Jamani nafuta mchumba...

Jamani nafuta mchumba...

We ndo, ukajipange! Acha wivu wewe! Ninafanya kama utani lakini ni kweli! Wewe tu na mawenge yako!
 
Nikirudi kijijini then, what? Does it help? kijijini ni kwa wasiosoma...acha mambo yako...
Siyo kweli. Kijijini sio kwa wasiosoma mjomba. Wewe na elimu yako mpaka sasa hivi huna mbele wala nyuma unatafuta kulelewa tena na mwanamke! Kijijini kuna watu wanakupiga bao ile mbaya hicho kielimu chako cha mdebwedo sociology. Halafu mwanaume utasomaje sociology bhana? Hiyo ni course ya mademu tena waliofeli form 6.
 
Yani unatia kichefu chefu. Mwanaume utasomaje course za mademu kama Sociology bhana? Halafu unadharau watu wa kijijini?
 
Yani unatia kichefu chefu. Mwanaume utasomaje course za mademu kama Sociology bhana? Halafu unadharau watu wa kijijini?

Naona una wivu kweli! Sijadharau watu hapo, kijijini kwetu ni kwetu. No mjinga tu ndio anadharau kwao.Hakuna vyuo vijijini. Elimu mjini ndugu! Kama kijana kuna mambo unahitaji kufanya kielim. Bado nipo mjini.
Sociology, niambie imeandikwa wapi kama ni ya kike! Acha dharau wewe!

Yani unatia kichefu chefu. Mwanaume utasomaje course za mademu kama Sociology bhana? Halafu unadharau watu wa kijijini?
 
Hahahhaha!!!

Huelewi nini hapo mkuu??

Avatar yako imenifurahisa sana

hahahaa!! ngoja niwahi kwenye pc za majirani nijione! natumia teno25!

ihihihihhiii!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom