CHADEMA yakodi vijana kumshangilia Dr Slaa

Tangu nizaliwe sijawahi kulisikia hili gazeti naona limeamua kuandika habari hii ili liuze kwa maCCM

MKUU, kuna magazeti mengi sana Tanzania tena ni mazuri kuliko Tanzania Daima. miongoni mwa hayo magazeti ni gazeti la Hoja
 
Nyie haohao mlikuwa mnasema kapigwa marufuku kukanyaga kigoma, sasa haohao mnasema kakodi vijana kumshangilia, unategemea nani atakueleweni na kukuamini kwa kauli hizi za ukigeugeu? Yaani aliye kupiga marufuku akubali umkodi! hiki ni kichekesho cha mwaka.

Jamani hebu tendeeni nchi hii mema kwa kuisaidia kupata angalau vyama viwili vya siasa vinavyo simamia maslahi ya wananchi wote hasa maskini na walalahoi. Hivi hata kama ndio mnaendesha maisha yenu kwa hizi propaganda mtapungukiwa nini kama mtafanya propaganda za kistarabu.

Kwa nini mnapanda uharibufu katika nchi hii? Ya wezekana wewe haikudhuru lakini huna ndugu? huna watoto? huna rafiki? Apandaye uharibifu hakika atavuna uharibifu hakuna mbadala wa hapo.

Someni maneno haya ya Mungu: Make it your aim to do what is right, not what is evil, so that you may live. Hebu tubuni mbadilike muisaidie hii nchi yetu kabla haija angamia.
 
Chabruma, Lizaboni, Lilambo .....kwa msiojua hivi ni vijiji/mitaa ya songea kwa hiyo hizi ID zote ni za mtu 1 asiye na kazi mjini anayeishi kwa nguvu za keyboard mzee usisahau kufungua ID nyingine kwa jina la Kigonsera, mbinga na kuendelea hadi Mbamba bay
 
Kila mnachofikilia kitakuwa kwa cdm ndiicho sicho kinakuwa. Mlifikiri vijana watakinzana na Dr. Slaa badala yake wakampokea kwa ukarimu, mkafikiri cdm inakufa kumbe ndo inauishwa...poleni watumishi wa Lumumba b7.
 
kweli babu Slaa nôoomàa,kawakamata maccm pabaya,eti kakodi washangiliaji!
Si muweke picha walivyosombwa?
Eti,baadaà ya kukosa watu ndo kaaùa kukodi,huo mda ulipatikana lini màana mnalalama kuwa alifika mkutanon kwa kujichelewesha?
PIGA KAZI CDM,
PIGA KAZI SLÀA mpaka maccm ya abort mimba za kifisadi
 
Chabruma, Lizaboni, Lilambo .....kwa msiojua hivi ni vijiji/mitaa ya songea kwa hiyo hizi ID zote ni za mtu 1 asiye na kazi mjini anayeishi kwa nguvu za keyboard mzee usisahau kufungua ID nyingine kwa jina la Kigonsera, mbinga na kuendelea hadi Mbamba bay

Poamoja sana mkuu. Lakini sidhani kama hoja yako ina mantiki. watu wapumbavu hujadili watu badala ya kujadili hoja
 
Nyie haohao mlikuwa mnasema kapigwa marufuku kukanyaga kigoma, sasa haohao mnasema kakodi vijana kumshangilia, unategemea nani atakueleweni na kukuamini kwa kauli hizi za ukigeugeu? Yaani aliye kupiga marufuku akubali umkodi! hiki ni kichekesho cha mwaka.

Jamani hebu tendeeni nchi hii mema kwa kuisaidia kupata angalau vyama viwili vya siasa vinavyo simamia maslahi ya wananchi wote hasa maskini na walalahoi. Hivi hata kama ndio mnaendesha maisha yenu kwa hizi propaganda mtapungukiwa nini kama mtafanya propaganda za kistarabu.

Kwa nini mnapanda uharibufu katika nchi hii? Ya wezekana wewe haikudhuru lakini huna ndugu? huna watoto? huna rafiki? Apandaye uharibifu hakika atavuna uharibifu hakuna mbadala wa hapo.

Someni maneno haya ya Mungu: Make it your aim to do what is right, not what is evil, so that you may live. Hebu tubuni mbadilike muisaidie hii nchi yetu kabla haija angamia.

Wasipokuelewa haya yatimie: wajichimbie kabuiri wenyewe, watakuws sikio la kufa...
 
Kwa sasa chadema wanahangaika wala hawajui wafanye nini miongoni mwao kweli zitto kawashika mbowe na slaa hata kuruka hawawezi tena.
 
Mlitegemea Dr. Slaa hatakwenda Kigoma kama mlivyotoa matamko yenu, magazeti yenu ye Uhuru, Jambo leo, Hoja n.k yakiandika kuwa Dr. hatakwenda KG. Aibu ya mwaka imewakuta sasa mnakuta na stori za CDM yakodi vijana kumshangilia Dr. Slaa. By the way neno lolote ukiweka kwenye I/Cs halimaanishi kile ambacho neno lenyewe linamaanisha kama likiwa nje.
Wape vidonge Dr. Slaa watameza tu mwishowe.
 
ila tunakoenda siko siasa yetu dhahili haija komaa, vijembe na matusi si misingi ya siasa komavu, cha msingi saana naona ni sera na utekelezaji wake, haya yatatubagua watanzania wote ambao bila kujua kumbe tuna nia moja ya kuwa na tanzania yenye maendeleo ya kweli. Vipi izi nia za kufikia lengo hili zitubague, kweli wote tuna nia moja? au kunatofauti hapa? na kwanini kuwepo tofauti? chanzo nini? chanzo ni pesa ambazo wachache wanaendelea kuzila wakati wengi wakiteseka na maisha magumu yasiyo na matumaini yoyote baadae. kwanini WANANCHI tubaguane, utukanane? tuache... uache jamani ni vyema alieshikilia popote ambapo anaona salama aendelee kung'ang'ania akingojea kile ambacho anakinojea. hii ni cold war, it inpact is difficult to realise it now but it will inter even to our social relations such as marriage, apa kuna jamaa wana ambiana hiyo ni cdm ya chumbani, what cdm ya chumbani will impact the society huko huko chumbani. tuache majibizano yasiyo ya msingi na tushikamane na sera za vyama vyetu. asanteni kwa kunisikiliza
 
dada Chabruma,

na wewe ni mbeya kwelikweli.
Wadau, imedhihirika kuwa CHADEMA wamekuja na mbinu zile zile walizokuwa wanadai kuwa ni za CCM za kukodi malori kupeleka watu kwenye mikutano. Hayo yamejitokeza kwenye mkutano wa Dr Slaa uliofanyika huko Kahama mara baada ya babu Slaa kukosa watu wa kumpokea na kumshangilia hasa baada ya vijana wengi kutoridhishwa na maamuzi ya CC ya kumvua uanachama ZITTO KABWE. Imedhihirika pia kuwa hata huko Kigoma hali hiyo imejitokeza. Hii ni dhahiri kuwa CHADEMA sasa imeshakufa na tukio la kumvua uongozi ZITTO KABWE limekifanya chama hicho kukosa mvuto kwa vijana.

Nawasilisha.

Hivi kwa akili zenu mnadhani kujaza threads za hisia zenu juu ya CDM humu JF kunaweza kuwabadilisha wasomaji kutoka kwenye mapenzi yao kwa CDM na hata kuwa mashabiki wenu?
 
Back
Top Bottom