CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
hahaha shemu wewe ni nouma yaani linapo kuja swala la kusaka noti huwa hutaki utani.
Mkuu ujue pesa ni sabuni ya Roho eeeh.....
hahaha shemu wewe ni nouma yaani linapo kuja swala la kusaka noti huwa hutaki utani.
kwa ukaguzi wa hapo chini...sijui kama utafanikiwa...
![]()
Tembea along Morogoro road utakuta vibao vingi sana
Mzizimkavu naweza mpata wapi mkuu.
Eleza shida yako unasemaje? unaweza kunitafuta kwa njia ya baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comSabalkheri Mabibi na Mabwana wa Jamiiforums.
Nimekuwa msomaji wa tovuti hii kwa kiasi cha muda na sasa nimeonelea vyema kujiunga nanyi.
Natafuta mganga mzuri wa jadi awezae kazi na sio mwenye maneno matupu, najua humu wapo watu kadha wa kadha waliowahi pata mitihani ya maisha na kwenda kuongea na mizimu na kupata ufumbuzi wa jambo husika.
Mimi ni mjasiriamali na napatikana morogoro na kusafiri naweza.
Kwa yoyote alie na mawasiliano na mganga mzuri tafadhali nitumie mawasiliano yake kwa PM. ukinisaidia na nikapata ufumbuzi nitakupatia zawadi.
Ni hayo tu kwa leo.
nitafute kwa njia ya baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.comMzizimkavu naweza mpata wapi mkuu.
Eleza shida yako unasemaje? unaweza kunitafuta kwa njia ya baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
nitafute kwa njia ya baruwa ya pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Mzizi mkavu mie langu dogo sana,nna watoto wakiume watupu yani kila nikijaribu mpaka nimechoka nnao 6 twins wote.
Natamani wa kike japo mmoja utanisaidiaje?lol
Tatizo sio kwako. liko kwa mkeo. Hakuna hhaja kwa jambodogo kama hilo muandamane na shemeji mpaka huku niliko. wewe endelea na shughuli zako ila mpe shemeji nauli ya kujia tu wakati wa kurudi nitampa lift maana nina safar ya Moro wk ijauo. ukifanikiwa utanipa hela zangu
Haya madhara yatokanayo na kutokumuona Mungu, kwa muda mrefu. Expriencing God through his powers and actions matters alot in our lives. Kadiri tuishivyo, tutazidi kupitia changamoto ktk maisha until we have powers and ability to deal with the devil and his powers.
Mungu yupo na ni halisi (God is real) through Jesus Christ. This is true and Amen, whether you believe or not.
Watu wengi hawaamini kwamba Mungu anaweza yote, na hii inatokana na malezi na makuzi tunayopitia ktk maisha. Watu wa karibu wanachoamini kina husika sana.
Mtoa mada, mi nakushauri mpokee Bwana Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, the omba na mahitaji yako yatatimizwa na utajiri na heshima yako itadumu, maana vya Mungu hudumu kama yeye adumuvyo. Achana na njia za mikato, mali zake nazo huisha hivyo hivyo kimkato mkato. Mungu yupo na anafanya hata sasa. Imani yake kwake tu ndio inayo hitajika, kama unavyo amini waganga wa kienyeji na huo ushirikina. Yesu alisema njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha. Come to Jesus and he will accept you.
Ikumbukwe kwamba.
Mungu ni Roho na shetani pia ni roho, Mungu anahitaji watu na shetani pia anataka watu ili ku-operate duniani. Mchague Mungu katika Kristo Yesu nawe uishi kwa Amani na Mungu apate utukufu, chagua shetani na kundi lake (waganga wa kienyeji) ukaribishe laana na mauti nyumbani kwako. Kumbuka Mungu ni mwenyezi kila kitu ni chake lakini anatupa sisi kuchagua kati yake, shetani au kuishi kivyetu.
Tafadhali mpokee Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako(okoka sasa), naye atakuweka huru na kukupa kila haja ya moyo wako siku kwa siku na pia kukuhakishia uzima wa milele baada ya maisha haya. It may not seem to make sense, but remember God does not make sense, human intelligence has failed to comprehend and apprehend him, and besides, most of the things of God are controversal, even his servants are controverse too. But he remains to be the Lord and saviour and no one can change that.
cc @Uwoga umasikini, NGULI