Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,521
Nadhani ukizaliwa Mtanzania basi unaqualify direct kuwa mchambuzi wa mpira, kama tungetumia mfano wa Pep kutumia mpira kuyaelewa maisha nafikiri nchi isingekuwa masikini. Wanasemaga education is knowledge, that means education is about knowing somethig, kwa msemo huu 90% ya Watanzania tuna elimu ya mpira, mbaya ni kwamba elimu yetu ni kuhusu mpira wa timu moja tu, The Mighty Arsenal.
kipindi cha nyuma wachambuzi humu walituaminisha Arsenal haiwezi kuqualify michuano ya Champions league based on their database lakini leo tunacheza against Real Madrid/ Psg kwenye hatua ya semis, now standard imebadilika kuwa The mighty arsenal hatuwezi kuchukua ubingwa.
Wakati Guardiola anatumia mpira kuyaelewa maisha, mimi natumia mpira kuelewa Cognitive bias inavyo influence mentality of the masses, kuthibitisha how blindspots zinavyo affect decision making. #Coyg.