Nilijua tu! Haiwezekani rais amtetee halafu hakimu amwone na hatia. Unadhani magazeti ya kesho yangemwandikaje. Na anavyosimamia kucha sasa hivi!? Nasubiria updates!Inadaiwa leo (Agosti 09, 2012) Mahalu kaibwaga serikali karika hii kesi!
Updates zinafuatia
Utaratibu gani alitoa jk tuelezane basi
Nilijua tu! Haiwezekani rais amtetee halafu hakimu amwone na hatia. Unadhani magazeti ya kesho yangemwandikaje. Na anavyosimamia kucha sasa hivi!? Nasubiria updates!
Kesi hii ni lazima Mahalu ashinde. Kwa mara nyingine mahakama imeingia kwenye kitendawili au kutoa haki au kusimama na aliyeianzisha mr dhaifu.
Tatizo la kikwete ni mtu wa visasi sana na amehusika sana kuitunga kesi hii na jambo hili ni dhahili wala halina kificho hata chembe.
Kweli kikwete ni dhaifu..
Update-Kesi Ya Profesa Mahalu Imeahirishwa
![]()
Hukumu ya Kesi inayomkabili aliyekuwa balozi wa Tanzania nchia Italia Profesa Costa Mahalu imeahirishwa mpaka tarehe 9 mwezi ujao
Source: Mjengwa blog
Update-Kesi Ya Profesa Mahalu Imeahirishwa
![]()
Hukumu ya Kesi inayomkabili aliyekuwa balozi wa Tanzania nchia Italia Profesa Costa Mahalu imeahirishwa mpaka tarehe 9 mwezi ujao
Source: Mjengwa blog
NDO TUNATOKA HAPA MAHAKAMANI mAHALU KASHINDA KESI, ILIKUWA NI KESI YA KISIASA jk KUPIMANA NGUVU NA mKAPA, jk KACHEMKA LIVE NA HUO NDIO MWISHO WA FITINA HUWA AIBU
Ndugu inabidi ujue , kuna wengine ni visasi ila wengine wanatolewa kafara ili kutudanganya wadanganika , Hahahahaha ,Unataka kutuambia hawa wote rais amewaonea?
Liyumba visasi, Yona visasi, Ballali visasi, Jeetu Patel visasi, Mramba visasi, Maranda visasi, Farijala visasi, Mgonja visasi?
Kwanini mnaona kama mtu kufikishwa mahakamani ni kitu kibaya? mimi nilitegemea hao wahusika washukuru kwamba wamefikishwa mahakamani ili wapate nafasi ya kujisafisha.