Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Mtandao hatari wa mabomu wanaswa

Deviant characters wakiwa na kitu kinachowaunganisha kama dini au pombe au bange lazima tuhoji hicho kinachowaunganisha. mf. kinachowaunganisha mateja ni unga. ili kutatua matatizo ya mateja lazima tu address unga. hivyo hivyo uislam kwasababu walipua mabom wote ni waislamu. magaidi wote ni waislam hii inatufanya to deduce kwamba uislam ni tatizo ndani ya jamii yetu. tuuepuke

Umeanza vizuri hakafu hamira ya dini imekuumua beyond your container umeanza na unga ambao ni matter in powder form ulipokuja kwenye dini ukachukua uislamu whole heartedly kana kwamba ni jiwe ingawa jiwe oia laweza kuwa kokoto au mchanga!!!!

Analysis ulijifunzia wapi???!!!
Tenga data kwa strata halafu rudi hapa!!!
 
Mazuzu mkuu peri , mazuzu ndio yanatuharibia jamii wazi kabisa na mitandao pamoja na huu, mijadala ya kifalla kabisa inapewa uhuru humu!!!!!

na mbaya zaid watu wameamua ku align na haya mazuzu...............
 
af kuna watu wanaona kwamba kuitwa mkristo ama muislam ukafanya kosa fulan ni big deal na tena hufikia kuvictimize watu wote wa dini ile.

apart from siye kuwa na dini fulan lkn haijatufanya tusiwe binadamu wa kawaida na ambao tunaweza kukosea kiwango cha kawaida.

kisa kakutwa na mabom ni ishu lakin kwenye kutenda dhambi nyingine bado kunaonekana hakuna tabu

Ukitenda dhambi ambayo inakuathiri wewe na nafsi yako kwanini wengine tuumie? ila unapo amua kutenda dhambi ambayo inawaathiri watu wengine ndio tunalaani kwani hawa unao wahusisha wana makosa gani? mathalani ukienda kupiga bomu kwenye mkutano wa siasa amba unahusisha watu wa dini zote, makabila mengi,watoto kwa wakubwa,wenye dini na wasio na dini,Je, kwanini tusikushangae? maana inaonekana lengo lako lilikuwa ni kudhuru binadamu wenzako jambo ambalo si jemahata kidogo. binafsi najua kuwa wanao potoka hawakosekani katika kundi lolote iwe katika familia, ukoo,dini,kabila,kundi la siasa lakini inapo tokea kuwa kundi fulani kila wakati ni wao lazima tujiulize KWANINI WAO KILA WAKATI? LAZIMA KUNA JAMBO.
 
aya bhana.............................

umenivunja mbavu asbh hii lol!!

to wind up, we are all sinners, na tumepungukiwa na utukufu wa Mungu

Do i need more reasons to love you!!!!???
 
Tatizo mnaamini sana "dini" na "labeling" !!!!!

Deviants lazima watoke miongoni mwa jamii

Ni kweli mkuu.
lakini lazima tuwe tunajiuliza maswali ya msingi hata kama tunajaribu kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Jiulize kwa nini dini fulani tu ndio inahusika zaidi katika mambo haya ya ugaidi mifano halisi tunayo, Al shabaab, alqaeda, Boko, hamas na mengine kama hayo mengi tu. nini Kipo nyuma ya haya. Je ni mafundisho yanayotolewa? Au kuna nini, je nini dhamira ya haya yote mwisho wa siku.
mi nadhani kutetea ujinga ni sawa na kufuga bom ambalo kuna siku litalipuka na pasiwepo wa kuweza kulizuia na ndipo itakapo kuwa mwisho wa amani iliyopo sasa licha ya maisha kutupiga.

Hawa jamaa wapo serious and it seems that they are committed to what they are doing and this spirit is takinp up as time goes on. kama haitafanyika uchunguzi wa kutosha ili kujua chanzo, dhamira na kujua nini kinatakiwa kufanywa wakati huu bado mapema. Bas huko tuendako hali itakuwa tete zaidi.
 
Ukitenda dhambi ambayo inakuathiri wewe na nafsi yako kwanini wengine tuumie? ila unapo amua kutenda dhambi ambayo inawaathiri watu wengine ndio tunalaani kwani hawa unao wahusisha wana makosa gani? mathalani ukienda kupiga bomu kwenye mkutano wa siasa amba unahusisha watu wa dini zote, makabila mengi,watoto kwa wakubwa,wenye dini na wasio na dini,Je, kwanini tusikushangae? maana inaonekana lengo lako lilikuwa ni kudhuru binadamu wenzako jambo ambalo si jemahata kidogo. binafsi najua kuwa wanao potoka hawakosekani katika kundi lolote iwe katika familia, ukoo,dini,kabila,kundi la siasa lakini inapo tokea kuwa kundi fulani kila wakati ni wao lazima tujiulize KWANINI WAO KILA WAKATI? LAZIMA KUNA JAMBO.

Your ID has it all!!!
 
