Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

kuwa specific, kipengele kipi cha matumizi ni cha kifisadi? DSA ya 80,000 ni ndogo sana. mie ndio nilianza nayo serikalini miaka 5 iliyopita
 
Hahahahaha

ccm mbna waoga sana

et wanalalamikia posho????
Au drslaa kufanya ziara

mhhhh,ccm mtakufa cku si zenu
 
Naona sawa wanastahili Posho kama ipo. Hizo ni pesa ndogo sana ukilinganisha na posho wanaopewa Watumishi wakuu wa vyama vingine vya siasa. Kazi ya kuhubiri siasa za upinzani ni ngumu na inahitaji moyo wa kujitolea. Asipouza Sera zake kwa wananchi tutajuaje wanachofanya? Upinzani nchi hii umekuwa chachu Serikali iliyo madarakani kuwajibika na kuleta ahueni kwa Watanzania. Migogoro yao ya ndani tuwaachie wenyewe wanaCDM. Big Up Dr Slaa na team yako.
 
Dk Slaa alisema pia kuwa Chadema kitatumia wabunge wake kuibana Serikali kuhusu Fedha za ruzuku ya kilimo zinazotolewa kwa ajiri ya maendeleo ya kilimo lakini zimekuwa zikatafunwa na wajanja wachache"source Mwananchi leo
Angalizo,sialalishi wizi,na sipendi wezi kuwaita wajanja,Je Slaa yupo tayali kuwajibika sababu utafanaji olela wa ruzuku ndani ya CDM
 
Leka tutigite..... mlisema CDM ni chama cha msimu, sasa mmeshikwa kwenye nyonga mmeanga kulegea mnatoka mapovu kwa uongo. Go Slaa go
 
Ndiyo maana Dr. Slaa bajeti yake kubwa maana hali chakula na wananchi. Anajifungia kwenye hotel kubwa na Josephine.

What is the level of your education? Ulitaka ajifungie na wewe? Jamani angalieni tena hizo ToR mlizopewa za kufanya kazi. Zinaonekana zilitengenezwa na watu walioandikiwa dissertation kama wamewahi kufika chuo kikuu.
 
The good thing Dr. Slaa anapiga kazi compared to bwana Kinana na ndugu nape anae waimbisha watu ule wimbo tuliimba zaman "Tanzaia*3aaaa nakupenda kwa moyo wote........." wakat jua kali then wanapiga posho ya hatari.....
 
Mkuu, mtu akizoea kuiba, akibanwa sana nje atajaribu kumuibia hata mke wake. haya ndo anayoyafanya dr slaa
Kama ni kweli una uchungu na pesa za ruzuku, tuletee na matumizi ya Lumumba tuone maana huu mwezi wa pili sasa Kinana, Asha-Rose na Nepi wanazunguka mikoani!!
 
Kiasi alichitaja huyu MCCM ni kiasi kidogo cha fedha kwa ziara kama hii. Hivi kwa akili yako ulitaka Kiongozi Mkuu wa chama atumie elfu 40? Kwa taarifa yako amekuja mkoa wa Kigoma na sisi tumechanga fedha nyingine kwa ajili ya kufanikisha ziara hii. Kumbuka, tena iingie akilini mwako, kiasi ulichotaja na kuanisha matumizi hayo ni kidogo.

Tunapojenga chama chetu gharama hizo ni justified. Hapa kwetu Kasulu hotel yenye hadhi ya DR.SLAA inalipiwa zaidi ya elfu 50 kwa malazi ya siku moja.

KINACHOKUUMA KWA MATUMIZI YA FEDHA ZETU NI NINI?


Jaribu kuona rais wako anavyofanya ziara za ng'ambo na msafara wa watu lukuki, hutumia kiasi gani kwa ziara? Tuwe realistic na tuache umbumbu!
 
Si kweli kwa ada ya post yako.mfanyakazi tu wakawaida posho ni 65,000 mpaka 90,000.dr slaa ametumia 80,000 per day.hufisadi hapo huko wap?tatizo lako hujui maana ya ufisadi,posho ya dr ni ndogo sana kwa status yake ya ukatibu mkuu na hadhi yake ya kuwa rais wa taifa hili.Budget ya ziara yake iko chini mno kulinganisha na kazi anayofanya.UNAJUA KINANA PAMOJA NA SECRETARY YAKE WANAKULA SHILLING NGAPI KWA SIKU KWA ZIARA YAO YA KUTEMBELEA WANACHAMA TANZANIA NZIMA?JUMLISHA NA PESA YA KUKODI MAROLI YA KUBEBA WANANCHI VIJIJNI NA KUWALISHA WALI,UNAJUA NI SH NGAP?
 
[FONT=lucida
console]Ndiyo maana Dr. Slaa bajeti yake kubwa maana hali chakula na
wananchi. Anajifungia kwenye hotel kubwa na Josephine.
[/FONT]

unataka akukodie hotel ili ulale naye? acha siasa za kitoto; utapelekwa Mombasa!!!
 
Kiasi alichitaja huyu MCCM
ni kiasi kidogo cha fedha kwa ziara kama hii. Hivi kwa akili yako
ulitaka Kiongozi Mkuu wa chama atumie elfu 40? Kwa taarifa yako amekuja
mkoa wa Kigoma na sisi tumechanga fedha nyingine kwa ajili ya
kufanikisha ziara hii. Kumbuka, tena iingie akilini mwako, kiasi
ulichotaja na kuanisha matumizi hayo ni kidogo.

Tunapojenga chama chetu gharama hizo ni justified. Hapa kwetu Kasulu
hotel yenye hadhi ya DR.SLAA inalipiwa zaidi ya elfu 50 kwa malazi ya
siku moja.

KINACHOKUUMA KWA MATUMIZI YA FEDHA ZETU NI NINI?


Jaribu kuona rais wako anavyofanya ziara za ng'ambo na msafara wa watu
lukuki, hutumia kiasi gani kwa ziara? Tuwe realistic na tuache
umbumbu!

Yatajuaje haya maccm; ipo kama mikia tu...
 
umeiona CV ya mbowe?

Sio CV ya Mbowe tu, bali nimeshaziona na CVs za Winston Churchill, John Major, Luiz Lula da Silva na wengine wa aina yao. Na wote hao kikwete wenu hawafikii hata 10% kwa management skills!
 

Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom