wapi maelekezo ya uteuzi wa tundu lissu na kutemwa kwa mabere marando?. vipi kuhusu mishahara au ni posho tu.umesema mnatuma pesa mikoani mbona kila anayetoka anasema hamtumi mf waraka wa mkulima maskini .cc makene tumain
Umejibu nini sasa mbona haujasema wakurugenzi wanalipwa kiasi gani, halafu kulikuwa na haja gani kutaja mikoa wanaotoka wakati hoja ilikuwa mbona wote ni
Wakirsto, rudi ujibu.
Wewe ni miongoni mwa waliovurugwa, kichwa kinakuuma sana, ukiangalia uzi wa kwanza mpaka wa Mwisho ni maombolezo ya kifo cha dada yako uliyempenda chadema.Acha kuwa na akili za nguruwe wewe!!
Kama unajua kuchambua hoja ungeonyesha ni hoja ipi ya Chitanda haikujibiwa!
Unakimbilia kupost utadhani unaharisha kipindupindu mxxx!!
Kwenye press ya Baregu hakukuwa na hoja ya kujibiwa kwakuwa yeye alikuwa anatoa maoni yake au ushauri kwa chama!
Tumia akili acha kuwa na kichwa cha nguruwe
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mchagulie wewe basimnyika anatoka mwanza na kilimanjaro. mbona mnaficha anakotoka mama yake.
acheni hizo mtoto mwenye wazazi toka sehemu tofauti inabidi museme.
Mkuu Makene tunashukuru kwa kazi nzuri ya kujibu kwa wakati mwafaka, hii imekuwa ndani ya masaa yasiyopungua sita
Huu ndio uwajibikaji wa chama kinachojiandaa kushika dola
Watanzania bogus kama wewe ndo mtaendelea kuimba nyimbo za Zitto lkn wanaojielewa kama sisi wala hatudanganyiki na uendawazimu huo!nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Wewe ni miongoni mwa waliovurugwa, kichwa kinakuuma sana, ukiangalia uzi wa kwanza mpaka wa Mwisho ni maombolezo ya kifo cha dada yako uliyempenda chadema.
Pole Mungi hiyo ndio Impact ya siasa za ubaguzi na Makundi.
*kUMBUKA:
MGOGORO HUU KWAKUWA UNAMGUSA ZITTO MTU AMBAYE ALIKUWA NA MCHANGO MKUBWA NDANI YA CHAMA LAZIMA CHAMA CHAKO KIATHIRIKE TU, HAMTABAKI SALAMA, NAKUANDAA KISAIKOLOJIA USIJE UKASHIKA TAMA PASI NA MAJIBU.
MTAANI KUMECHAFUKA "hoja ni byebye ya chadema"
POLE SANA KAKA MUNGI KUWADI MWAMINIFU.
Lumumba
Chadema inaendelea kujipambanua Kama chama cha KIKRISTO na hii haina ubishi... hats tikitumia propaganda zipi ukweli ndio huo. Kwa kuwa tatizo lipo lazima ku- leverage mambo. No way!!. Historia ya Uhuru isiachwe nyuma. Kinyume chake hatufiki....
You are a SLAA. google uijuwe maana yake.
nyinyi kama mnataka kuona watanzania nn watafanya uchaguzi 2015...mvueni uwanachama zitto kabwe ....mimi binafsi sio mwanachama wa chadema wala ccm ila ni mfuasi wa mabadiliko nchi na nimetokea kuvutiwa na chama chenu kwa ssbabu ya zitto kabwe nikiwa kama kijana mwenye njaa ya maendeleo ya nchi...nikiamini vijana wengi wako kama mimi...kuwepo kwake kama mbunge kumebadilisha mfumo mzima wa kufanya siasa hapa tz..hakuna mwanasiasa kama zitto kwenye karne hii anajua kugusa tabaka kuu la watanzania nikimanisha vijana kama mimi...nafatilia hii isue kwa makini sna ...nawashauri chadema kumrushisha zitto kwenye nafasi yake kama kweli unataka kushinda 2015...bila zito hata haya majimbo ya mjini uliyoyachukua ninahuhakika yatarudi ccm...zitto is my hero....
Wajinga ndiyo mliwao na juli nyerere alikuwa anajua kama wajinga msioona na kufikiri pia hamuwezi. Kwa taarifa yako hayo maneno siyo orijino ya juli nyerere na hapo kama kawaida yake alikuwa anadesa. Alikuwa ana-"paraphrase" maneno ya His imperial majesty. King Selasie Haile I of Ethiopia ambayo aliyasema New York katika mtutano wa United Nations 1963.
"...until the philosophy which holds one race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned: That until there are no longer first-class and second class citizens of any nation; That until the color of a man's skin is of no more significance than the color of his eyes; That until the basic human rights are equally guaranteed to all without regard to race; That until that day, the dream of lasting peace and world citizenship and the rule of international morality will remain but a fleeting illusion, to be pursued but never attained; And until the ignoble and unhappy regimes that hold our brothers in Angola, in Mozambique and in South Africa in subhuman bondage have been toppled and destroyed; Until bigotry and prejudice and malicious and inhuman self-interest have been replaced by understanding and tolerance and good-will; Until all Africans stand and speak as free beings, equal in the eyes of all men, as they are in the eyes of Heaven; Until that day, the African continent will not know peace. We Africans will fight, if necessary, and we know that we shall win, as we are confident in the victory of good over evil..."
Mnadhania kupayuka payuka ni dalili ya utu uzima? Nyerere hakuwa hivyo mnavyojidanganya kwamba alikuwa.
Mkuu, mbona sasa kwenye hiyo nukuu ya Haille Selase hakuna hayo maneno tunayozungumzia?
Hebu nifafanulie kidogo.
Chadema ni mpango wa Mungu haiwezi kufa kwa binadamu kama wewe kutishia! Wachawi wote watapukutika na kitaendelea kupendwa zaidi!
kinajiandaa kwenda wap? wewe yericko ulipost waraka wa siri wa cdm ili kumchafua zitto lakini Mungu yupo atakuhukumu na wanafiki wenzako mnaokaa nao kwenye vikao vya siri vya kumchafua zitto. endeleeni kutuharibia chama ila mbele ya safari mtaumia kama tulivyoumia kwa usaliti wenu.