Hatari ya mafanikio - CHADEMA/UKAWA & Lowassa

Hatari ya mafanikio - CHADEMA/UKAWA & Lowassa

Lowassa hata akienda chama gani hatashinda urais, Halafu mnapozungumzia ukawa ya lowassa je mmejumuisha vyama vingine kama CUF na wengine? Naona hapa kuna makubaliano ya chadema na lowassa sio lowassa na ukawa, kwa hiyo kuna uwezekano wa lowassa kwenda chadema na akagombea kwa chadema sio ukawa, kwa sababu vyama vingine havijaonyesha kukubaliana na mpango huo,
Hapo ndio ccm watatumia ile ile ya kugawa kura wao wapite kama mwewe,
 
Hata Libya, Misri na Iraq nao walikuwa wanawaza kama wewe lakini kwa sasa hawawezi kuwaza kutamani kuwaza,kama wewe.

Mkuu mabadiliko si kitu smooth cha mara moja, Misri will undergo the period of instability hata kwa 10yrs ila watafikia tu demokrasia ya kweli. Hata Urusi baada ya mapinduzi ya 1917 walipitia civil war kabla ya mambo ku stabilize, ndivyo inavyokuwaga, mnachokiita amani (mimi nakiita utulivu) ndio mental obstacle to really progress, jua kwamba contradiction and conflict are the source of true development.

Namuunga mkono mtoa mada,
 
Mkuu you have a point, swali nalojiuliza je dola inaweza kusimama pamoja? Ikiweza ktk scenario hii basi ccm itashinda, ikigawanyika kwa ndani basi ndio mwisho wa CCM.
 
Mawazo mazuri sana kama yakitiwa maanani. Haya yote Lisu na Dr. Slaa washayaona, mbali na kutaka kuiondoa CCM madarakani, je watamudu wale waliomsaidia lowasa kununua rasilimali watu?
 
Usiishushe CCM kwa kiasi hicho! CCM ni Chama Dola usisahau hilo, kama Bw.Lowasa akihamia CHADEMA ujue sasa Bw.Lowasa siyo tu adui wa CCM bali ni adui wa Serikali ya JMT na mfumo wake wote kuanzia TRA, Polisi, Magereza, JWTZ n.k chini ya Raisi wa JMT ambaye ndiye Kiongozi wa CCM, usisahau pia uhusiano mzuri wa TanZania na nchi kubwa Duniani kama Uchina, Marekani, Ulaya n.k hawa wote mpaka sasa hivi wanaipenda na kuikubali TanZania kama ilivyo kumbuka Upinzani wamejaribu sana kuisemea Serikali ya TanZania kwa wazungu lkn walipuuziwa kwa maana TanZania ni kipenzi cha Wazungu pmj na Wachina!

Nafasi pekee ya Bw.Lowasa na CHADEMA wake ni labda waasi waingie porini kwa kutumia fedha zao walipe wagaidi na kuanza kufanya nchi isitawalike lkn wakifanya hivyo kama wana huo uwezo kumbuka WatanZania watawageuka na kuwaona wanaleta machafuko pmj na UN na wengineo!

Kumbuka mpaka sasa hivi ukisikia CCM na Serikali wako kimya usifikiri wamelala wanaangalia kila kitu na wanajipanga kumbuka wana uwezo tu wa kufungia chombo chochote kile cha habari pmj na JF na hakuna kitu tutafanya! Hivyo kwa kifupi kama Bw.Lowasa kweli anataka kwenda Upinzani basi naweza kusema kama wazungu wasemavyo yuko out of touch with reality!

Sijawahi ona wapumbavu wa akili kama wewe....

Kwahiyo nchi zote ambazo vyama pinzani wanashinda hakuna jeshi?? KANU iliyoangushwa na NARC haikua na jeshi??

UNIP haikuwa na jeshi??

Acha kuwaza kama maiti....
 
Aisee una bahati natumia simu hapa, ningekugongea likes za kutosha. Good analysis
 
Lowassa hata akienda chama gani hatashinda urais, Halafu mnapozungumzia ukawa ya lowassa je mmejumuisha vyama vingine kama CUF na wengine? Naona hapa kuna makubaliano ya chadema na lowassa sio lowassa na ukawa, kwa hiyo kuna uwezekano wa lowassa kwenda chadema na akagombea kwa chadema sio ukawa, kwa sababu vyama vingine havijaonyesha kukubaliana na mpango huo,
Hapo ndio ccm watatumia ile ile ya kugawa kura wao wapite kama mwewe,

Kile kikao cha cuf ni saa ngapi?
 
