Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa mchezaji mmoja mmoja Arsenal haistahili kuwa nje ya top 10 je tatizo ni nini ?tatizo ni Kocha hana vision na kaishiwa mbinu mfano wa timu kama West ham Leicester Everton zinagombania top 4 sisi tumekwama wapi?naona board sababu ya ubahili inataka kuendelea na Arteta but I am telling you EPL ya sasa sio ya mwaka 80
Niliongea last week kuwa Arsenal mpaka sasa natambua haina kocha ila ina baadhi ya wachezaji wazuri na hao wachezaji wakiwa kwemye good Mood ni balaa na wakiwa off Mood hutaamini unachokiona kwenye TV yako but nani wa kulaumiwa?ni Arteta yeye ndiye kakabidhiwa timu ila naona Arsenal inacheza kutokana na experience binafsi za wachezaji hana vision sasa ana tofauti gani na mimi shabiki mfano nkipewa timu?anyway naapa mimi Arsenal akibeba EUROPA league NTAKUNYA kutoka posta hadi Mwenge kwa kikosi hiki trust me!Nawatakia weekend njema wana Gunners wenzangu!kwa ushindi wa Sare wa leo!Natunza Comment yangu!
 
VAR itatuua yaani leo tumekosa ushindi kutokana na maamzi ya VAR.
GOLI tulilofunga lilikuwa clean kabisa safi bado hata goli la kusawazisha wameona aibu tu ndo wakakubali.
Tuendelee kuijenga timu yetu na kuipenda daima.
We are the gunners forever.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Nilisema kabla timu hazijaingia uwanjani kwamba kile hakikuwa kikosi cha ushindi, often times arteta goes for idiotic decisions
 
VAR itatuua yaani leo tumekosa ushindi kutokana na maamzi ya VAR.
GOLI tulilofunga lilikuwa clean kabisa safi bado hata goli la kusawazisha wameona aibu tu ndo wakakubali.
Tuendelee kuijenga timu yetu na kuipenda daima.
We are the gunners forever.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Jamani tusitafute mchawi ni nani ,VAR sio mchawi wetu ,kiwango chetu hafifu ndio kimetufikisha hapa na next season usitegemee Arsenal kuwa TOP 10,itakuwa BOTTOM HALF,Arsenal msimu wote huu kwenye kushindania trophies zote hawajahi kuwa kwenye kiwango kuanzia EPL mpaka Europa na katika hatua za mtoano hakuna mechi tulizoshinda zote either tumefungwa au sare na kushinda na Arsenal sababu ya ubahili Arteta ataendelea kuwa kocha na hana presha kwenye hilo ,huo ndio ukweli na hata semi final ya Europa hatashinda mechi zote dhidi ya Villareal
 
Hili li timu huwezi amini kama kweli lipo nusu fainali ya ueropa league
 
Niliongea last week kuwa Arsenal mpaka sasa natambua haina kocha ila ina baadhi ya wachezaji wazuri na hao wachezaji wakiwa kwemye good Mood ni balaa na wakiwa off Mood hutaamini unachokiona kwenye TV yako but nani wa kulaumiwa?ni Arteta yeye ndiye kakabidhiwa timu ila naona Arsenal inacheza kutokana na experience binafsi za wachezaji hana vision sasa ana tofauti gani na mimi shabiki mfano nkipewa timu?anyway naapa mimi Arsenal akibeba EUROPA league NTAKUNYA kutoka posta hadi Mwenge kwa kikosi hiki trust me!Nawatakia weekend njema wana Gunners wenzangu!kwa ushindi wa Sare wa leo!Natunza Comment yangu!
Brother unanikosha sana.

Hahahaahahahahaha, utakunya kweli???
 
Nilivyomuona Pablo yupo nje, wameanza Gabriel na Bellerin nikajua leo kazi ipo na kweli shughuli tumeipata, kocha huyu Mungu amrehemu ajitambue, anaforce watu tumtukane bila sababu za msingi

Timu ingeshinda leo tungekuwa na point 48 na juu yetu yupo Everton mwenye 49 pia mechi ijayo tunakutana, mwingine juu yupo Spurs ana point 50, ht kama kafocus Europa league akumbuke kuna bad day kama kilichotukuta BAKU, tatizo la huyu kocha sijui nini yani kutuanzishia kina El neny wasio visionary
 
VIPI BADO HAMJAFUKUZA KOCHA HAPA...
20210418_194450.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Niliongea last week kuwa Arsenal mpaka sasa natambua haina kocha ila ina baadhi ya wachezaji wazuri na hao wachezaji wakiwa kwemye good Mood ni balaa na wakiwa off Mood hutaamini unachokiona kwenye TV yako but nani wa kulaumiwa?ni Arteta yeye ndiye kakabidhiwa timu ila naona Arsenal inacheza kutokana na experience binafsi za wachezaji hana vision sasa ana tofauti gani na mimi shabiki mfano nkipewa timu?anyway naapa mimi Arsenal akibeba EUROPA league NTAKUNYA kutoka posta hadi Mwenge kwa kikosi hiki trust me!Nawatakia weekend njema wana Gunners wenzangu!kwa ushindi wa Sare wa leo!Natunza Comment yangu!
Huna tofauti na mimi Chifu, uvumilivu ukizidi ndipo chanzo cha cancer, BP, vidonda vya tumbo na hata kupelekea kuparalaizi.

Pole sana Chifu, usisite kuhama timu uje Chelsea, Man U, Man City au hata PSG, R.Madrid na Bayern Munich sababu mtu haruhusiwi kuhama kabila pekee lkn vingine inapobidi ni heri ujitoe kimya kimya.
 
Back
Top Bottom