Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

nimepata tamko hili toka chadema:

mwanakijiji, kama chadema wamesingiziwa si walishitaki gazeti?
Kwanini chadema wakanushe ripoti hiyo bila ya kuwaonyesha wa tz orodha sahihi ya wabunge wao wa kuteuliwa?
Kwanini iwe siri mpaka baada ya uchaguzi? Wapiga kura wanahitaji kuambiwa ukweli na kudai orodha ni siri, basi tutaingiwa na shaka ya kuwa kuna kitu hapa tunafichwa!!!
 
Nani aliyesema kuwa chadema wamesingiziwa?
Bwa ha ha ha nimesahau kuwa namjibu mtu wa madrassa al jihad
 
We don't want speculations. We want facts that they have been chosen on religious grounds and when! We should not invent things in thin air. Why should we waste time discussing something which doesn't exist yet?

Tatizo sio dini zao, think outside your box

Kuna gazeti nilikuwa nasoma leo kuhusu CCM na linasema: Mgombea urais ni Dr Jakaya Kikwete, mgombea mwenza Dr Bilali na kule Zanzibar ni Dr Shein. Inaonekana hapa kuna balance ya kidini!
Your box
 
achomekwe vicky kamata

vicky.jpg
 
kwa hiyo kama ccm wanachaguwana kiundugu, chadema nao wakifanya hivyo ni sawa!!!! Au ulikuwa unataka kumaanisha nini sijui!!!

Nilikuwa namjibu Reyes na Zawadi kuwa waanze kuinyooshea vidole kwanza CCM kwani ndiyo walioasisi mpango huu wa ubunge viti maalum kwenda kwa ndugu za vigogo!

Wakati CCM walipowateua mke wa Samwel Sita,Mke wa Chenge,mtoto wa hayati Sokoine,mtoto wa Mhita na watoto wengineo wa vigogo mbona akina Reyes na Zawadi hawakupaza sauti zao?Iweje leo wapaze sauti kwa jambo lile lile ambalo hamkulipazia sauti awali?
 
Lawama hizo zimejidhihirisha kwani katika orodha hiyo, mbali na watoto na ndugu wa vigogo wa chama hicho, pia wabunge wote wa viti maalumu wa Chadema waliomaliza muda wao, wakiwamo wanaogombea katika majimbo ya uchaguzi, wamerudishwa katika orodha hiyo na kupewa nafasi za juu.

Wabunge waliomaliza muda wao walioko katika orodha hiyo ni Lucy Owenya ambaye ni mtoto wa mgombea ubunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo; na ni wa kwanza, jambo linalomhakikishia ubunge ikiwa uteuzi utafanyika kwa kufuata wa kwanza mpaka wa mwisho.

Wengine ni Mhonga Ruhwanya (namba 3), Halima Mdee (5), Grace Kiwelu (9) ambaye ni mkwewe Ndesamburo, Anna Komu (13) na Susan Lyimo (10).

Pia yumo Rose Kamil Sukum (19) ambaye ni mke wa mgombea urais wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa. Aidha, kwa mfumo huo wa Chadema, wagombea ubunge ambao wamo miongoni mwa majina hayo, watajihakikishia ‘ulaji' bungeni endapo watashindwa katika majimbo hayo.

Wagombea hao wa majimbo walioko katika orodha hiyo ni Mdee wa Kawe, Leticia Nyerere (16), Kwimba; Regia Mtema (11), Kilombero na Sukum, Hanang. Wengine ni Christina Lissu Mughiwa (20) na Paulina Slaa Narcis (84).

Orodha hiyo pia imewataja Easther Matiko(2), Anna Mallac (4), Paulina Gekul (6), Conjesta Rwamlaza (7), Susan Kiwanga (8), Christowaja Mtinda (12), Mwanamrisho Abama (14), Joyce Mukya (15), Naomi Kaihula (17), Chiku Abwao (18), Raya Hamisi (21), Philipa Mturano (22) na Mariam Msabaha (23).

