Wajue wabunge VIHIYO wa CCM...

Katika hiyo orodha, nawatetea wawili kwani nina hakika nao.

Aden 'Msomali' Rage - kamaliza Adv. Diploma ya Business, ShyCom miaka ya 70s.

John Komba - kamaliza Cert. ya Ualimu Grade 2 Kleruu miaka ya 80s.

ww usitete kitu usichokijua mbona issue ipo wazi nani CCM wenyewe wametoa majina , umri na elimu zao, NEC inajua pia, magazeti sasa unasema nini? , hao ni SHULELESS
 
Tunaweza kuwapima kwa kazi zao, walichofanya na ambacho hawajafanya? Badala ya hii kasumba ya ukoloni mamboleo ya kuhusudu vyeti bila kujali performance ya mtu ?

Kuna watu wengine wana akili sana wanaona kwenda shule kupoteza muda tu.

Hivi John Mnyika kaenda Chuo gani zaidi ya Form Six? Lakini ushawahi kumsikia John Mnyika aki articulate vitu? Ushawahi kusoma policy analysis za Mnyika? He has all the markings of a policy wonk, hana hata degree moja na I doubt kama ana cheti chochote zaidi ya Form Six, lakini ka invest muda wake katika social causes, kapata elimu dunia kubwa ambayo hata Harvard huwezi kuipata.

Ukinipa mtu kama huyu mimi naona ana elimu kubwa sana kumshinda Chenge aliyeenda Harvard lakini yuko horribly out of touch with wananchi.

Hebu muangalie Mnyika anavyo articulate mambo eloquently, with poise and confidence, sasa unataka kuniambia mtu kama huyu kwa mujibu wa list hiyo ya juu hajaelimika?

Last edited by a moderator:
Halafu hiyo headingi yako, "vihiyo....."
Unaelewa ni watanzania wangapi wenye elimu ya msingi na sekondari?? Kwa hiyo kwa mwono wako 80% ya Wa Tz ni vihiyo??
wacha kutukana Watanzania ndugu

Mkuu hapa tunamaanisha VIONGOZi waliochaguliwa, sasa kama kiongozi mbunge atakuwa kihiyo na tunajua watanzania wengi hawana elimu sana itakuaje? tunataka kiongozi at least ana elimu; dunia ya leo bila elimu atafanya nini?, atawaongozaje hawa wengi wasio na elimu, je itakuwaje walimu wakiwa hawana kitu kabisa kichwani awaongoze wanafunzi na kuwafundisha? ELIMU. elimu, hapa hakuna utani
 
Mkuu hapa tunamaanisha VIONGOZi waliochaguliwa, sasa kama kiongozi mbunge atakuwa kihiyo na tunajua watanzania wengi hawana elimu sana itakuaje? tunataka kiongozi at least ana elimu dunia ya leo mkuu, awaongoze hawa wengi wasio na elimu, je itakuwaje walimu wakiwa hawana kitu kabisa kichwani awaongoze wanafunzi na kuwafundisha? ELIMU. elimu, hapa hakuna utani

Tatizo linakuja, elimu ni nini? Elimu ni elimu rasmi tu? Elimu inapimwaje? Kwa kazi ya mtu au kwa cheti?

Halafu hata kama mnaongelea elimu rasmi, mbona list ina wabunge wa CCM tu, wa CHADEMA na CUF wako wapi? Sijamuona Mnyika pale.
 
Tunaweza kuwapima kwa kazi zao, walichofanya na ambacho hawajafanya? Badala ya hii kasumba ya ukoloni mamboleo ya kuhusudu vyeti bila kujali performance ya mtu ?

Kuna watu wengine wana akili sana wanaona kwenda shule kupoteza muda tu.

Hivi John Mnyika kaenda Chuo gani zaidi ya Form Six? Lakini ushawahi kumsikia John Mnyika aki articulate vitu? Ushawahi kusoma policy analysis za Mnyika? He has all the markings of a policy wonk, hana hata degree moja na I doubt kama ana cheti chochote zaidi ya Form Six, lakini ka invest muda wake katika social causes, kapata elimu dunia kubwa ambayo hata Harvard huwezi kuipata.

Ukinipa mtu kama huyu mimi naona ana elimu kubwa sana kumshinda Chenge aliyeenda Harvard lakini yuko horribly out of touch with wananchi.

