Wanaoongoza kwa kujiona wapo juu ya sheria ni hao polisi. Najiuliza tu hivi polisi angenitukana mimi raia wa kawaida na raisi akalifahau hilo je angelizungumzia pale? Kwanza nikitukanwa na askari naenda kuripoti wapi?
Hakuna watu wanalindana katika uovu kama polisi! Na jpm hajaonesha nia ya...
Naona hakuna anayekujibu, wanajizungusha zungusha tu.
NDIO wewe ni mbinafsi!
Habari njema ni kwamba ubinafsi si jambo baya, kwanza ndio msingi wa ubepari
Someni maelezo kwenye box la maziwa mjue mnakunywa nini,
Nilinunua hayo maziwa nikabaini sio kabisa, sasa kuja kusoma maelezo kwenye box ndio nikajiona mjinga kama watanzania wengi hatusomi maelezo kwenye bidhaa tunazotumia.
Sasa hivi hata bure hayo maziwa situmii
Mkuu you have a point, swali nalojiuliza je dola inaweza kusimama pamoja? Ikiweza ktk scenario hii basi ccm itashinda, ikigawanyika kwa ndani basi ndio mwisho wa CCM.
Mkuu mabadiliko si kitu smooth cha mara moja, Misri will undergo the period of instability hata kwa 10yrs ila watafikia tu demokrasia ya kweli. Hata Urusi baada ya mapinduzi ya 1917 walipitia civil war kabla ya mambo ku stabilize, ndivyo inavyokuwaga, mnachokiita amani (mimi nakiita utulivu)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.