Wengine ni Rachel Mashishanga (24), Sabrina Sungura (25), Rebecca Mngodo (26), Cecilia Pareso (27), Subira Waziri (28), Leticia Musore (29), Helen Kayanza (30), Rosana Chapita (31), Mona Bitakwate (32), Evarim Mpangama (33), Asha Kayumba (34), Hija Wazee (35), Mary Martin (36), Sophia Mwakagenda (37), Bupe Kyambika (38), Magreth Mangowi (39), Esther Daffi (40), Jane Pesha (41), Aikande Kwayu (42) na Helga Mchomvu (43).

Pia orodha hiyo iliwataja walioteuliwa kuwa ni Rebecca Magwisha (44), Neema Msuya (45), Anastazia Manyanda (46), Selina Nguma (47), Bertha Matanwa (48), Christina Ngola (49), Lydia Mwaipaja (50), Zaituni Lubinza (51), Adelastela Kilindi (52), Hawa Mwaifunga (53), Loyce Iboma (54) na Rita Kanoro (55).

HabariLeo | Siri ya wabunge viti maalumu Chadema yavuja

Dkt mkumbo ambaye alikuwa mshauri wa kitaalam ktk uteuzi wa wabunge viti maalum aliweka wazi vigezo vilivyotumika katika uteuzi huo. nitaviahinisha ninavyo vikumbuka. Moja mchango wa muombaji ktk kukijenga na kukiimarisha chama toka 2005 - 2010, kiwango cha elimu cha muombaji PHD,MA, BA,DIPL,CERT,FORM VI,FORM IV na STD VII. Pia mchango wa muombaji katika kampeni za uchaguzi 2010. vingine sivikumbuki vizuri, tafadhali wanao vikumbuka waongeze hivyo vigezo ili tuweze kujadili vizuri mada hii.

Kumbuka Hussein mwinyi, January makamba marehemu IPPYANA Malecela,RIZ1 kikwete, Miraji kikwete, Emmanuel Nchimbi, Nape Nnauye,Masauni Masauni, Hassan Moyo,Rose Nyerere, Makongoro Nyerere, Rais Amani Adeid Karume, Zamaradi kawawa,Vita kawawa bado yupo mtoto wa Mzindakaya wa na wototo wengine wengi wa makada wa CCM ambao wananafasi ndani ya CHAMA. Je tuwapime kwa uwezo wao au uwezo wa wazazi wao? Je baba yako akiwa CCM na wewe uruhusiwi kuwa mwana CCM, ni kosa kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria? Ni vyema tuwe fair katika kujadili hii hoja. Yaani ZITTO, SLAA, MTEI, MBOWE, NDESAMBURO hawaruhusiwa kuwa na ndugu CHADEMA je ni kosa la kisheria kuwa chama kimoja cha siasa mtoto na mzazi wake, kaka na dada au mtu na shemeji yake?

Kwa uelewa wangu si kosa. Hivyo tuangalie hawa wateuliwa wenye nasaba na viongozi wa juu wana sifa za kuteuliwa au la? Baadhi ya vigezo nimeviainisha hapo juu. Kama wateuliwa hao hapo juu awakidhi vigezo hapo ni tatizo na itatupasa tukemee kwa nguvu zote, sasa tuangalie
Halima mdee, Lucy Owenya,Susan Lyimo,Mhonga Ruhwanya, Grace Kiwelu,Anna Komu na watajwa ktk mada ya REYES awakidhi vigezo?

Tumeona mchango wa Mdee,Owenya,s. lyimo, Mhinga, G. kiwelu Bungeni je mchango wao wahoja unalingana nawa MAKAMBA, LOWASA, ROSTAM, CHENGE, KARAMAGI nk tusiwahukumu tu ninani asiye mjua mpiganaji MDEE? waulize MAKAMBA na LONDA ilikuwaje alikimbilia kwa spika kufuta mashtaka yao juu ya Mdee pale MDEE alipowasilisha utetezi wake. kumbukeni Mdee alitoa hoja Bungeni akatakiwa kuifuta au ataadhibiwa akakataa kuifuta na aliposhitakiwa aibu KUU iliwaangukia washtaki wake MAKAMBA na LONDA.Tusiwahukumu hawakina dada bila kuwapima mchango wao ktk CHADEMA na BUNGE.
Pili kumbukeni vyama vya upinzani vilivyoanza watanzania wengi tulikuwa waoga wa kujiunga navyo na tuliona kama uasi sasa vijana waliojiunga na kupigania vyama vyao hadi leo vinajulikana kwa watanzania tusiwahukumu kwa kuwa wazazi au ndugu zao ndio waasisi wa hivyo vyama au ni viongozi wa hivyo vyama. je mlitaka mtoto wa NDESAMBURO awe CCM ndio ionekane sawa au mtoto wa MAKAMB awe CUF ndio iwe sawa? Cha kujiuliza January, Nchimbi , Nnape n.k wanabebwa au uwezo wao ndio uliowapa nafasi CCM? je Lucy Owenya, Susan Lyimo nk. wanabebwa au uwezo wao ndio ulio wapa nafasi CHADEMA. Na jibu sahihi ni lazima liwe limefanyiwa utafiti ndani ya CCM na CHADEMA. NA SI TUNASEMA TU KWA KUWA TUNA MIDOMO.

Tukumbuke CHADEMA wameteua wabunge wa viti maalum kupitia majina ya walioomba nafasi hizo je wanao lalamika ni wanaCHADEMA, je waliomba nafasi hizo?Je wamekidhi vigezo vya kupata nafasi hizo? Kama sio wana CHADEMA ila ni waTZ wenye mapenzi mema tuwaulize je walioteuliwa hawakuomba nafasi hizo? pili walioteuliwa sio wana CHADEMA, tatu walioteuliwa hawakidhi vigezo vilivyo wekwa? na sio tunaongea tu humu JF na kutuma POSTS tu kwa sababu sisi ni member pia tunamapenzi na chama fulani.Tuzingatie kuwatendea haki wateuliwa na wateuaji.

Hivi mnadhani ni kazi ndogo kwa mwanamke kuamua kugombea ubunge kupitia jimboni kama HALIMA MDEE, REGIA MTEMA , ROSE KAMILI, ROSE MASHISHANGA, LETICIA NYERERE nk jiulizeni hilo swali?TENA MJIULIZE KWA MAKINI KUWA WANAWAKE HAO NI KUTOKA UPINZANI NA si CCM? Hiv unadhani ni kwa nini wanawake wenye majina makubwa CCM kama ANNA ABDALLAH, SOPHIA SIMBA, JANETH KAHAMA,MAUA DAFTALI,wanakimbilia viti maalum na kuyakimbia majimbo muulizeni RITA MLAKI .

REYES ni vyema ukawapima wateule hao wa CHADEMA kwa kutumia vigezo tajwa na si makabila yao, nasaba zao au uwezo wa kifedha.

Hasanali (jimbo kigoma kusini) alijitosa kugombea ubunge 2005 akiwa na miaka 21,John Mnyika alijitosa kugombea Ubungo akiwa na (miaka 25 au 27 kamasijasahau) pia Kumbuka Zitto Kabwe( jimbo la kigoma kask) kawa mbunge akiwa na miaka 28 hivyo vijana hawa waliingia ktk uchaguzi wakiwa vijana wadogo bali majasiri na hawakuofu mfumo wa siasa za ubabe wa CCM ndani ya TZ. hivyo kutokuthamini mchango wa wa watu waliojitoa muanga ndani ya CHAMA wakati chama hakina jina hakina RUZUKU ya kueleweka wakagombea kwa gharama zao na michango ya ndugu zao na wananchi wenye mapenzi mema ni unafiki. Kujifanya sisi ndio wana harakati wa mageuzi kuliko ZITTO, MNYIKA, KAFULILA, HASSANALI tutakuwa hatuwatendei haki vijana hawa. Ni hivyo hivyo kwa kina RACHEL MASHISHANGA ,HALIMA MDEE, ANNA KOMU n.k
Tuache ukabila, udini na udugu tueleze hateuliwa hao wanakidhi vigezo au la? kama wanabebwa toa ushahidi utakaothibitisha pasi na shaka hoja zako. kama hakuna ushahidi HOJA yako REYES na wanaoku support itakuwa ni sawa na umbea wamitaani na unapaswa kupuuzwa kama magazeti ya RAI, MTANZANIA, HABARI LEO.
 
