Recent content by ihi2011

  1. I

    JamiiForums Tanzania CUF Wajipanga kufanya uchochezi Mtwara kesho

    Inasikitisha sana, kusikia CUF wanajiandaa kufanya uchochezi Mtwara. NCCR Mageuzi ilikuwaje hadi mwenyekiti wake akapigwa mawe? CHADEMA hawakukubalika kwenye zoezi la kuvua gamba na kuvaa Gwanda. Inaonesha CUF inakubalika kusini. Pia naamini CUF imewaunganisha Wazanzibari ndio maana leo wanaishi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba huifahamu Sheria, acha ichukue Mkondo wake

    HUU NDIO UDINI. Umoja wa makanisa waikosoa Serikali UMOJA wa Makanisa Mkoa wa Mwanza, umeikosoa Serikali na kutoa matamko manne ya kuiepusha nchi isiingie katika migogoro isiyo na tija kwa Watanzania. Matamko hayo, yanayotazamwa na umoja huo kama ni viashiria vya hatari nchini...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba huifahamu Sheria, acha ichukue Mkondo wake

    Hivi tatizo nini? Tatizo ni lipumba kusema Ponda ashitakiwe Mahakama ya Ardhi? Au kwa kuwa yeye ni Muislam hakustaili kusema hivyo? Augustin Lyatonga Mrema alipata kusema wakati fulani, nikichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano nitawarudishia Waislamu mahakama ya kazi. Wiki mbili zilizo...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

    Tunaamini sheria imefuata Mkondo.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee sasa aukana uchumba wake na Joshua Nassari...

    MBona haieleweki hiyooooooooooooo
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mh. Mabumba, Mh. Manyanya & Mh. Mwigulu, Msituharibie CCM yetu!

    Inasikitisha kwa hilo, lakini mwana CCM hawezi kusema haya:USHAURI WANGU 1. Tuache kuhusianisha migomo na chadema tutazidi kujizika 2. Raisi arudi tena kuongea na ma dr ni watoto wake huwezi kuwakimbia, hili HALIKIMBILIKI MR RAISI 3. Wanaofanya unyama wakupiga watu wakamatwe haraka. 4. Wabunge...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

    Tuache ushabiki wa siasa, tuache kupenda visivyo pendeka. Tuwe tunapost vitu vinavyo eleweka na tulivyo na uhakika navyo. Mnatuhamasisha tuwaunge mkono kwa lipi? kwa huo mgomo? tuache uanaharakati mnafikiri kushindwa kwa maandamano sasa migomo ndio sababu ya kuona serikali imeshindwa? Mbaya...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

    Kwa maana hiyo anaruhusiwa kuvunja AMRI ya sita kwa kila mwanamke amtake kwa kuwa hana mipaka?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kumuunga mkono JK

    Ni mtazamo mzuri kwa mpenda nchi yake. Kichwa cha habari ni kizuri sana, Nakupongeza mtoa mada kwa kuutambua ukweli. Ukweli nami naunga Mkono katika hilo kuwa Wasaidizi wanamuangasha. Mfano mzuri kuhusu posho za Waheshimiwa Wabunge. Jamaa kawaambia Tumieni Busara, wao wamesema kakubali...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Saa imetimia - madaktari waonyesha njia

    Appolo siyo ya viongozi wa CCM tu, hata Mh Zitto aliposumbuliwa na kipanda USO, Mh Spika alisema tutampeleka Appolo. Sisi tu ndio tunaodanganyika eti viongozi lazima wawe wa CCM. Ndio watibiwe nje ya nchi
  11. I

    JamiiForums Tanzania Saa imetimia - madaktari waonyesha njia

    Inapendeza kusikia wapo kazini. Ila vyema tuseme tuwachangie sasa ili kuwaongezea kipato kuliko hiyo njia uliyosema tuwaunge mkono. mchemko mkubwa sana
  12. I

    JamiiForums Tanzania Saa imetimia - madaktari waonyesha njia

    Acha siasa mtoa mada, hayo ni sawa na maneno wanayoyasema Wagunge kuwa wanapiga vita Ufisadi kumbe wenyewe ndio mafisadi. Sasa unataka Madaktari wafungue Account watanzania wawachangie wakati hawataki kuwahudumia na wanakufa, Wachangiwe kwa lipi hasa. Hivi umekurupuka au umefikiria? Hivi unaweza...
  13. I

    JamiiForums Tanzania MUHIMBILI HALI YAANZA KUWA MBAYA-shuhuda kutoka hospitali aongea kwa uchungu

    Jamani hatuitaji kuwaunga mkono Madaktari, tunahitaji kuwaondoa Madaktari walio kwenye maofic ya umma ambao hawaitaji kutuhudumia. Sisi tuandamane kwenda kuwaondoa madaktari kwanza kisha ili wasitumia rasilimali za Watanganyika. Kisha ndio tunaandamana kwenda kwa Deo Mtasiwa, naye aache kula...
  14. I

    JamiiForums Tanzania MUHIMBILI HALI YAANZA KUWA MBAYA-shuhuda kutoka hospitali aongea kwa uchungu

    Ndugu zangu Watanganyika, nafikiri mmeona kila idara inayohusiana na maisha ya Mtanganyika wa kawaida inakuwa na Mgogoro. Nashukuru na ninaomba wale walizi wa AMANI ya Nchi yetu wasigome. Lakini nina kitu kimoja ambacho napenda kuuliza, Hivi sisi wananchi hatuwezi kuandamana kwenda kuwaondoa...
Back
Top Bottom