Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,783
- 819
Ni muda muafaka sasa kwa wananchi kuchukua hatua.
Wanasiasa wana nia mbaya na Tz, nia yao ni kusababisha uvunjifu wa amani.
Ni muda muafaka sasa kwa wananchi kuchukua hatua.
Yuko Davos kuomba madakatari wa kigeni kutusaidia.....
sio mihimbili pekee,effect ipo mpaka morogoro.
madaktari ni watanzania na wanawapenda watanzania,wawapigania watanzania.wananchi waeleweni madaktari.nimeona Mbeya Dr kasema watawasaidia kina mama wajawazito na wale waliokatika hali mbaya wengine tuendelee kunywa Panadol mpaka pale serikali itakapokubali kuwasikiliza
watawala hawaelewi,kwani kwenda kuongea nao wanaogopa nini?
maspecialist wana mpango wa kugoma
Wagonjwa wote watapelekwa India!
Hakika tumelaaniwa sote. Tukianza maandamano kuwaunga mkono madaktari utaona mtanganyika mwenzio anakupiga kirungu na bomu la machozi utadhani yeye ndugu zake watabiwa india! Aibu aibu...!Hii nchi itakuwa na laana. Kama sio watu wake ndio wenye laana.
Hakika tumelaaniwa sote. Tukianza maandamano kuwaunga mkono madaktari utaona mtanganyika mwenzio anakupiga kirungu na bomu la machozi utadhani yeye ndugu zake watabiwa india! Aibu aibu...!
Wapi Kinjekitile wa leo atuongoze?
Mkwerè ndo kwanza anakula bata uswizi hana habari.