malafyale umemaliza/umalile, tofauti ya ccm na chadema, chadema wanangalia sifa kwanza, linganisha cvs za hao wateule wa ccm na chadema. Ccm wanangalia either sura, uhusiano na kigogo fulani na kimbelembele cha kukiimbia chama.

hembu tuoneshe cv ya mgombea mwenza wa chadema!!!!
nasikia elimu yake hata slaa haifikii ni kweli? Au hizi ni propaganda za habari leo?
 
dkt mkumbo ambaye alikuwa mshauri wa kitaalam ktk uteuzi wa wabunge viti maalum aliweka wazi vigezo vilivyotumika katika uteuzi huo. Nitaviahinisha ninavyo vikumbuka. Moja mchango wa muombaji ktk kukijenga na kukiimarisha chama toka 2005 - 2010, kiwango cha elimu cha muombaji phd,ma, ba,dipl,cert,form vi,form iv na std vii. Pia mchango wa muombaji katika kampeni za uchaguzi 2010. Vingine sivikumbuki vizuri, tafadhali wanao vikumbuka waongeze hivyo vigezo ili tuweze kujadili vizuri mada hii.

Kumbuka hussein mwinyi, january makamba marehemu ippyana malecela,riz1 kikwete, miraji kikwete, emmanuel nchimbi, nape nnauye,masauni masauni, hassan moyo,rose nyerere, makongoro nyerere, rais amani adeid karume, zamaradi kawawa,vita kawawa bado yupo mtoto wa mzindakaya wa na wototo wengine wengi wa makada wa ccm ambao wananafasi ndani ya chama. Je tuwapime kwa uwezo wao au uwezo wa wazazi wao? Je baba yako akiwa ccm na wewe uruhusiwi kuwa mwana ccm, ni kosa kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria? Ni vyema tuwe fair katika kujadili hii hoja. Yaani zitto, slaa, mtei, mbowe, ndesamburo hawaruhusiwa kuwa na ndugu chadema je ni kosa la kisheria kuwa chama kimoja cha siasa mtoto na mzazi wake, kaka na dada au mtu na shemeji yake?

Kwa uelewa wangu si kosa. Hivyo tuangalie hawa wateuliwa wenye nasaba na viongozi wa juu wana sifa za kuteuliwa au la? Baadhi ya vigezo nimeviainisha hapo juu. Kama wateuliwa hao hapo juu awakidhi vigezo hapo ni tatizo na itatupasa tukemee kwa nguvu zote, sasa tuangalie
halima mdee, lucy owenya,susan lyimo,mhonga ruhwanya, grace kiwelu,anna komu na watajwa ktk mada ya reyes awakidhi vigezo?

Tumeona mchango wa mdee,owenya,s. Lyimo, mhinga, g. Kiwelu bungeni je mchango wao wahoja unalingana nawa makamba, lowasa, rostam, chenge, karamagi nk tusiwahukumu tu ninani asiye mjua mpiganaji mdee? Waulize makamba na londa ilikuwaje alikimbilia kwa spika kufuta mashtaka yao juu ya mdee pale mdee alipowasilisha utetezi wake. Kumbukeni mdee alitoa hoja bungeni akatakiwa kuifuta au ataadhibiwa akakataa kuifuta na aliposhitakiwa aibu kuu iliwaangukia washtaki wake makamba na londa.tusiwahukumu hawakina dada bila kuwapima mchango wao ktk chadema na bunge.
Pili kumbukeni vyama vya upinzani vilivyoanza watanzania wengi tulikuwa waoga wa kujiunga navyo na tuliona kama uasi sasa vijana waliojiunga na kupigania vyama vyao hadi leo vinajulikana kwa watanzania tusiwahukumu kwa kuwa wazazi au ndugu zao ndio waasisi wa hivyo vyama au ni viongozi wa hivyo vyama. Je mlitaka mtoto wa ndesamburo awe ccm ndio ionekane sawa au mtoto wa makamb awe cuf ndio iwe sawa? Cha kujiuliza january, nchimbi , nnape n.k wanabebwa au uwezo wao ndio uliowapa nafasi ccm? Je lucy owenya, susan lyimo nk. Wanabebwa au uwezo wao ndio ulio wapa nafasi chadema. Na jibu sahihi ni lazima liwe limefanyiwa utafiti ndani ya ccm na chadema. Na si tunasema tu kwa kuwa tuna midomo.

