojia kufundisha na kuwahusisha na Jamii
Kuboresha mawasiliano na usimamizi wa kitabia
Matibabu na elimu ya usonji kwa watoto wenye ulemavu( TEACCH)
Jambo jingine ambalo ni muhimu ni kuelimisha Jamii juu ya watoto wenye usonji na kuwaelimisha jinsi ya kuishi nao na kuwaanzishia matibabu hayo mapema.
Msweet umekua msaada mkubwa sasa kwa Jamii.
Kwa kuuliza maswali ambayo Jamii imekua ikielimika sasa. Hivyo kwa swali hilo nimatumaini yangu umeelimika. Karibu tena.
Kuna Pm yako.Habari ndugu Atwoki
Kama hautojali ningependa nijue unafanya kazi gani na mda unaopumzika!
Mkuu MTU ambaye alikuwa mzima gafla akawa awezi kutembea kusikia na kuona vizuri akijaribu kutembea akanyagi Bali ana tupa miguuKama kichwa kinavyosema hapo nakaribisha maswali yanayo husu afya
Dr nilichomjibu bwana idriss ni sahihi?..halafu dawa nzuri ya fangasi ni ipi maana inanisumbuaHabari ndugu Bilionea.
Je hali hizo huambatana na kushindwa kuongea vizuri?
Mkuu nina shida ya meno kufa ganzi nikinywa soda aina ya pepis na nikitumia dawa ya meno ile white dent nyeupe shida ni nini?Kama kichwa kinavyosema hapo nakaribisha maswali yanayo husu afya
Umemjibu sahih.i Na Uko sahihi kabisa bwana feyzal HIV haikai kwenye mate. Lakini yako maelezo ya ziada hapa ingawa huko juu sikuingia ndani sana.Dr nilichomjibu bwana idriss ni sahihi?..halafu dawa nzuri ya fangasi ni ipi maana inanisumbua
Dr hebu zungumzia na hilo la mate,machozi na jasho tupate kujua tusije tukaungua kirahisi...halafu nimewahi kusikia kuna mdada aliishi na mume kwa miaka 2 but mwanaume ni HIV + na yule dada alikua ajui mpaka alipozaa mtoto ndo akakuta vidonge....ila cha ajabu yeye hakupata ikasemekana sababu ni kwa kuwa mwanaume alikuwa anatumia dawa je,hii ikoje hebu fafanua tupate elimu ndugu maana hali inatisha huku mtaaniUmemjibu sahih.i Na Uko sahihi kabisa bwana feyzal HIV haikai kwenye mate. Lakini yako maelezo ya ziada hapa ingawa huko juu sikuingia ndani sana.
Ni kwamba virusi vya HIV hushambulia zaidi kinga ya mwili White blood cells kwa hiyo kokote kwenye chembe nyeupe za damu tegemea uwepo wa virusi hivi.
Kwa hiyo virusi vya HIV vitapatikana kwenye maji maji yanayozilinda Mbegu za kiume (semen) na kwenye maji maji ya uke.
Kwani maji maji hayo pia humkinga mwanamke asipate maambukizi.
Au kwa msemo mwingine yana chembe chembe za kinga ambazo humlinda mwanamke.
Tukija kwenye damu. Pia na kwenyewe lazima kuwe na virusi. Kwakua damu ni muunganiko wa chembe yekundu nyeupe nk.
Kunapokuwepo michubuko sehemu za siri, mtu ni rahisi kupata maambukizi kutokana na sababu nilizozitaja nasio lazima kuwepo na damu.
Kwani maji maji hayo yanayotoka sehemu za siri yana chembe kinga ambazo zinaweza kua zimeambatana na virusi.
Mi nisemetu kwamba kama humuamini mpenzi wako, ni vema ukapungunza madoido ambayo yanaweza kupelekea michubuko.
Kutokana na hilo ndio maana kuna ugunduzi mpya wa kondom ambayo Mtu anaivaa kama boxer.
Ili kuweza kupungua chances za maambukizi endapo mtu mwenye AIDs atakua amefikia kwenye critical level.
Kuna uwezekano pia kupatikana Virusi kwenye Mate, Jasho na hata kwenye machozi. Ingawa hili sijapenda kulizungumzia zaidi hapa.
Kwani ninaweza zua mjadala mzito.
Kwa mwenye ufahamu atambue hili.