Mkuu mabadiliko si kitu smooth cha mara moja, Misri will undergo the period of instability hata kwa 10yrs ila watafikia tu demokrasia ya kweli. Hata Urusi baada ya mapinduzi ya 1917 walipitia civil war kabla ya mambo ku stabilize, ndivyo inavyokuwaga, mnachokiita amani (mimi nakiita utulivu) ndio mental obstacle to really progress, jua kwamba contradiction and conflict are the source of true development.

Namuunga mkono mtoa mada,

Acha kuongopa Hapa!
Misri sasa hivi imerudi kule kule ilikotoka, si ajabu kubaya zaidi! Jeshi lile lile la Mubaraka ndiyo limechukuwa nchi tena, hakuna Demokrasia yoyote ile kwanza Arab Spring revolution yote imefeli vibaya mno! Mpaka leo hii hakuna Raisi wa kuchaguliwa na Jeshi ndiyo linaaamua kila kitu ambalo halichaguliwa na mtu yoyote yule!

Halafu isitoshe unalinganisha vitu visivyolingana huwezi kulinganisha Urusi au sijui Misri na TanZania, hizo nchi zote zilikuwa zinaongozwa kidekta na kulikuwa hakuna uhuru wowote ule si wa kuabudu, wa habari au hata kupiga kura sasa TanZania hatuko hivyo hapa kwetu kuna kila aina ya uhuru leo hii Slaa au sijui Mbowe anasimama jukwaani na kumwita Raisi wa JMT mwizi na fisadi na anashuka jukwaani anapanda gari lake anarudi nyumbani kwake au hata kwenda baa kunywa bia na hakuna anayemuhoji kitu na analalal usingizi anasex na Mke wake bila bugdha kama watz wengine tu, magazeti yanaandika yanavyotaka kuhusu CCM na Raisi wa JMT mpaka wanaandika kwamba raisi wa JMT kauza nchi kwa Wachina kwa sababu mtoto wake alishikwa na madawa ya kulevya Uchina na hakuna kitu kinatokea kwa hawa wanaoandika hivi, Uchaguzi unafanyika Upinzani wakishindwa wanakwenbda Mahakamani rejea Igunga na wanashinda mgombea wa CCM anatenguliwa na Mahakama, Upinzani wanafanya Mikutano bila ya shida na humo wanatukana na kushutumu Serikali rejea Mwanza na saa nyingine hata ushahidi hawana lkn wanalala vizuri tu bila ya shida kwanza wengine hata walinzi hawana sasa kuna Demokrasia zaidi ya hiyo?

Kumbuka Raisi wa JMT ana Absolute Power akiamua hayo yote niliyoyataja anaweza kuyakataza, anaweza kuamua kukifuta CHADEMA kesho na kumweka Slaa ndani kwa kumwita tu (raisi) fisadi na sheria hiyo ipo lkn halifanyiki...

Sijawahi ona wapumbavu wa akili kama wewe....

Kwahiyo nchi zote ambazo vyama pinzani wanashinda hakuna jeshi?? KANU iliyoangushwa na NARC haikua na jeshi??

UNIP haikuwa na jeshi??

Acha kuwaza kama maiti....

Unarudia kufanya kosa lile lile mnalolifanya kila siku kulinganisha KANU na CCM!
CCM siyo KANU, TANU ndiyo ilikuwa sawa na KANU lkn TANU ilikufa na kuanzishwa CCM mwaka 1977 kwa kufwata mfumo mwingine kabisa wa Uchina, Urusi na kwingineko...

Ukitaka kuilewa CCM na mfumo wake angalia FRELIMO ya Msumbiji, Chama cha Kikomunisti cha Uchina, Vietnam, Urusi n.k lkn siyo KANU au sijui takataka gani ya Zambia au Malawi!

Rejea Uchaguzi wa kutafuta Mgombea wa CCM unafanywa na nani? Mfumo ndiyo unachagua Mgombea wa CCM na siyo watu wengine, na Mfumo wa Tanzania ni upi?

Halafu isitoshe siasa za Kenya siyo kama za TanZania kwa maana Kenya wanafwata Ukabila wakati TanZania tunafwata Chama, Kenya unaposema Raila Odinga ina maana Unaongelea Ujaluo wote hivyo kila Mjaluo anaona Raila Odinga ndiyo mtetezi wa Kabila lake na atamfwata popote pale atakapokwenda na Uhuru ni hivyo hivyo na ndio maana kuna kitu Kenya wanaita tyranny of numbers yaani Uchaguzi unaamuliwa kabla hata ya kura wanahesabu tu Kiongozi wa Kabila gani yuko chama fulani na kabila lake lina watu wangapi basi!

Sasa hapa TZ hakuna kitu kama hicho na hakuna MTz kama ilivyokuwa Kenya 2007 aliyetayari kufa na kufanya Vita kwa ajili ya Slaa, Mbowe aua sijui Lowasa kwa maana hakuna kinacho muunganisha (MTZ) wa kawaida na Slaa, Mbowe au Lowasa zaidi ya Siasa tu sasa hiyo haitoshi kupoteza maisha ya mtu!
 
ChiefmTz hiyo mifano uliyotoa haienfani kabisa na nchi yetu.Unajaribu kuwajengea hofu isiyokuwa na msingi ili Watanzania tusiwe nauhuru wa kuchagua ni chama gani kitawale.Kama hivyo sioni nini maana ya vyama vingi kuwapo kama hali ndiyo hiyo.Sisi siyowakwanza kukiondoa chama kikongwe madarakani na hatutokuwa wamwisho kufanya hivyo.Naomba ujue Watanzania waleo wanaakili sana na wanaona mbali sana.Enzi hizi hata wamashambani wanauwezo wakuhoji kwanini?, Lini?,Mda gani.Hawa ndiyo Watanzania waleo.
 
Nakupa 92%, umejitaidi sana kufanya analysis Mkuu.... CCM kwisha habari yao... Kampeni zitakuwa za aina yake ambayo haijawahi kushuhudiwa Africa nzima
 
Usiishushe CCM kwa kiasi hicho! CCM ni Chama Dola usisahau hilo, kama Bw.Lowasa akihamia CHADEMA ujue sasa Bw.Lowasa siyo tu adui wa CCM bali ni adui wa Serikali ya JMT na mfumo wake wote kuanzia TRA, Polisi, Magereza, JWTZ n.k chini ya Raisi wa JMT ambaye ndiye Kiongozi wa CCM, usisahau pia uhusiano mzuri wa TanZania na nchi kubwa Duniani kama Uchina, Marekani, Ulaya n.k hawa wote mpaka sasa hivi wanaipenda na kuikubali TanZania kama ilivyo kumbuka Upinzani wamejaribu sana kuisemea Serikali ya TanZania kwa wazungu lkn walipuuziwa kwa maana TanZania ni kipenzi cha Wazungu pmj na Wachina!

Nafasi pekee ya Bw.Lowasa na CHADEMA wake ni labda waasi waingie porini kwa kutumia fedha zao walipe wagaidi na kuanza kufanya nchi isitawalike lkn wakifanya hivyo kama wana huo uwezo kumbuka WatanZania watawageuka na kuwaona wanaleta machafuko pmj na UN na wengineo!

Kumbuka mpaka sasa hivi ukisikia CCM na Serikali wako kimya usifikiri wamelala wanaangalia kila kitu na wanajipanga kumbuka wana uwezo tu wa kufungia chombo chochote kile cha habari pmj na JF na hakuna kitu tutafanya! Hivyo kwa kifupi kama Bw.Lowasa kweli anataka kwenda Upinzani basi naweza kusema kama wazungu wasemavyo yuko out of touch with reality!

upo milembe au daresalam?
 
Usiishushe CCM kwa kiasi hicho! CCM ni Chama Dola usisahau hilo, kama Bw.Lowasa akihamia CHADEMA ujue sasa Bw.Lowasa siyo tu adui wa CCM bali ni adui wa Serikali ya JMT na mfumo wake wote kuanzia TRA, Polisi, Magereza, JWTZ n.k chini ya Raisi wa JMT ambaye ndiye Kiongozi wa CCM, usisahau pia uhusiano mzuri wa TanZania na nchi kubwa Duniani kama Uchina, Marekani, Ulaya n.k hawa wote mpaka sasa hivi wanaipenda na kuikubali TanZania kama ilivyo kumbuka Upinzani wamejaribu sana kuisemea Serikali ya TanZania kwa wazungu lkn walipuuziwa kwa maana TanZania ni kipenzi cha Wazungu pmj na Wachina!

Wazungu wanasema chama chochote kilicho tawala zaidi ya mia 40 barani afrika hakiwezi kuwaletea maendeleo wananchi husika.Isipokuwa ni kuwanyonya wanachi kama walivyofanya wakoloni.Chama hicho inatakiwa kiondoke madarakani.
 
Yaan ..hapo mwisho umenifanya ...ninyanyuke....ccm waondoke tu tutakuwa kwrnye kipindi cha mpito
Haya Libya, Misri, Iraq, Yemen walikuwa na mawazo kama yako lakini sasa wamejifunza wanajuta. Kwa hiyo unataka kutuambia nasisi watanzania tujaribu mawazo hayo ili tuje pata tabu ya maisha kwetu na familia zetu? ?
 
Back
Top Bottom