Tukumbuke chadema wameteua wabunge wa viti maalum kupitia majina ya walioomba nafasi hizo je wanao lalamika ni wanachadema, je waliomba nafasi hizo?je wamekidhi vigezo vya kupata nafasi hizo? Kama sio wana chadema ila ni watz wenye mapenzi mema tuwaulize je walioteuliwa hawakuomba nafasi hizo? Pili walioteuliwa sio wana chadema, tatu walioteuliwa hawakidhi vigezo vilivyo wekwa? Na sio tunaongea tu humu jf na kutuma posts tu kwa sababu sisi ni member pia tunamapenzi na chama fulani.tuzingatie kuwatendea haki wateuliwa na wateuaji.

Hivi mnadhani ni kazi ndogo kwa mwanamke kuamua kugombea ubunge kupitia jimboni kama halima mdee, regia mtema , rose kamili, rose mashishanga, leticia nyerere nk jiulizeni hilo swali?tena mjiulize kwa makini kuwa wanawake hao ni kutoka upinzani na si ccm? Hiv unadhani ni kwa nini wanawake wenye majina makubwa ccm kama anna abdallah, sophia simba, janeth kahama,maua daftali,wanakimbilia viti maalum na kuyakimbia majimbo muulizeni rita mlaki .

Reyes ni vyema ukawapima wateule hao wa chadema kwa kutumia vigezo tajwa na si makabila yao, nasaba zao au uwezo wa kifedha.

Hasanali (jimbo kigoma kusini) alijitosa kugombea ubunge 2005 akiwa na miaka 21,john mnyika alijitosa kugombea ubungo akiwa na (miaka 25 au 27 kamasijasahau) pia kumbuka zitto kabwe( jimbo la kigoma kask) kawa mbunge akiwa na miaka 28 hivyo vijana hawa waliingia ktk uchaguzi wakiwa vijana wadogo bali majasiri na hawakuofu mfumo wa siasa za ubabe wa ccm ndani ya tz. Hivyo kutokuthamini mchango wa wa watu waliojitoa muanga ndani ya chama wakati chama hakina jina hakina ruzuku ya kueleweka wakagombea kwa gharama zao na michango ya ndugu zao na wananchi wenye mapenzi mema ni unafiki. Kujifanya sisi ndio wana harakati wa mageuzi kuliko zitto, mnyika, kafulila, hassanali tutakuwa hatuwatendei haki vijana hawa. Ni hivyo hivyo kwa kina rachel mashishanga ,halima mdee, anna komu n.k
tuache ukabila, udini na udugu tueleze hateuliwa hao wanakidhi vigezo au la? Kama wanabebwa toa ushahidi utakaothibitisha pasi na shaka hoja zako. Kama hakuna ushahidi hoja yako reyes na wanaoku support itakuwa ni sawa na umbea wamitaani na unapaswa kupuuzwa kama magazeti ya rai, mtanzania, habari leo.

tatizo si hilo ndugu yangu!!! Chadema kuteuana kindugu na kifamilia sio tatizo ila pale jf munapowakandia watoto wa vigogo wa ccm kuteuliwa kugombea ubunge ndani ya ccm wakati kumbe hata chama chenu kinafuata mkondo huo huo hapo ndio kuna tatizo!!!!!!

ila binafsi naona chadema na ccm wanatumia mwanya wa katiba zao na katiba mama zinazoruhusu ndugu, jamaa, hawara na marafiki kuteuliwa ktk nyadhifa mbalimbali wakati wale wanao pitisha majina yao ni vigogo wa chama chao ambao wanauhusiano wa karibu sana!!

ili kuondoa mushkeli huu ni muhimu sana kuifanyia marekebisho katiba yetu mama ambayo itapiga marufuku kwa kiongozi yoyote kusimamia vikao vinavyopitisha majina ya wagombea uongozi wowote ambao wanauhusiano wa karibu!!!!

sijui kama nimeeleweka!!! Vinginevyo tuendelee kulumbana tu mpaka kiama kitufikie??????
 
