Recent content by instagramboy

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kesho madereva wana kikao

    Hv wnzetu bado hawajang'olewa kucha
  2. I

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mieleka/wrestling, mchezo au maigizo

    Mmeshaambiwa ni ENTERTAINMENT... kama ilivyo movie n.k... Kimsing yale ni maigizo... Siyo mambo ya kweli
  3. I

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Kajaribu kwanza then tuletee matokeo
  4. I

    JamiiForums Tanzania National ID vs vyeti feki

    Kwan sisi hatuna majina ya ukoo?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

    Ukiahd tu mahakama ya kadhi basi umezoea kura zote za waislam dah waislam wanatuchelewesha sana kusonga mbele tehhh.. Wanahadaika mno
  6. I

    JamiiForums Tanzania Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

    Hii statistic ya uongo. Nijuavyo mimi ronaldo amecheza nying kuliko messi. Kuna kipindi messi alikuwa hachezi kama unakumbuka.... Sasa hz 36 zmietoka wapi????
  7. I

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

    Unaweza kujiona.kama umeandika kitu cha maana ila kimsingi umeandika utumbo...:confused:
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

    Tehhhhhhhhhh ningekuwa na meno ninvemfungia 10 yrs
  9. I

    JamiiForums Tanzania Mkapa na Mzee Mwinyi hamuitendei haki nchi

    Yan mwzi amkemee mwizi... How?
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mazoea ya kujambajamba kwa mabosi

    Kujamba si tatizo.ila kujamba mbele za watu si adabu na wala si vema.. Hata jandon wanafundsha kuwa.. Ukijisikia kujamba nenda pemben.jamba ila si mbele.za watu
  11. I

    JamiiForums Tanzania Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Sasa hapo kanisa limechafuka au padre amechafuka? Kwa.hyo namimi nikifumaniwa kanisa linachafuka?? unadhan huko mbinguni dhambi za mmoja zinaunganishwa na wengine?? Kila mtu anavuna anachopanda.
  12. I

    JamiiForums Tanzania NSSF, mbona Mafao yenu kiduchu kuliko wenzenu?

    Ahahah hawa NSSF hela wanayozalisha nying wanakaa nayo tofaut na mfuko kama PSPF ambyo inatumia hela kulipa mafao
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

    Ahahahha umemuweza. Jamaa anatutungia stori
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Uso kwa uso na shemeji gesti

    Hajasema anampenda mchepuko kwa ajili ya hela.. Kasema walipendana tangu chuo.. Lakn akaleteww mke amwoe
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelamba mchepuko wa dingi, hautaki tuachane

    Kwa hyo ni sifa au ujinga?
Back
Top Bottom