Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Ninavyoendelea kumdanganya huyu mrembo

Wanawake ni viumbe wa kudanganywa kijinga sana
 
Kupitia watu kama weye mleta mada na matendo ya kisheitwani kama yakwako ww mleta uzi,ndipo nnapozidi kupata mazingatio na maono ya mbali saana na hikma kwamba kwnn Allah na Mtume wake (s.a.w) wametoa hukumu kali sana kwa wanandoa wazinifu:

"Mzinifu mwanamke aliyeolewa/aliyewahi kuolewa na mzinifu mwanaume aliyeoa/aliyewahi kuoa wapigeni mawe mpaka wafe"

Mleta mada unastahili kupigwa mawe mpka udanje!

Take it from me "a bad play has no good end"
Take it too from Imamu Shafii "hakika zinaa ni deni" nazani unajua dawa ya deni ni kulipa deni,sasa na maajabu ya deni la zinaa mkopaji cye atakaelipa deni ilo bali wanandugu na jamaa zake wa kike wanaomuhusu kwa karibu kabisa ndio watakaomlipia deni ilo,yaani mama ako mzazi,mkeo,binti yko,dada ako,shangazi yako,mama ako mdogo/mkubwa,bibi zako nk!
Mkuu chunguza sana hao watu nlokutajia mienendo yao,ipo siku utakuja kugundua kitu kibaya sana wanafanyiwa nyuma ya pazia ikiwa ni sehemu ya kukulipia deni lako...
 
Mungu huwalipizia kisasi wana kwa maovu ya baba zao,angalia damu za wanao zisije kuwa juu yako....
 
Wanawake ni viumbe wa kudanganywa kijinga sana

Nakubaliana na wewe 200%.

Kwanza haina haja ya kumuacha huyo mchepuko, we chezea mwili wake huo kwa raha zako, ukishamchoka libwage huko, usijaribu kumuacha mchepuko wako wakati bado unamtamani.

Hawa viumbe akili zao sio kama zetu, wao akili zao ni za kuvukia barabara.

Mkuu, hawa washkaji wote wanaokuponda humu, hakuna hata mmoja ambae hachepuki.
 
K.nyokoooooo zako mpumbavu saba ----- njinga mkubwa. Unafikiri ni sifa? Naskia kichefuchefu
 
K.nyokoooooo zako mpumbavu saba ----- njinga mkubwa. Unafikiri ni sifa? Naskia kichefuchefu

We ni mjinga sana, we unavyotafuta wanaume wa kukuhongwa hela ya sikukuu unajiona mjanja.

Kachukue malimao ule. Tena kimbia

Mwanaume mzima atakaaje na mwanamke mmoja?? Nyie si mnapenda hela? habari ndo hiyo, mtabaki kuwa michepuko tu
 
Hivi wewe unaesema akili zao za kuvukia balabala za kwako make kuunganisha watu wote hao akiwemo mke wako una huruma na watoto wako huogopi ukimwi unapotukana wanawake hivo unamtukana na mama ako akili yako ni ya kuvukia mtaro tu huna jipya
 
Lengo langu sio kujisifia.
Nahuznika tu na huyu jamaa mweny kumpenda hu mchpko wangu kwa dhai ambavyo anamjali na kumthmini lakini uu mchepuko roho yote iko kwangu.
Eventually ntamtosa tu aache kuiba waume za watu

wewe ni mpumbavu sana tena sio kidogo!!

yan unajisifia kuchepuka, eti nina michepuko mingine mitatu, kha???

yan sasa ndo nataman kile kisa cha dada kushika mimba ya x wake (kulala na x mchana, usiku mme) kingekuhusu ww...

NYIE NDO MNAFAA KUOA WAKE WENYE ROHO YA SHETAN MLEE VITOTO VISIVYO VYENU PUMBAFU WEEEEEE.... NGEDERE MKUBWA!!!
 
Hivi kweli kwa dunia ya sasa na wanawake wa sasa kuna aja ya kudanganya ata kama umeoa? mie naona wanawake wa sasa ata ukiwaambia ukweli kuwa umeoa and u just wana have fun atakuelewa tuu.

Hata wanaume wasasa ukimwambia ukweli, hawana hiana wanakula tu kimya kimya, so wanaume na wanawake wa sasa ni matatizo matupu
 
Back
Top Bottom