Dkt mkumbo ambaye alikuwa mshauri wa kitaalam ktk uteuzi wa wabunge viti maalum aliweka wazi vigezo vilivyotumika katika uteuzi huo. nitaviahinisha ninavyo vikumbuka. Moja mchango wa muombaji ktk kukijenga na kukiimarisha chama toka 2005 - 2010, kiwango cha elimu cha muombaji PHD,MA, BA,DIPL,CERT,FORM VI,FORM IV na STD VII. Pia mchango wa muombaji katika kampeni za uchaguzi 2010. vingine sivikumbuki vizuri, tafadhali wanao vikumbuka waongeze hivyo vigezo ili tuweze kujadili vizuri mada hii.

Kumbuka Hussein mwinyi, January makamba marehemu IPPYANA Malecela,RIZ1 kikwete, Miraji kikwete, Emmanuel Nchimbi, Nape Nnauye,Masauni Masauni, Hassan Moyo,Rose Nyerere, Makongoro Nyerere, Rais Amani Adeid Karume, Zamaradi kawawa,Vita kawawa bado yupo mtoto wa Mzindakaya wa na wototo wengine wengi wa makada wa CCM ambao wananafasi ndani ya CHAMA. Je tuwapime kwa uwezo wao au uwezo wa wazazi wao? Je baba yako akiwa CCM na wewe uruhusiwi kuwa mwana CCM, ni kosa kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria? Ni vyema tuwe fair katika kujadili hii hoja. Yaani ZITTO, SLAA, MTEI, MBOWE, NDESAMBURO hawaruhusiwa kuwa na ndugu CHADEMA je ni kosa la kisheria kuwa chama kimoja cha siasa mtoto na mzazi wake, kaka na dada au mtu na shemeji yake?

Kwa uelewa wangu si kosa. Hivyo tuangalie hawa wateuliwa wenye nasaba na viongozi wa juu wana sifa za kuteuliwa au la? Baadhi ya vigezo nimeviainisha hapo juu. Kama wateuliwa hao hapo juu awakidhi vigezo hapo ni tatizo na itatupasa tukemee kwa nguvu zote, sasa tuangalie
Halima mdee, Lucy Owenya,Susan Lyimo,Mhonga Ruhwanya, Grace Kiwelu,Anna Komu na watajwa ktk mada ya REYES awakidhi vigezo?

Tumeona mchango wa Mdee,Owenya,s. lyimo, Mhinga, G. kiwelu Bungeni je mchango wao wahoja unalingana nawa MAKAMBA, LOWASA, ROSTAM, CHENGE, KARAMAGI nk tusiwahukumu tu ninani asiye mjua mpiganaji MDEE? waulize MAKAMBA na LONDA ilikuwaje alikimbilia kwa spika kufuta mashtaka yao juu ya Mdee pale MDEE alipowasilisha utetezi wake. kumbukeni Mdee alitoa hoja Bungeni akatakiwa kuifuta au ataadhibiwa akakataa kuifuta na aliposhitakiwa aibu KUU iliwaangukia washtaki wake MAKAMBA na LONDA.Tusiwahukumu hawakina dada bila kuwapima mchango wao ktk CHADEMA na BUNGE.
Pili kumbukeni vyama vya upinzani vilivyoanza watanzania wengi tulikuwa waoga wa kujiunga navyo na tuliona kama uasi sasa vijana waliojiunga na kupigania vyama vyao hadi leo vinajulikana kwa watanzania tusiwahukumu kwa kuwa wazazi au ndugu zao ndio waasisi wa hivyo vyama au ni viongozi wa hivyo vyama. je mlitaka mtoto wa NDESAMBURO awe CCM ndio ionekane sawa au mtoto wa MAKAMB awe CUF ndio iwe sawa? Cha kujiuliza January, Nchimbi , Nnape n.k wanabebwa au uwezo wao ndio uliowapa nafasi CCM? je Lucy Owenya, Susan Lyimo nk. wanabebwa au uwezo wao ndio ulio wapa nafasi CHADEMA. Na jibu sahihi ni lazima liwe limefanyiwa utafiti ndani ya CCM na CHADEMA. NA SI TUNASEMA TU KWA KUWA TUNA MIDOMO.

