Mlitegemea Dr. Slaa hatakwenda Kigoma kama mlivyotoa matamko yenu, magazeti yenu ye Uhuru, Jambo leo, Hoja n.k yakiandika kuwa Dr. hatakwenda KG. Aibu ya mwaka imewakuta sasa mnakuta na stori za CDM yakodi vijana kumshangilia Dr. Slaa. By the way neno lolote ukiweka kwenye I/Cs halimaanishi kile...
Chris,
Una uhakika na unayoyasema kuhusu wanawake wa Kikurya? Baada ya kurudi kwa b**nako CCM umekuwa wa kuongelea single zenu za ukabila. Unabahati unabeba mabox Uingereza ningekusubiri utembelee Nyamwaga au Muriba nikuonyeshe wanaume wakikasirika wanafanya nini.
Faizafox,
Sijui kama nimepatia jina lenyewe, umeonyesha kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka zaidi ya 18 anaruhusiwa kubakwa na kuambukizwa UKIMWI? kweli CCM mmeishiwa sera mmebaki kubahatisha maisha, mara muue Tembo mara muuze madawa ya kulevya nk.
Hila za CCM hazitaweza kushinda, namuomba ZZK asome tu alama za nyakati asing'ang'anie vitu visivyo na tija kwa msitakabali wa maisha yake kisiasa. You either have to defect to CCM or come back with a truly and objective apology.
TZ inazidi kudolola kimaendeleo kwa ajili ya mawazo mgando kama haya (mtu akiwa na wazazi wawili llazima mseme! Kanda ya ziwa tunafuata uzao wa baba na siyo mama.
Dr. Dr. Dr. Kikwete, wewe ni kiongozi wa nchi inayoitwa Tanzania na mtawala wa nchi inayoitwa Tanzania. Sifa moja kubwa ya kiongozi ni kuwasikiliza wananchi wake wanataka lasilimali zao zitumike vipi na wapi. Ukoloni bado unaendelea TZ wa Almasi kuchimbwa Mwadui kiwanda kinajengwa Iringa? Umeme...
Ukifuatilia kwa umakini utagundua kuwa hakuna uharifu bila polisi kushiriki. Kumekuwepo na tuhuma nyingi na za wazi kuwa hata ujambazi polisi wanakuwa na taarifa ni wapi wizi utatokea na muda gani, hivyo wanajipanga kwenda eneo la tukio baada ya muda huo. Bangi na madawa mengine ya kulevya...
Mkuu MMASSY, umemmaliza mbwembwe zote, umempa hadi mawasiliano ya ziada ambayo hakuyahitaji na labda alifikiri umejificha. Tunamsubiri aje na mbwembwe nyingine tena.
Mimi naomba waendelee na mpango wao bila kuegemea CDM. Ndo maana Wasira alisema kwa mdomo mpana kuwa CDM itakufa kabla ya 2015. Mungu kawaumbua kajipangeni upya. Zitto, waweza kujibu hizi tuhuma?
fmpiganaji, hili gazeti haliwezi hata siku moja kuiandika vizuri CDM kwa sababu ndio waliomfanya bosi wao ajiuzuru ubunge wa Igunga. Lakini pia 'Profesa' J. aliimba "ili nifanikiwe ninahitaji marafiki, ili nifanikiwe zaidi nahitaji maadui. Maadui wa CDM wamekuwa wakitoa mchango mkubwa sana (japo...
Namkubali MM kwa makala zake mbali mbali, anao uhuru wa kimawazo pamoja na uhuru mwingine wowote kama binadamu. Ila kila mwanadamu ana utashi wake na ni vigumu kuwahi kupenda kitu halafu ukakichukia ghafla, labda uwe umefanyiwa kitu ambacho hakisameheki.
MM ni mwana NYINYIEM, hivyo ataendelea...
Hata kama ni UNDP wametoa data si lazima ziwe sahihi. Kwani mara ngapi TZ imesifiwa na mabepali kuwa inapaa katika maendeleo kwa Africa. Wamesema tumepunguza vifo vya watoto, vijana na akina mama, kulinganisha na wenzetu Kenya na Rwanda ambao kiuchumi hatuwakaribii hata kidogo. Kuna uhusiano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.