Recent content by interlacustrineregion

  1. interlacustrineregion

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyo Giroud alikuwa anatengenezewanafasi nyingi tu pale Arsenal, final assist passes 10 anaweka goli 1 na kibaya zaidi hajui kukaba na hataki hata kukaba. Akiingiaga tu huyo Giroud huwa nahesabu timu ya Chelsea inacheza pungufu/wachezaji 10 badala ya 11.
  2. interlacustrineregion

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelsea si striker tu ndiyo tatizo, hivi huoni hata kwa akili ya kawaida sana pengo la Hazard na Fabregas lipo ktk kutengeneza pasi za mwisho kushinda ili mechi? Mara mia wacheze akina Werner watatu kuliko Giroud/Tammy mmoja.
  3. interlacustrineregion

    Ifike hatua niachwe tu!

    Tatizo si kupia kimoja bali hata akipiga hizo 3/4 atarejesha vipi virutubisho na nguvu alizopoteza baada ya starehe au ndiyo kwaaanza ataenda kushindia mihogo iliyokaangwa na kachumbali akishushia na maji?
  4. interlacustrineregion

    Dunia haiishiwi vituko, kuna wanaoutumia uchawi kama starehe

    Si kila mcha Mungu ni mtakatifu wa Mungu/muumba mbingu na nchi la hasha! bali wengine ni mawakala wa shetani. Mungu mwenyewe anaeleza ktk biblia kuwa ana watakatifu wake hapa duniani, we ni nani hata umpinge yeye?
  5. interlacustrineregion

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huuu upumbavu wa Zouma kurudisha ga mpira kwa Kipa hata bila sababu ya msingi huwa unanichanganya sana, sijui akili yake huwa haina maamuzi ya kuupiga mpira mbele au kuutoa nnje inapobidi asipourudisha kwa Kipa? Yani hiyo staili yake huwa inaniboa sana kwa asilimia kubwa tu, tofauti na mabeki...
  6. interlacustrineregion

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Uko sahihi kabisa kwa 100%, Mabosi wa UEFA ndiyo wanufaika wakubwa sana kimaslahi kuliko uhalisia wa klabu husika ambazo zingepaswa kunufaika pia. Yani malipo ya ubingwa wa UEFA unakaribia mara 2 ya bingwa wa EPL? hivi hawa viongozi wa UEFA wako makini kabisa na win-win economic principles au...
  7. interlacustrineregion

    Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

    We mwamba mtu akitaka kubishana nawe kwa hoja ktk soka inabidi ajipange haswaaa...maana uko vizuri kuliko maelezo Chifu. Heshima kwako mkuu.
  8. interlacustrineregion

    Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

    Mbali na swala la pesa pia Pep hutembelea timu ambazo zilikuwa moto sana kimafanikio ndipo hushuka hapo na rundo lake la pesa kisha kujificha kwenye kichaka cha pasi nyingi ili kuonekana kocha mzuri. Mfano: Alipoenda Barcelona ilikuwa ya moto chini ya kocha Rijkard ikiwa imetoka kutwa kombe la...
  9. interlacustrineregion

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wakati mwingine "baniani mbaya kiatu chake dawa ", huoni huoni huko kutuchelewesha kwake kumechangia TT kuwa daraja la kuwa Kocha mkuu Chelsea FC na wachezaji waliosajiliwa na FL ndiyo hao hao wanazaa matunda kimafanikiao?
  10. interlacustrineregion

    Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

    Mungu akubariki sana kwa shuhuda ulizotoa hapa Chifu.
  11. interlacustrineregion

    Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

    d Hiii dunia hii ina mafumbo mengi sana juu ya maisha yetu sisi Binadamu. Bil ya kumtegemea Mungu kwa kumshirikisha kwa kila kitu, mafanikio ni ndoto za mchana kabisa. Nimekumbuka 2019 July, yule Mchungaji M-Nigeria Msabato aliyekuwa akihubiri ktk makambi alipata pigo zito sana baada ya...
  12. interlacustrineregion

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huna tofauti na mimi Chifu, uvumilivu ukizidi ndipo chanzo cha cancer, BP, vidonda vya tumbo na hata kupelekea kuparalaizi. Pole sana Chifu, usisite kuhama timu uje Chelsea, Man U, Man City au hata PSG, R.Madrid na Bayern Munich sababu mtu haruhusiwi kuhama kabila pekee lkn vingine inapobidi ni...
  13. interlacustrineregion

    Screen Protector kwenye simu ni aina nyingine ya Upigaji

    Ebu niibie A, B C kuhusu OPPO maana nahitaji kununua hiyo simu hivi punde kwa udi na uvumba. OPPO ipi ni bora sana zinazokimbiza/on fire kiubora kwa sasa?
  14. interlacustrineregion

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sikuingia ktk official website ya Chelsea FC kujua alipatwa na majeruhi yapi labda wadau watakusaidia kujibu hapa jamvini
Back
Top Bottom