Tukumbuke CHADEMA wameteua wabunge wa viti maalum kupitia majina ya walioomba nafasi hizo je wanao lalamika ni wanaCHADEMA, je waliomba nafasi hizo?Je wamekidhi vigezo vya kupata nafasi hizo? Kama sio wana CHADEMA ila ni waTZ wenye mapenzi mema tuwaulize je walioteuliwa hawakuomba nafasi hizo? pili walioteuliwa sio wana CHADEMA, tatu walioteuliwa hawakidhi vigezo vilivyo wekwa? na sio tunaongea tu humu JF na kutuma POSTS tu kwa sababu sisi ni member pia tunamapenzi na chama fulani.Tuzingatie kuwatendea haki wateuliwa na wateuaji.

Hivi mnadhani ni kazi ndogo kwa mwanamke kuamua kugombea ubunge kupitia jimboni kama HALIMA MDEE, REGIA MTEMA , ROSE KAMILI, ROSE MASHISHANGA, LETICIA NYERERE nk jiulizeni hilo swali?TENA MJIULIZE KWA MAKINI KUWA WANAWAKE HAO NI KUTOKA UPINZANI NA si CCM? Hiv unadhani ni kwa nini wanawake wenye majina makubwa CCM kama ANNA ABDALLAH, SOPHIA SIMBA, JANETH KAHAMA,MAUA DAFTALI,wanakimbilia viti maalum na kuyakimbia majimbo muulizeni RITA MLAKI .

REYES ni vyema ukawapima wateule hao wa CHADEMA kwa kutumia vigezo tajwa na si makabila yao, nasaba zao au uwezo wa kifedha.

Hasanali (jimbo kigoma kusini) alijitosa kugombea ubunge 2005 akiwa na miaka 21,John Mnyika alijitosa kugombea Ubungo akiwa na (miaka 25 au 27 kamasijasahau) pia Kumbuka Zitto Kabwe( jimbo la kigoma kask) kawa mbunge akiwa na miaka 28 hivyo vijana hawa waliingia ktk uchaguzi wakiwa vijana wadogo bali majasiri na hawakuofu mfumo wa siasa za ubabe wa CCM ndani ya TZ. hivyo kutokuthamini mchango wa wa watu waliojitoa muanga ndani ya CHAMA wakati chama hakina jina hakina RUZUKU ya kueleweka wakagombea kwa gharama zao na michango ya ndugu zao na wananchi wenye mapenzi mema ni unafiki. Kujifanya sisi ndio wana harakati wa mageuzi kuliko ZITTO, MNYIKA, KAFULILA, HASSANALI tutakuwa hatuwatendei haki vijana hawa. Ni hivyo hivyo kwa kina RACHEL MASHISHANGA ,HALIMA MDEE, ANNA KOMU n.k
Tuache ukabila, udini na udugu tueleze hateuliwa hao wanakidhi vigezo au la? kama wanabebwa toa ushahidi utakaothibitisha pasi na shaka hoja zako. kama hakuna ushahidi HOJA yako REYES na wanaoku support itakuwa ni sawa na umbea wamitaani na unapaswa kupuuzwa kama magazeti ya RAI, MTANZANIA, HABARI LEO.

Ndugu umenena vema sana hapa.
Yaani kama kuna mtu ana wasiwasi ktk hili basi anapaswa akachukue kopo akachambe...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom