Uongozi wa chuo kikuu cha Dar es salaam umetangaza kufungua chuo kuanzia tarehe 14 mwezi huu. Wakati huo huo, wanafunzi 56 wamesimamishwa chuo, wengi wao wakiwa ni viongozi wa serikali za wanafunzi toka UDSM, MZUMBE, na UCLAS.
Asilimia 41.2 waliweza kutimiza masharti yote tisa, wakati...