Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
Shirki!
Yesu alikua Binadamu akila na akienda kunya mavi na kukojoa chooni...hana uwezo wa kutatua matatizo ya kiumbe chochote!
Pole sana watu huku Ulaya wanataka watoto wa kiume weweMzizi mkavu mie langu dogo sana,nna watoto wakiume watupu yani kila nikijaribu mpaka nimechoka nnao 6 twins wote.
Natamani wa kike japo mmoja utanisaidiaje?lol
Shukran....Pole sana watu huku Ulaya wanataka watoto wa kiume wewe
umechoka unataka watoto wa kike kasheshe kweli. Ninakupa ujuzi fanya hivi fuatilia siku za mzunguko wa
mke wako mwanzo wake wa siku anayopata damu ya hedhi. Uhesabu ndio siku ya kwanza uendelee
kuhesabu mpaka ikifika siku 10 au siku ya 11 tangu alipoanza kutowa damu yake ya hedhi. Ndio waweza
kufanya nae mapenzi na ukifanya nae mapenzi usifanye nae tena mapenzi mpaka apate siku zake mwezi
unaokuja tena. Ndio anaweza kushika mimba ya mtoto wa kike mbona kushika mimba ni rahisi kuliko
mtoto wa kiume.
Sabalkheri Mabibi na Mabwana wa Jamiiforums.
Nimekuwa msomaji wa tovuti hii kwa kiasi cha muda na sasa nimeonelea vyema kujiunga nanyi.
Natafuta mganga mzuri wa jadi awezae kazi na sio mwenye maneno matupu, najua humu wapo watu kadha wa kadha waliowahi pata mitihani ya maisha na kwenda kuongea na mizimu na kupata ufumbuzi wa jambo husika.
Mimi ni mjasiriamali na napatikana morogoro na kusafiri naweza.
Kwa yoyote alie na mawasiliano na mganga mzuri tafadhali nitumie mawasiliano yake kwa PM. ukinisaidia na nikapata ufumbuzi nitakupatia zawadi.
Ni hayo tu kwa leo.