UK yataka Tanzania na nchi zinazoendelea zitambue haki za mashoga

Ningekuwa Kikwete ningewaambia
Waingereza, bora kufa kwa njaa kuliko kuwa
shoga mwenye shibe. Maana mwisho wa siku
hata shoga mwenye shibe atakufa tu.

Kikwete hana ubavu huo, siyo yeye tu hta ukusanye ukoo wake wote n mtoto wake ridhwan hawana nguvu ya kusema..NO


Hapa ndio wababe kama Nyerere na Mkapa ungewasikia live wakisema No...SIYO JK
 
huenda juha kabisa wakati anaambiwa hayo alicheka cheka tu. Akatae si atapigwa stop ya kwenda ulaya unafikiri suti atanunulia wapi
 
Milinganisho yako ni ya kijinga na kipumbavu kabisa. Anayebaka kachagua....anayebakwa je? Akili za panzi kweli hizo.
Wewe ndo mjinga na mpumbavu kabisa kuliko wote duniani! Naona unapumuliwa kweli ndo maana unataka ihalalishwe. Kwani ukiendelea hivyo kimya kimya hauriziki, mpaka iwekwe kwenye katiba yetu? Kwa kifupi ushoga ni ushetani, sisi tumechagua kutokuruhusu ushoga hata kama wewe ni shoga. Kama unataka kuendelea na ushoga wako, nenda huko huko kwao lakini siyo TANZANIA YETU.
 
Naona kama mwisho wa dunia unakaribia. Natamani nisikie kauli ya viongozi wetu wakuu tujue wako upande upi? Kwa upande wangu ningefurahi zaidi kusikia Tanzania ikipingana na ushoga wacha tukose misaada na tujifunze kutumia rasilimali zetu vizuri. Tudhubutu, tutaweza tutasonga mbele. Hawa wadhungu ni mang'ombe kabisa kwa jambo hili ni kulazimisha waafrica kuweka katika katiba/sheria mambo yao ya kipuuzi hata kama waafrika wenyewe hawapendi. Ee Mola tuepushe na balaa hili.
 
Hapa nafikiri ni kutambua nguvu ya Africa iko wapi...kuna zaidi ya watu Billioni moja sasa hv kwenye bara ,hili...viongozi wa Africa watambue kwamba bara hili linaweza kujiendesha lenyewe kiuchumi...bila kutegemea Uingereza au nchi nyingine yeyote, suala ni kuwa na mikakati endelevu na sauti moja

hatujui huyu hayawani cameron kesho atakuja shauri gani..usishangae hawa watu wakaruhusu wanaadamu kuoana na wanyama halafu na hilo wakasema nyie Waafrika inabidi mfuate tunavosema sisi.. this is the time to draw the line.
 
Mijitu hii jamaniiiiii................. Kwa nini tukubali kuendeshwa?? Libya yalijidai yanamuondoa dictator wakati yalikuwa na issue zao. Sasa yanataka kutulazimisha kupumuliwa tena............No! No!...No!...HAPANA. HATUNA SHIDA KIHIVYO.......
 
Afrika inatakiwa kuamka usingizini....hasa viongozi...achaneni na mahayawani hao...hawana mpango kabisa sasa tunaweza kuendesha uchumi wetu wenyewe. kama tutapata viongozi wenye msimamo. (Mbona Cuba ,North Korea,Burma, bado zipo pamoja na vikwazo vyote tutapata shida lakini tukitumia soko la humu ndani kila kitu kinawezekana)
 
Kamwe hatuwezi kukubali laana hii ya sodoma na Gomora itupate sisi Watanzania,Ni bora tule majani kuliko kukubali upuuzi huu.By the way Dunia na wote wakaao ndani yake ni Mali ya MUNGU.MUNGU hawezi kutuacha,Mbona hakumwacha Lutu? Tusimame imara wakati ndio huu.
 
European came to Africa so as to CIVILISE the premitive Africans.!!! Euro-afrimpologist.
 
Sidhani kama mungu ataibariki tanzania au africa, sana sana ataipiga laana. Kinachofuatia sasa ni wafadhili kulazimisha serikali za kiafrica lazima ziwe na mawaziri mashoga kabla hawajapata misaada. Huko ndo tunakoelekea, trust me!

Mungu hawezi kujihusisha na watu wasiotumia bongo kama viongozi wa nchi hiiiiiiiiiiiiiiii.....!!!!!!!!!!!!!

Hivi nchi inasherehekea miaka hamsini ya UHURU, bado inategemea misaada yenye masharti.....!!!! Hapa mnataka Mungu awafanyie nini.... awarudishe tumboni awazae upya....!!!!!!!!!!! Hawa akins Comeron wanapima akili zetu..... !!!

MAONI YANGU: Hakuna ushoga hapa!!!! Misaada yao siitaki... na tangu leo sitaki kujihusisha na chochote kitokanacho na Uingereza..... labda nisijue.....!!!!

Hawa ni wakupiga mawe tu............
 
Tatizo la kupenda vya bure, Itafakia mahali ili upewe msaada lazima presde apigwe cha masaburi then apewew msaada kama hali ndo hii.
 
LEVITICUS 20:13...
....If a man lies with a male as with a woman, both of them have committed an abomination; they shall surely be put to death; their blood is upon them.
13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.

Mungu hawezi kujihusisha na watu wasiotumia bongo kama viongozi wa nchi hiiiiiiiiiiiiiiii.....!!!!!!!!!!!!!

Hivi nchi inasherehekea miaka hamsini ya UHURU, bado inategemea misaada yenye masharti.....!!!! Hapa mnataka Mungu awafanyie nini.... awarudishe tumboni awazae upya....!!!!!!!!!!! Hawa akins Comeron wanapima akili zetu..... !!!

MAONI YANGU: Hakuna ushoga hapa!!!! Misaada yao siitaki... na tangu leo sitaki kujihusisha na chochote kitokanacho na Uingereza..... labda nisijue.....!!!!

Hawa ni wakupiga mawe tu............
 
Hivi hapa sijapata picha kamili, ya hawa Mashwetani watu wanapigania haki ya nani kati ya senge na basha? Maana haiwezekani kuwe na Shoga kusiwepo na basha la kumpumulia mgongoni.
Uovu wa binadamu sasa umepanda hadi mbinguni, ni wakati wa Mungu sasa kushuka duniani kuona kama habari zilizomfikia ni za kweli. Aliwahi kufanya hivyo huko Sodoma.
.
 
yaani kuna watu wamefika mahala wakaamini kuwa misaada yao ni uhai wetu. Jamani turudi kwenye saiasa za kujitegemea halafu huko tutafika. Kwa njia ya misaada wanadhibiti uchumi wetu ndiyo maana ahtupandi. Tujaribu siasa za kujitegemea na ujamaa kati ya nchi zinazofanana tuone kama hatupai hata kuwazidi. Ebu tujaribu.

jamani hapa inabidi kukaa chini na kujiuliza uhuru tuliokuwa tunapigania una maana gani??? Hii ni kwa sababu katika hali ya kawaida uhuru tulioupata kutoka kwa wazungu hao ili tujitegemee umekuwa hauna maana, kwani haohao wazungu tuliowafukuza ndio wanaendelea kutupangia jinsi ya kuishi, yaani kutuongoza/kututawala.
Sasa rai yangu ni kwamba inabidi kuwa na mapinduzi makubwa sana ya kiutawala wa nchi zetu, yaani nchi zijitemee kwa kutumia resources zake za ndani ili kujitoa kwenye utumwa huu wa kupangiwa mambo yetu kwa kisingizio cha misaada.
 
Back
Top Bottom