Hebu muangalie Mnyika anavyo articulate mambo eloquently, with poise and confidence, sasa unataka kuniambia mtu kama huyu kwa mujibu wa list hiyo ya juu hajaelimika?

Mkuu ur absolutely right, 100%, few phrases in ur statements tell me u went to school, and u know exactly what Education is, but i am getting trouble kukuelewa kwa DUNIA ya leo unakuwa na such a big number ya wabunge wenye elimu ndogooooooooooo, vihiyo, najua si wote hawatawajibika ipasavyo ila kuhusu miswada mizito, ya sheria, mikataba ya madini nk what are they going to contribute? na uhakika 95% ya hawa wataenda kulala yaani ni vululuvululu fofofo bungeni plus waleeee wengiiiiiii wa viti Maalum yaani mkuu ukiwa na uchungu na nchi ukachukua gharama ya mbunge mmoja ambaye ni kihiyo utalia, tutakuwa maskini hadi mwisho, ELIMU ni Muhimu sana forget katiba yetu iliyopitwa na wakati tusiwe na zigzag for this, period,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, masuala ya vyeti sijui darasa la saba au form four siona kama yana tija sana. Siasa za Tanzania hazihitaji vyeti vikali bali umahiri wa kuongopa. Kuna ushahidi kuwa wale wenye elimu kubwa ndio wamebobea kufisidi.
 
Mkuu sikubaliani na wewe. j sumari ni naibu waziri wa fedha anawezakua frm iv kweli?

Mgimwa alikua Bosi mkubwa BOT na ana PhD kutoka chuo cha BOT Mwanza. CV yake nimeiona.

Rage kitaluma ni mhasibu na inasemekana ana CPA sasa hiyo frm Iv imetoka wapi mkuu?
 
Ni kweli mkuu CCM wenyewe wliweka wazi viwango vya elimu vya wagombea wao, amini it is true, Sumari ni Fm 4, Rage wote, mbona iliwekwa magazetini, hii list ilishatolewa na CCM labda umeshahau mkuu ni mwezi August mara baada ya kutangazwa kwa wagombea ubunge kupitia CCM, period ondoa shaka, sisi tuna kuonyeshea vilaza ili uwajue, hivyo vyeti bila shaka ni vya kununua tu au ujanja ujanja tu, hawana lolote, nenda NEC, au CCM utapata yote unayoyaona ni kweli
 
Mkuu sikubaliani na wewe. j sumari ni naibu waziri wa fedha anawezakua frm iv kweli?

Mgimwa alikua Bosi mkubwa BOT na ana PhD kutoka chuo cha BOT Mwanza. CV yake nimeiona.

Rage kitaluma ni mhasibu na inasemekana ana CPA sasa hiyo frm Iv imetoka wapi mkuu?

Naanza kukubali, elimu "rasmi" kweli ni muhimu sana.
 
Mkuu ur absolutely right, 100%, few phrases in ur statements tell me u went to school, and u know exactly what Education is, but i am getting trouble kukuelewa kwa DUNIA ya leo unakuwa na such a big number ya wabunge wenye elimu ndogooooooooooo, vihiyo, najua si wote hawatawajibika ipasavyo ila kuhusu miswada mizito, ya sheria, mikataba ya madini nk what are they going to contribute? na uhakika 95% ya hawa wataenda kulala yaani ni vululuvululu fofofo bungeni plus waleeee wengiiiiiii wa viti Maalum yaani mkuu ukiwa na uchungu na nchi ukachukua gharama ya mbunge mmoja ambaye ni kihiyo utalia, tutakuwa maskini hadi mwisho, ELIMU ni Muhimu sana forget katiba yetu iliyopitwa na wakati tusiwe na zigzag for this, period,

Got you,

Tuongeze formal education, lakini tusihukumu watu wholly based on formal education, wala tusichague watu kutokana na formal education tu.It is a far more complex equation than that.
 
naona kama orodha ni ya kitambo sana hii. kwa kweli kati ya watu ninaowaheshimu sana kwa kutumia taaluma vizuri kwa vitendo ni mheshimiwa ali ramadhani kihiyo. hivyo hizi kejeli za watu wenye elimu ya darasa la saba na kidato cha nne kuwaita vihiyo zinadhihirisha kuwa umjui vyema mh. A. R. Kihiyo. jiulize kama mtu aliyekuwa na FTC aliweza ku-deliver katika nafasi ya Engineer hadi nje ya nchi (expert), ni mtu wa kubeza huyo?? tunahitaji watu wenye uwezo wa ku-deliver. kama hao ulioorodhesha wana uwezo huo. wanafaa mara mia kuliko maprofesa wasio nao.

POLE SANA NDUGU YANGU!

Unaunga mkono kufoji veti??
 
Si afadhali ya hawa Chadema walitaka kutuletea Makamu wa Rais wa darasa la saba sasa wanaweza kuwakosoa CCM kweli? angekua anaenda nje ya nchi na mkalimani kama Marehemu Kawawa? au angeongeaje na mabalozi wakimtembelea?
 
Got you,

Tuongeze formal education, lakini tusihukumu watu wholly based on formal education, wala tusichague watu kutokana na formal education tu.It is a far more complex equation than that.

Sio Kuhukumu to tell somebody elimu yake ndogo na ni kweli, in the world we are living today, u will agree with me we face complex challenges,
so tena hawa wapo walio pata DIV O bila shaka plus wale wa Viti maalum zero ni nyingi saaaaana, sasa sehemu kama bunge, muhimili so crucial for country & its Citizens, inapitia mikataba ya madini, miswada complex inajadiliwa, hivi hapa Kiranga kweli unawatetea, are supporting them...!!!!? Mr wake up, c'mon man, un ndugu nini mzee hapo? na bado wanalipwa mamilioni na magari na maposho, Kiranga are ok? they are outdated, they are well behind time hawafai, unazunguka Kiranga, hawafai wanatufilisi hawa Zero Vihiyos Period
 
Mbunge mteule wa Ubungo mbona hayupo

Wewe, tena usiongee kabisa, elimu ya mnyika ni mara kumi ya ile ya Dr. Mkwere, tulipokuwa nae maua seminary akiwa form 2 alikuwa anauwezo wa ke-debate na form 6 na kuwatoa kwa knock out, najua ameachia mwaka wa 2 udsm baada ya kuona anayofundishwa ni mepesi kuliko anayojua. Unakumbuka ule mgomo mkubwa wa 2004 pale udsm alikuwa mmoja kati ya wanafunzi 50 waliosimamishwa chuo akiwemo Bahati Tweve! Kwa kifupi, Mnyika hawezi kuwa mmoja kati ya hao vilaza wenu wa CCM. PERIOD!
 
Sio Kuhukumu to tell somebody elimu yake ndogo na ni kweli, in the world we are living today, u will agree with me we face complex challenges,
so tena hawa wapo walio pata DIV O bila shaka plus wale wa Viti maalum zero ni nyingi saaaaana, sasa sehemu kama bunge, muhimili so crucial for country & its Citizens, inapitia mikataba ya madini, miswada complex inajadiliwa, hivi hapa Kiranga kweli unawatetea, are supporting them...!!!!? Mr wake up, c'mon man, un ndugu nini mzee hapo? na bado wanalipwa mamilioni na magari na maposho, Kiranga are ok? they are outdated, they are well behind time hawafai, unazunguka Kiranga, hawafai wanatufilisi hawa Zero Vihiyos Period

Sina sababu ya kuwatetea,

Ninachosema ni kwamba hili ni swala complex zaidi ya kusema wasio na vyeti hawafai na wenye vyeti wanafaa, kama nilivyosema hapo juu, kuna wenye vyeti wasiofaa na wasio na vyeti wanaofaa, pia kuna wenye vyeti wanaofaa na wasio na vyeti wasiofaa.

Sasa tuna kazi ya kuangalia mmoja mmoja, maana ukitaka kutumia cheti kama kigezo, utakuwa unatega mtego wa panya unaonasa waliokusudiwa na wasiokusudiwa,

And that is not the way to go.
 
Tunachofanya hapa tunawakumbusha kuwa BACK TO SCHOOL, uzuri shule za siku hizi siyo kama zamani, haziangalii umri wala jinzia, bado wana muda wakusoma na kuweza kufikia viwango angalau hata ka advanced diploma tu. Wasikate tamaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom