Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

Gas wachina washachukua muda mrefu na kama sio kweli mikataba ya gas iweke hadharani!!
 
Well said mkuu. Kuna majitu ya ajabu sana siku hizi humu JF.
Hayana hoja wala sera yanakuja na single mpya ya Mh. Rais na kingereza.
Wakati Kikwete akiunga safari juu kwa juu, wanazi wa CCM walisema nenda baba, katuletee maendeleo na wawekezaji huko ulaya na marekani.
Sasa Magu yeye hasafiri, wanazi walewale wanasema safi sana baba, jenga uchumi wako ndani, achana na mabepari wanaitaka gas yetu.

Huo ni umbulula wa kiwango cha PhD. Kuamini kwamba Magu akikutana na rais wa China atatongozwa na kuingia kingi ni sawa na kusema Magu hana uwezo wa kukomaa. Afterall, kama ni kuuza gas na uranium pamoja na makaa ya mawe tayari yalishauzwa na mtangulizi wake, yeye atulie tu akusanye kodi ya toothpick, magauni na furniture zinazoingia kutokea china.

By the way, foreign policy yetu inasemaje?
 
Wakalimani wote waliopo, lugha haiwezi kuwa tatizo Mkuu.
Basi tu, ndio binadamu tulivyo - ukiwahulizi hivi Wachina,Wajapan, Warusi nk wanapokuwa kwenye mikutano ya Kimataifa wanazunguza lugha hipi?
Sina hakika kama wanaweza kuja na jibu sahihi zaidi ya kutoa visingizio chungu mzima.
 
Songoka uko vizuri. Kwa mara ya kwanza nakupa tano. JPM NI MWAMBA WA KATIKATI
 
Usijifananishe na mchina.mchina yuko level ya USA kiuchumi na kitechnolojia so ana jeuri ya kukomalia lugha yake.si unajua jeuri ya pesa

KUNA NCHI KILA MARA INAKALIBIA KUFIRISIKA LAKINI EU WANAWASAIDIA MIKOPO, MARA ZOTE RAISI WA NCHI HIYO AU WAZIRI WA FEDHA WAO HUWA HATUMII KIDHUNGU. JE UNASEMAJE JUU YA HAO!!!!!!!!!!
 
Labda ndo maana kuna mtu kamwambia Obama amualike Marekani..

tungekuwa na akili tungehakikisha gas yoote tunachimba wenyewe na kuwauzia tu...
 
kuna wingu zito kati ya ushirika wa nato na mshenga wao marekani na ule mlengo wa kushoto wenye wakumunist wa zamani China na Russia.

Issue iko ivi.


Wakamualika tena kikao cha mazingira na hali ya hewa, ufaransa, ikiwa ni mara ya pili, ili kupata nafasi tena ya kutimiza ile adhma yao, jamaa tena kakomaa, hakwenda instead akatuma wawakilishi. Hii haikumfurahisha uingereza kabisa na za chinichini zinasema akamtonya mshenga wake marekani watunyime zile za MCC ili Mkuu wa kaya afunge safari kwenda kuwabembeleza na wapate nafasi ya kutoa masharti. Mshenga akafanya hivyo kwa visingizio vya kitoto. lakini mpaka leo JPM hajaenda wala kubembelezea hiyo kitu. Jamaa wakapanic na wakaanza kufikiri labda JPM anahamia ukomunistini

Naskia soon Tutapata ugeni mzito, wameamua kuja wenyewe

JPM hasomeki, Hongera JPM

Usiandike ushabiki. Tulielezwa kuwa MCC ile pesa haikutoka kwa sababu ambazo ziliwekwa wazi. Na ambazo Tanzania hadi leo hawajaweza kutekeleza masharti ya msaada wa MCC. Na hata ukiingia katika Website ya MCC utakuta hayo masharti ya misaada ya MCC. Si kwamba yametengenezwa kwa ajili ya Tanzania tu bali kwa nchi zote wanachama wa MCC.

Sasa wewe umepata wapi hizi DATA unazoleta hapa. Tafuta wengien wa kuwadanganya, kwangu umeula wa chuya!!!!!
 
Tatizo lugha kule hawaongei kiswahili,jk alipewa miaka kumi kuwa waziri wa mambo ya nje ili ajifunze lugha akaambulia kile anachoungaunga

Rais wa China , Japan ,Russia, etc wanaongea fluent English?
Tutolee uvivu hapa. Lugha ya wakoloni si
Kila kitu .
 
Usiandike ushabiki. Tulielezwa kuwa MCC ile pesa haikutoka kwa sababu ambazo ziliwekwa wazi. Na ambazo Tanzania hadi leo hawajaweza kutekeleza masharti ya msaada wa MCC. Na hata ukiingia katika Website ya MCC utakuta hayo masharti ya misaada ya MCC. Si kwamba yametengenezwa kwa ajili ya Tanzania tu bali kwa nchi zote wanachama wa MCC.

Sasa wewe umepata wapi hizi DATA unazoleta hapa. Tafuta wengien wa kuwadanganya, kwangu umeula wa chuya!!!!!


SONGOKA BIG UP MWANANGU!!!!!!!
 
China na Tanzania ni nchi mbili tofauti sana
Sio tu China....India, Cuba, Venezuela, Burundi, Congo na Msumbiji...uwa wanaongea lugha ya Kingereza hawa? Hizi nchi kwa uchache tu, Kingereza hawakijui kabisa. Unajua inasikitisha kuona mpo watu wachache mnaleta mzaha kwenye mada ya msingi kama hii.

