Recent content by IMBOMBONGAFU

  1. I

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Malawi?

    Ni vita tu ndo itatoa solution..hakuna cha mahakama wala vikao vya nini sijuhi
  2. I

    JamiiForums Tanzania Waraka - Uraia Ndumila kuwili (Dual Citizenship)

    Duh we ndo prime minister wa UK amewambia tuwape ka uhuru?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Waraka - Uraia Ndumila kuwili (Dual Citizenship)

    Kama kawaida Tatizo la Watanzania WIVU NA UBINAFSI.Watu wangi wanafikiri watu wa Marekani watafaidika..jamani sio kila jambo linaweza kufaidisha watu wote.Kuna watu hawana watoto na hawategemei kupata watoto lakini si wanashiriki kujenga shule?.Sisi uku Kyela tunautaka sana maana kuna watoto...
  4. I

    JamiiForums Tanzania UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

    Hivi tuna Wabunge wangapi wa Tanzania ni Mashoga?Wapeni haki wenzenu
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    Mwongo huyo hakuna cha sumu. Mvuto Kyela umepungua sasa anatafuta namna ya kuja kutudanganya. Picha yenyewe itakuwa hivi 1. Kapewa sumu 2. Anapelekwa nje kwa matibabu 3. Anarudi nchini 4. Mandamano Kyela ya kumpokea .....Nitakuwa Mtu wa mwisho kuamini hii habari. HIYO SUMU KAPEWA...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Shahada za heshima UDOM na IDM-Mzumbe...wasoma siasa au....

    Nyie kazi yenu ni kuongea pumba tu
  7. I

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana mkakati, endeleeni na shughuli zenu

    Dogo ukiona kimya ina maana wamekubali walishindwa ..Watani zangu wale wanaopendaga kujinyonga kule nyanda za juu wnasemaga "ukiona nimenyamasa bee niangushege"
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wajue wabunge VIHIYO wa CCM...

    Mbunge mteule wa Ubungo mbona hayupo
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

    Pumba
  10. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

    Kwani vipi? beki za mpendezoa zililala nini? teeee siasa za Africa nzuri sana
  11. I

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Hizo ni symptoms za loser.Kwani mlipokuwa mnaingia kwenye uchaguzi mlikuwa na imani gani na nec?Kama wewe umeshindwa ni kuachana na siasa...wache wnanchi waendelee na kazi zingine ...umeshindwa umeshindwa basi....
  12. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Kwanini JK hakutaka kupoteza jimbo la Kibaha Mjini?

    Mwongo wewe.Punguzeni uswahili,naona hizo story hazisaidii tena kwa sasa
  13. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 YAFAHAMIKA: Kura za Dr. Slaa zinapunguzwa kwa amri

    Mwongo wewe
  14. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

    Wewe EDSON NYang'ahu Mkubwa umeanza kutukana watu kwa ajiri ya barua yenyewe HOAX
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    Dr.Mkumbo mwenyewe member hapa lakini kala kona kwa style ileile ya Mzee Makamba na Mkuchika
Back
Top Bottom