Mate Jasho Machozi, vimebeba chembe ambazo ni kinga. Na ukasoma huko juu kwamba virusi hushambulia kinga za mwili. Na mate Jasho na machozi ndani yake kuna chembe za kinga "majibu utakua nayo"
Lakini lamsingi hapa ni kua makini. Hii mambo mambo ya wazungu isije ikaleta shida!.............Mtu huvaa condom pale anapoitaji kuingiza uume ndani ya uke. Huku akiwa kalamba au kalambwa sehemu za siri. Ambako ndiko huko kuna yale maji yenye virusi!........anakua kisha chelewaaa! Au mmwuum mmwuum mmwum.tayari mwisha badirishana mate. Tena bila kuthibitisha kama michubuko ipo sehemu zote mbili yani myonyaji na nyonywaji Ni hatari
Bwana feyzal hayo mambo mi naona tuliachie beberu lambuzi ingawa nadhani hata na lenyewe hua lina wasiwasi maana kabla ya kulamba lina puliza kwanza na likilamba linapuliza tena.
Je kuna watu wana shida ya ukosefu wa nguvu za kiume zoezi hilo wanaruhusiwa kufanya?Service ya uume iko namna hii ndugu flulanga. kwanza kabisa kwakua ulikua hufanyi service hiyo. Hapo inakubidi ufanye kama ifuatavyo Chukua mafuta yoyote lakini isiwe gliselin mafuta ya kujipaka sio losheni. Hakikisha uume uwe hauja simama halafu paka uume wote mafuta hayo, kisha vingirisha kiganja chako cha mkono wa kulia anza kua kama unaukamua uume kwa kuanzia kwenye shina kuja kichwani ongeza kasi ya kubana mkono ili uweze kuisukuma damu kuileta kwenye kichwa fanya hivyo kama dakika tano hakikisha lakini uume uwe haujasima ukihisi kama unataka kusima acha ushuke kisha endelea ukikamilisha dakika tano tulia uache uume urilax kama nusu saa kisha uoshe uume vizuri kuondoa mafuta baada ya hapo Chukua maji moto ambayo unaweza kuoga bila shida weka ndani ya chombo kisha chukua kitambaa cha pamba kisha ingia bafuni kikunje kiwe kinene kama tauro hivi kisha kitambaa hicho kichovyeshe kwenye maji hayo yenye motomoto kiasi. Kisha kitandaze kitambaa hicho kwenye mkono wa kulia Halafu mkono huo ushike uume wako uvingirishe mkono kama ulivyofanya mwanzo uanze kukanda taratibu taratibu Fanya hivyo kama dakika kumi baada ya hapo utakua umemaliza. Kumbuka zoezi la kwanza la mafuta ni la kuimarisha mishipa ya uume pamoja na kuinyoosha ili damu iweze kufika kwenye kichwa pia zoezi hilo linafanya uume uwe mkubwa napia kichwa cha uume kitakua na umbo zuri la kufanya mwenziwako awe enjoyerble wakati wa sex. zoezi la pili ni la kuzibua mishipa na kuondoa mabaki mabaki ya shahawa ambayo hua yamejishikiza kwenye mrija pindi uume unapokua umefeli katikati ya tendo hivyo kufanya mrija kua mwembamba hali hiyo ambayo huifanya mishipa ya uume isiwe fleksible wakati wa kukutana.Pia sasa jenga mazoea kila unapokwenda kukojoa uugawe mkojo Mara tatu. Usikojoe moja kwa moja kama mbuzi kufanya hivyo kutakufanya isiwe unafika kileleni haraka. Kingine kila unapomaliza kukutana hakikidha umeenda kukojoa mkojo wa kawaida ili kuondoa mabaki ya shahawa ambayo yakibaki humo husababisha stons kwenye bleder Mpaka hapo ndugu utakua umenufaika vya kutosha na wale wanaoufatilia mnyororo huu. Karbu tena by Dr.Nkingwa
Habari ndugu:Habari yako doctor? Mm na tatizo naomba msaada wako, nmetokewa na uvimbe mdogo kama size ya harage shingoni upande wa kulia sahivi umetimiza mwezi ulikuwa hauumi ila wiki hii nmeanza kupata maumivu ya shingo upande ulipo uvimbe naomba unisaidie doctor uvimbe huu unatokana na nini na tiba yake maana hospital nilienda wakaangalia tu wakaniambia ni kawaida sijui mshipa wa damu umeshtuka nikapotezea sababu nilikuwa sipati maumivu ila sahv nimeanza kupata maumivu alafu uvimbe una mwezi sasa ila hauishi