Nakushauri...ingia google, download picha yoyote ya viongozi wakiwa kwenye hii mikutano ya kimataifa...utaona wamevaa 'earpierce'...hizo zinasaidia ku-translate lugha yoyote ile duniani. Najua tatizo lako lilikuwa ujinga...Haya nimekuelimisha sasa.
 
Mwandishi wajidanganya hawo watu ni kiboko magufuli hawawezi samuraia lao lazima liwe na wewe habar hyo umeipata wapi au ndo mawazo yako tu
 
KUNA NCHI KILA MARA INAKALIBIA KUFIRISIKA LAKINI EU WANAWASAIDIA MIKOPO, MARA ZOTE RAISI WA NCHI HIYO AU WAZIRI WA FEDHA WAO HUWA HATUMII KIDHUNGU. JE UNASEMAJE JUU YA HAO!!!!!!!!!!
Mtajie kabisa kuwa ni Ugiriki. Sasa Ugiriki ipo level gani? Si hawana lolote wale. Tena wapo ukanda wa Ulaya na kingereza hawajui na mikutano wanafanya. Tatizo la baadhi ya Watanzania ni ujinga (hawana exposure)...Badala ya kuwalaumu...tunapaswa kuwaelimisha.
 
Hivi kuna ulazima ukiwa president ni lazima uende nje?
Rais bado ana majukumu makubwa ndani ya nchi ambayo anayafanya.

Hakuna sababu zozote zinazomkataza wala hizo chenga ulizoandika ila atapokamilisha kazi tuliyompa atasafiri kama kuna ulazima,
Wapo maraisi wengi ambao hawasafiri labda kwenda Vatican ambapo wengi hukimbilia huko lakini naona hata hiyo Rais wetu sidhani kama ana mpango huo
 
Hii haikumfurahisha Uingereza kabisa na za chinichini zinasema akamtonya mshenga wake Marekani watunyime zile za MCC
Wacha kujitekenya wewe! Sababu za kunyimwa hiyo hela zimeelezwa wazi, usituletee habari za kwenye Kahawa hapa.
 
Mnawajua wabepari nyiee??

Kama Marekani alimtaka gadafi na sadaam akawapata, itakuwa magufuli?

Acheni porojo, wale jamaa wakikutaka utakwenda mwenyewee na miguu yako
 
Wakati Kikwete akiunga safari juu kwa juu, wanazi wa CCM walisema nenda baba, katuletee maendeleo na wawekezaji huko ulaya na marekani.
Sasa Magu yeye hasafiri, wanazi walewale wanasema safi sana baba, jenga uchumi wako ndani, achana na mabepari wanaitaka gas yetu.

Huo ni umbulula wa kiwango cha PhD. Kuamini kwamba Magu akikutana na rais wa China atatongozwa na kuingia kingi ni sawa na kusema Magu hana uwezo wa kukomaa. Afterall, kama ni kuuza gas na uranium pamoja na makaa ya mawe tayari yalishauzwa na mtangulizi wake, yeye atulie tu akusanye kodi ya toothpick, magauni na furniture zinazoingia kutokea china.

By the way, foreign policy yetu inasemaje?
Mambo ya CCM yameingiaje hapa!!????? Mh. J.P Magufuli ameongelewa Kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kuhusu foreign Policy nenda kwenye website ya Wizara ya mambo ya nje utaikuta huko na Principles,Objectives & Strategies.
 
I think President Magufuli is planning to move our country in the middle. If so then he will be playing to our strengths coz we need them both (west and communist world).

Certainly we need both West and Communist, however,JPM and Tanzania should first re-define our interest ad pursue these two as a means to an end and not otherwise . What is our Foreign Policy Today? For both West and Communist countries, economic cooperation is a central part of their foreign policy. What they call cooperation agreements are mainly means for pursuing their national interest. Is this the case for Tanzania? By the way, how open is our foreign policy formulation process in Tanzania? How many NGOs or CSOs and independent people do take part in the formulation and monitoring of our foreign policy? I challenge Dr Mahiga, the new Minister for Foreign Affairs to open up the process so that our foreign policy becomes a strong means to achieve our economic, political and social goals. I will be more than happy to be assisted to secure a copy of our foreign policy. Let me sate once again, aid is a means to an end and it is important for each aid we receive we should analyze the ends it intends to achieve and whether we have common interest with the giver. Remember, no free lunch.

I support JPM's current stance of putting his house in order first before he starts re-engaging teh West and Communist to pursue our national interest. I dare say nothing new he would have heard if he attended these meetings but Tanzania challanges on corruption, good governance, human rights etc. I am sure if he continues implementing the reforms he has started he will have a different story to share. Imagine all the monies received from teh west and communist on reforms in Tanzania, but very little achieved. It has only taken Magufuli few months and resources to re-define teh nature and content of reforms. Yes, he is excessive in some aspects but so far he is doing the best ever.

My advise to JPM is continue with house cleaning the west and communities can afford to exclude you and Tanzania. Please set our to true prize in global politics the rest will follow.
 
Hivi kumbe bado kuna dunia/block ya kikomunisti?
Anayesema hivyo hajui maana ya ukomunusti, anaimba ngonjera tu kijifurahisha yeye na wajinga wenzake.
 
Tatizo lugha kule hawaongei kiswahili,jk alipewa miaka kumi kuwa waziri wa mambo ya nje ili ajifunze lugha akaambulia kile anachoungaunga
Mkuu sidhani kama lugha ni tatizo manake tumeshuhudia viongozi wa nchi nguli haswa uchina urusi korea wakienda popote wanaenda na wakalimani wako na kila kitu kinazungumzwa kupitia wakalimani na haya mataifa si ya kitoto
 
Back
Top Bottom