Mwanzo kabisa, nilikuwa sielewi chochote kuhusu katiba mpya. Lakini siku zinavyozidi kwenda, ikanifanya nizidi kuelewa nini maana ya katiba mpya na kwanini ina changamoto nyingi. Mimi si Mwanachama wa chama chochote, ila nashabikia CHADEMA na baadhi ya Watu makini wachache wa CCM. Nataka kuzungumzia kdg kuhusu utafiti wangu wa kihistoria kuhusu Muungano. Kwa sababu katika katiba mpya hii ndio changamoto kubwa.
Mwanzo nilikuwa sielewi kwann CCM wanang`ang`ania S2 na wengine (nikiwepo mimi pasipo kuelewa kisa, nashabikia CHADEMA-UKAWA) S3. Nikaamua kufanya kautafiti kangu ka kijinga kidogo lkn kana mantiki sana kwa watu wenye uelewa. Nianze na swali, kwanini CCM wanataka S2?
Watu makini na wenye kumbukumbu na wenye kuona mbali kitaifa wataunga mkono S2, hapa wanaogopa hoja ya kuwa Nchi itaingia vitani. Kwanini nchi itaingia vitani kama wasemavyo JK na mwenzie WL, inasadikiwa kwamba, Zanzibar kihistoria ilikuwa ni nchi ya kishirazi kwa maana ya kwamba washirazi (ambao wengi ni origin ya Saudia) waliitaka sana Zanzibar toka kipindi cha Sultan Seyyid Said.
Washirazi hawa ambao wengi wao wanatoka pemba, ndio wenye misimamo mikali sana hasa wakiongozwa na kivuli cha dini. Hawa watu, wengi wao wana ushirika na waislamu (samahani sana kuingiza udini hapa) wengi ambao wana misimamo mikali duniani. Wao hupenda kujitanua kinchi na kutaka kumiliki kila nchi kama utani vile. Na pia huleta fujo nyingi sana na uvamizi usio na maana kama inavyotokea Kenya.
Kihistoria, Hayati Karume aliwajua hawa, akishirikiana na Mwl Nyerere, ndio maana kwa pamoja wakafanya juhudi za kujinasua na kuwatoa wengi waende makwao huko. Inasadikika kwamba kuna kipindi walikuwa wanakuja TZ-bara, wakiwa 120 ndani ya boti, Nyerere akajua hilo, akatuma makamanda wake, wakazamisha meli na wakafa wote.
Inasadikika kuwa Karume kwa kushirikiana na Mwalimu, walikataa eneo la Mombasa ambalo inasemekana lilikuwa eneo la Zanzibar kwa minajili kwamba Mombasa ilijaa waislamu wenye misimamo kama ya wale wenye asili ya washirazi (wakorofi). Hivyo Mzee Karume akagoma Mombasa iwe sehemu ya Zanzibar.
Hivyo basi, Karume ba Nyerere wakaamua kuunda Tanganyika na kukawa na Muungano wa hizi nchi mbili. Hasa kwa sababu kubwa ya Kiusalama. Na ndio maana hadi leo, makombora makubwa na ya maana yapo Zanzibar kuliko Bara. Kama unafuatilia sana, kwanini? Kwa sababu Zanzibar inaweza kuingilika kirahisi katika vita.
Yanayotokea leo Kenya, moja ya sababu ni kutoka Mombasa, wamejaa waislamu safi na wale ambao wana makusudio tofauti. Na ndio maana Kenya watapata sana tabu ya kiuasalama katika hili. Karume na Mwalimu wakikiona hili wakaamua Jumbe apigwe chini kutokana na kisa hiki, na ndio maana Karume alienda kuchukua majeshi Kenya kuja kumtoa Sultan Zanzibar.
Jumbe alifanya siri sana kutaka kujitoa katika Muungano, kwanini alijulikana kirahisi? Seif alionekana msumbufu sana Zanzibar, wajanja wakamuweka kwenye system, usalama. Akaahidiwa ipo siku atapewa urais. Seif ndiye aliyetoa siri ya Jumbe kuhusu kuvunja muungano akiamini ipo siku atakuwa rais. Baada ya kunyimwa urais akageuka na kuwa mtu anayetaka kuvunja Muungani kama alivyotaka Jumbe.
Kukiwa na S2 na Zanzibar ikaunganika na Tqnzania bara, si rahisi sana uvamizi kutokea, lkn ikijitenga kwa kuwa na S3 hii kitu kutokea na rahisi sana, na Zanzibar watajaa watu wengi sana wenye misimamo tofauti na Tanzania. Ndio maana Mwalimu alisema wekeni S3 nikiwa nimekufa kwa sababu alilijua hili.
Hii ni sababu kubwa sana kwanini watu wa CCM wanataka S2, na hata walio wengi ndani ya CCM hawakuelewa, walipoelezwa hili wakabadili misimamo yao, kama anavuosema Pokepole kuwa ndani walisema S3 ika nje S2, ni baada ya kueleweshwa juu ya usalama wa nchi ndani ya S3 na S2.
Kesho nitaeleza nini hasara ya huu mtazamo wa CCM na faida ya kuwa na S3 lkn pia mabaya ya S3 na S2 Kihistoria na kwa manufaa ya wachache wanaotaka haya yafanyike. Naomba radhi kwa pale ambapo nimeeleweka vibaya, pia mie sio mwandishi mzuri wa kupanga hoja zangu.
Naomba kuwasikisha.