Standard inabadilika Miaka na miaka. Swali moja Arsenal ishawah kubeba kombe lolote lile lilo chini ya Uefa. Wewe unazaliwa mpaka unazeeka hujawahi kushuhudia. Timu zote kubwa zimebeba kasoro Arsenal....Wachezaji wenu wa bei rahisi usitegemee akakupa makombe ya uefa....Mnarekodi ya kupepa...
Arsenal miaka na miaka wanajenga timu.Kwa kikosi kile msitegemee kubeba ubingwa wowote.Chelsea ni Club pekee London yenye mataji yote yaliyo chini ya Uefaa.Arsenal tangu inaanzishwa mpaka sasa haijawahi kubeba taji lolote la Uefa.Kai HAVERT na Kepa ni wachezaji waliyobeba Uefa kushinda kocha...
Hapo kuna mtu anasubiria ajae kwenye Mfumo. Dunia ilitegemea majibu makali kutoka America ila wamejibu simple tu. Walitegemea Iran kulipiza kisasi na walijipanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.