Recent content by Ilonga Msalabani

  1. Ilonga Msalabani

    Hili la January Makamba ni hatari zaidi

    Mimi nakumbuka vizuri katika hotuba yake alimalizia kwa kusema atakuwa tayari kupokea mawazo mapya ya kuboresha serikali yake. Nadhani kwa hili pekee linatoa room ya kufanya maboresho ya mambo yote yenye mapungufu. Otherwise the guy is the best candidate!
  2. Ilonga Msalabani

    Bentley Bentayga, Range Rover Killer!

    Ni Kweli, Kwa SUV Toyota Land Cruiser VX V8 ni noma sana... They are powerful and reliable pia, nadhani ndio maana serikali inayapenda sana kwa safari za vijijini...
  3. Ilonga Msalabani

    Mwafrika bila mzungu si chochote

    Katika Biblia Kitabu cha mwanzo 9:22-27, Kuna neno hapa... Linaendana sana na haya hapa, naona laana imetolewa. Genesis 9:22-27 22 And Ham, the father of Canaan, saw the nakedness of his father, and told his two brothers outside. 23 Then Shem and Japheth took a garment, laid it upon both their...
  4. Ilonga Msalabani

    Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

    Ni kweli mkuu. lakini lazima tuwe tunajiuliza maswali ya msingi hata kama tunajaribu kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Jiulize kwa nini dini fulani tu ndio inahusika zaidi katika mambo haya ya ugaidi mifano halisi tunayo, Al shabaab, alqaeda, Boko, hamas na mengine kama hayo mengi tu. nini Kipo...
  5. Ilonga Msalabani

    Wapare, Wachaga: Matambiko yamepitwa na wakati

    Mbona hata kwenye Biblia ipo hivyo? tofauti pekee ni kwamba kimila unamtolea usiye mjua (things are hidden to few elders) wakati kwa Mungu sadaka inatolewa kwa yeye aliye juu. siku hizi kutokana na mabadiliko, kutoa sio lazima ngombe au Mbuzi wa kuteketezwa au kuchinjwa. Hata fedha inayofana na...
  6. Ilonga Msalabani

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    Well said mkuu, Nimepata bahati ya kufanya kazi na wenzetu wanangu. Dah,jamani. Wanapiga kazi, halafu hata issue mdogo ambayo ambayo kubongo bongo tungemezea waibua na ku deal nayo mpaka inakamilika! Very focused! Kikao saa mbili mbongo anatinga saa tatu! Wapi na wapi! Halafu tunalalamika mara...
  7. Ilonga Msalabani

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    Nashukuru mkuu, japo inauma kuwa Chini ya other races! Nimepata majibu kwa nini south Africa iko vizuri kuliko nchi zote za Africa! Nadhani ili kuwa na naendeleo Kuna haja ya kuungana na Hawa wadau, kitu ambacho serikali zetu ndio zinafanya, kwa sababu ya inferiority, na ujinga tunakubali...
  8. Ilonga Msalabani

    Kwanini sisi Waafrika ni Masikini?

    Mimi, kuna wakati huwa najiuliza. Hivi kwa nini sisi waafrica? Ukiangalia Historia, mfano kwa habari ya utumwa kwa nini sisi hatukuwaza kwenda kuwatawala wenzetu mabara mengine? kwa nini wao wametutangulia tangu mwanzo? Hata utendaji kazi wao hawa jamaa weupe ni tofauti na wetu. Angalia nchi...
  9. Ilonga Msalabani

    Nature fanya Kazi yako, Toa hii takataka Hapa Duniani...

    Viroba, ni vibaya sana kwa kweli. Hasa vya asubuhi.....n mida kama hii
  10. Ilonga Msalabani

    Jamani nafuta mchumba...

    Hahahaaa! Dah!
  11. Ilonga Msalabani

    Natafuta mganga wa jadi

    hebu pata elimu hii inaweza kuwa msaada kwako. Ni kweli kabisa Yesu Alikuwa binadamu kama mimi na wewe. Yesu alikuwepo kabla ya kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu soma mithali 8:22-31. katika kuumbwa kwako mimi ya wewe ndiye aliyefanya kazi ya kukufinyanga. ndiye fundi stadi. Yesu ni Mungu...
  12. Ilonga Msalabani

    Natafuta mganga wa jadi

    Haya madhara yatokanayo na kutokumuona Mungu, kwa muda mrefu. Expriencing God through his powers and actions matters alot in our lives. Kadiri tuishivyo, tutazidi kupitia changamoto ktk maisha until we have powers and ability to deal with the devil and his powers. Mungu yupo na ni halisi (God is...
  13. Ilonga Msalabani

    Jamani nafuta mchumba...

    Naona una wivu kweli! Sijadharau watu hapo, kijijini kwetu ni kwetu. No mjinga tu ndio anadharau kwao.Hakuna vyuo vijijini. Elimu mjini ndugu! Kama kijana kuna mambo unahitaji kufanya kielim. Bado nipo mjini. Sociology, niambie imeandikwa wapi kama ni ya kike! Acha dharau wewe!
Back
Top Bottom