National ID vs vyeti feki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

National ID vs vyeti feki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jonii Mtoaroho, Mar 1, 2012.

 1. Jonii Mtoaroho

  Jonii Mtoaroho Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kueleweshwa ule mradi wa vitambulisho vya utaifa utafanyaje kazi?
  Je kutakuwa na central computerized database? na kama utakuwa hivyo utafanyaje kazi wakati kuna wazalendo kibao wanaotumia eidha vyeti vya magumash au majina ya watu wengine?. Ninachojua km taarifa za watu wawili zinafanana kwa kitu, mfumo lazima utachanganyikiwa na kung'ang'ania kuwatema hao watu hadi data ziwekwe sawa!
   
 2. R

  Renegade JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Na wewe mmojawapo nini mpaka uogope?
   
 3. mamLook

  mamLook Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  its a point of criticism, BUT
  u still need to digest hard the mechanism (watakazotumia) of fetch out duplicates, identicals, forgery and other

  kwani Bongo ikitokea majina matatu yamefanana, na nyote mna valid ID's, nini kitatumika kutofautisha ?

  waarabu wana majina ya ukoo, westerners wanatumia nicknames or so kuziba pengo hili


  -lets wait and see the world
   
 4. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mmeanza kuweweseka eeh?
   
 5. luck

  luck JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 768
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80

  Hii kitu ni posibo kwa zanzibar kutokana na mfumo wa majina yao mfano unaweza kuta kuna watu kadhaa wanaoitwa Said Juma Ally
   
 6. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Katika uwekaji wa kumbukumbu has matumizi ya IT, hapa nazungumzia "Database Management System" /"Database Systems", majina hayatumiki kama kitambuzi (identifier). Kwenye database kila ingizo linakuwa na namba ya pekee (Unique identifer) ambayo hujulikana kwa lugha ya kitaalamu kama "Primary Key". Primary key ni namba ambayo itamtambulisha mtu kwenye system. Kwa hiyo hata kama wapo John Massanja ishirini, kila ingizo litakuwa na namba yake tofauti. Ndiyo kusema kwamba Kila ID itakuwa na namba yake. Vilevile Database inaweza kutunza taarifa zingine kama vile "finger prints" au "Biometrics ID" kwa hiyo ni rahisi kutambulika.

  Sasa ikiwa majina yanafanana na unataka kuhakiki kama mtu katumia cheti cha shule cha mtu mwingine hapo ni lazima kila mtu alete "original certificate" ya vyeti vyake vya shule/au cheti cha kuzaliwa. Ikiwa vinafanana kwa namba ya cheti, majina, umri na shule walizosoma, then hapo ndo utajua kuwa kuna mushkeli. Vinginevyo hata huko mashuleni aau vyuoni, kuna watu wana majina yanafanana. Kinachowatofautisha ni Registration number.
   
 7. luck

  luck JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 768
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  Nimeziona hizo form za kupatia hiyo ID, zinahitaji hizi taarifa pia
   
 8. w

  wa hapahapa JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2015
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 5,548
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  NIDA wanasuasua maana wengi wataumbuka kwa vyeti bandia... wakiishi ktk wasifu wa watu wengne.
   
 9. kazikwanza1981

  kazikwanza1981 JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2015
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,580
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Yaani asipoelewa hapa tena basi huyo hana nia ya kuelewa. Umemcgambulia mpaka mambo ya Primary Keys, ungemuongezea kabisa na Foreign Keys kisha ungemmalizia na Data Type. Dah umenikumbusha sana kipindi hiko cha utotoni nasoma Computer Science mambo ya SQL Server na MySql ahaha.
   
 10. i

  instagramboy JF-Expert Member

  #10
  May 17, 2015
  Joined: Oct 16, 2014
  Messages: 1,528
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kwan sisi hatuna majina ya ukoo?
   
Loading...