Deviant characters wakiwa na kitu kinachowaunganisha kama dini au pombe au bange lazima tuhoji hicho kinachowaunganisha. mf. kinachowaunganisha mateja ni unga. ili kutatua matatizo ya mateja lazima tu address unga. hivyo hivyo uislam kwasababu walipua mabom wote ni waislamu. magaidi wote ni waislam hii inatufanya to deduce kwamba uislam ni tatizo ndani ya jamii yetu. tuuepuke

Kama kuna kaukweli vile
 
Ni kweli mkuu.
lakini lazima tuwe tunajiuliza maswali ya msingi hata kama tunajaribu kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Jiulize kwa nini dini fulani tu ndio inahusika zaidi katika mambo haya ya ugaidi mifano halisi tunayo, Al shabaab, alqaeda, Boko, hamas na mengine kama hayo mengi tu. nini Kipo nyuma ya haya. Je ni mafundisho yanayotolewa? Au kuna nini, je nini dhamira ya haya yote mwisho wa siku.
mi nadhani kutetea ujinga ni sawa na kufuga bom ambalo kuna siku litalipuka na pasiwepo wa kuweza kulizuia na ndipo itakapo kuwa mwisho wa amani iliyopo sasa licha ya maisha kutupiga.

Hawa jamaa wapo serious and it seems that they are committed to what they are doing and this spirit is takinp up as time goes on. kama haitafanyika uchunguzi wa kutosha ili kujua chanzo, dhamira na kujua nini kinatakiwa kufanywa wakati huu bado mapema. Bas huko tuendako hali itakuwa tete zaidi.

Who coined the term " terror"???!!!
Who is propagating the movements against his own creation????!!!
Osama was the King pin as it was put forward, was he from Mars??!!!
Tora Bora has gone, what came out of it???!!!
Why terrorism spins arround oil associated countries???!! Oonh it is said Tanzania and Kenya have high deposits too, sequential or a mere coincidence????!!!

Keep following the said as if your brain is just a "universal recipient" apparatus!!!!
 
Ukitenda dhambi ambayo inakuathiri wewe na nafsi yako kwanini wengine tuumie? ila unapo amua kutenda dhambi ambayo inawaathiri watu wengine ndio tunalaani kwani hawa unao wahusisha wana makosa gani? mathalani ukienda kupiga bomu kwenye mkutano wa siasa amba unahusisha watu wa dini zote, makabila mengi,watoto kwa wakubwa,wenye dini na wasio na dini,Je, kwanini tusikushangae? maana inaonekana lengo lako lilikuwa ni kudhuru binadamu wenzako jambo ambalo si jemahata kidogo. binafsi najua kuwa wanao potoka hawakosekani katika kundi lolote iwe katika familia, ukoo,dini,kabila,kundi la siasa lakini inapo tokea kuwa kundi fulani kila wakati ni wao lazima tujiulize KWANINI WAO KILA WAKATI? LAZIMA KUNA JAMBO.
sipingani na hilo ila napinga watu kuwa victimized kwa dini zao................ayo mabomu ni wakristow angapi ambao wanayo na wameyaficha?? ama ni kwakua hawajayafanyia tukio?? na je ingekuwa ni mkristo anayo ungesemaje\??
 
propaganda za vyombo vya Habari zimechangia kwa kiasi kikubwa kueneza chuki na fikra potofu, sio Tanzania tu bali ulimwenguni pote.

Matokeo yake Ndio tunayo yaona Leo, na Kuna hatari ya matokeo mabaya zaidi huko tuendako.

Sure... hivi hao wanaounasibisha uislamu na ulipuaji mabomu hawajiulizi kwamba uislamu unafaidika nini na huo ulipuaji?
Uislamu sio uoga, hata hiyo jihad hakuna jihad ya kujilipua na kuua watu wasio na hatia wakiwemo kina mama na watoto.....Jihad inapiganwa uwanja wa vita wanaume kwa wanaume...
Ila propaganda zimefanikiwa kulifanya neno jihad liwe na maana nyingine...! Itafika mahali mislamu akipigana ngumi na mtu mwingine kwa sababu yoyote ile itaitwa jihad...
 
Mi nikikutana nayo huwa naya blast halafu huyooo naenda zangu machungani kunenepesha mifugo yangu!!!!!

Olesaidimu you will agree with me that islam is a straight jacket and has affected your intellectual faculties to a point of no return. Indeed islam is like opium I need not look further.
 
I real care less when re baptized on air, without water, no palm on my head and after all the baptist is not authorized!!!!

Religions of all sorts if not taken with care have opiate side effects, check the level of yours!!!
 
Watu wa iman moja wakawa na kasoro moja,ya kuua watu.Tatizo ni iman hiyo na sio watu.Kuushinda ugaidi lazima Pawepo na mapambano juu ya iman hizi

lets not point fingers bluntly now.Your comment is full with hatred.Religion is something positive.Now why do you think its causing conflicts between people?Put your emotions aside.We are here in to discuss issues in a very polite and respectful manner.I beg you to respect people who belief in the importance of religion.
 
Watu wa iman moja wakawa na kasoro moja,ya kuua watu.Tatizo ni iman hiyo na sio watu.Kuushinda ugaidi lazima Pawepo na mapambano juu ya iman hizi

Ipigeni basi hiyo iman marufuku.

Naona mnazunguka zunguka tu.

Mnahofia nini kuitokomeza hiyo iman iliyo kero na inayohamasisha mauaji??
 
Back
Top Bottom