Nilifika eneo hilo baada ya dakika 5 hivi kisha ajali. Ilisikitisha sana. Mmoja alikuwa hai bado, lakini hakukuwa na yeyote aliyeweza kutoa msaada ili kuokoa maisha. Kila mmoja alikuwa anatazama tu. Hiyo picha ya pili, ni lori lililokuwa likitoka Dar kuelekea Moro, tank lake la mafuta...
Mimi sina mchango kwa hilo, ujuzi wangu ni kidogo sana. Ninaweza pia ku unlock TTCL Fixed wireless terminal CDMA? zile simu za mezani lakini wireless. Naombeni msaada wenu wataalamu. Asante.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, amesema ni ruksa kwa mwanachama yeyote anayetaka kuhama chama hicho kupinga malipo ya fidia kwa Kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Dowans Tanzania Limited kwa sababu alijiunga nacho kwa hiari yake.
Makamba alitoa kauli hiyo jana wakati...
Telecommunications company Zain Kenya on Monday underwent its fourth re-branding, becoming Bharti Airtel.
The re-branding is expected to complete the takeover of Zain's Africa operations by Indian telecoms giant Bharti Airtel and comes after the Indian company acquired Zain's Africa assets at a...
Kwani hao CHADEMA wameikosea CCM?
Huyo Chuligati anahusika nini na mambo ya wabunge, au yeye ni kibaraka wa Makinda?
Naona Chiligati afunge domo lake haraka, mambo hayo hayamuhusu!!!!:embarrassed:
WAKATI jana Waislamu nchini waliungana na wengine duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd El Hadj, Serikali imetoa tumaini jipya la kuwapatia Mahakama ya Kadhi.
Tumaini hilo jipya kwa Waislamu nchini limetolewa jana na Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal wakati akijibu salamu za Baraza Kuu la...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Wakati wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Mpanda Mjini wakifurahia matokea ya ushindi wa ubunge, Said Amor Alfi, hali si shwari kwa wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo ambao juzi walilazimika...
:israel: Dr. Slaa atafanya press conference na waandishi wa habari kesho siku ya Jumapili. Mahali ni Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Dr. Slaa amesema sio kawaida yake kuongea mambo ambayo hajafanyia uchunguzi.
Haya tumtegee masikio Shujaa huyu hiyo kesho. Sijajua kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.