"Show me your friends and I will tell you what you are!" Unao uhakika kwamba hao "wasaidizi", kwa namna moja au nyingine, si tegemeo na nguzo muhimu kwa kuwepo na kudumu kwa JK madarakani? Unadhani amekurupuka tu kuwateua kwenye nyadhfa walizo nazo?
Njaa itakuuwa
Niliposoma kichwa cha habari yako nimeshindwa hatakusoma habari yenyewe, what is so good about this boy Jakaya? He had opportunity to do changes soon when he was elected first time in 2005, Kila mtu aliweka tumaini kwake kwa sasa tanzania yenye neema yaja, Machale yalinicheza alipo chagua baraza lake la mawaziri la kwanza kabisa, nilijua kuwa matumaini hakuna tena, ilikuwa ni wine ya zamani katika kiriba kipya, what we got was the some flavor,
huwezi kusema Kikwete ni mzuri ila wasaidizi wake ndo wabaya, Je yeye hilo halijui huu mwaka wa saba wa utawala wake bado anawasidizi walewale, ukiwa na mke mzinzi unamuacha, lakini na wewe ukiwa ni mzinzi pia hakuna shida mnaendelea kuishi kwa kuwa hakuna wakumnyooshea mwenzanke kidole.
Jakaya hawezi kuwa wajibisha hao mashoga zake kwa kuwa wanajuana, kuna msemo usemao ukimwaga mboga mi namwaga ugali, Kama Jakaya angekuwa msafi asingekuwa na kigugumizi cha kutoa maamuzi magumu, hana kauli zenye msimamo, anawaogopa hata wabunge wakawaida kabisa wa ccm kwasababu anaogopa ni kinanani wapo nyuma yao.
Si vibaya kama ukiamua kuunga mkono kwani siasa kwa wengine ni imani, hata ukiambiwa chama chako kinapeleka nchi pabaya wewe unaona sawa tu.
kumuunga mkono tu haitoshi'unapaswa kumshauli aache ushikaji kwenye uteuzi anaofanya pia avae sura ya Uongozi iliaweze kuchukua hatua nakuwawajibisha wateule wake...yeye nirais wa nchi anashindwaje kuhutubia wananchi na kuelezea msimamo wake kuhusu posho mpya za wabunge? mbona aliweza kuwaambia wafanyakazi 315000 hailipiki? angalia mgomo wa madaktari kuna ugumu gani wayeye kutoa kauli za matumaini kwa madaktari na kuwaamulu viongozi wawizara wajiuzuru? usidanganywe na tabasamu watanzania wenzako wanateseka na mfumuko wa bei, Tanzania yaleo hata chai na mkate waslesi nianasa....kweli wanasiasa niwatu wabinafsi sana wanapaswa kuwa nao makini sana...binafsi siamini lakini naomba wote tujiulize hivi TANZANIA NI NCHI MASIKINI KWELI........? mungu Ibariki tanzania.
JK rais makini kabisa wanaomkwamisha ni wachache wenye uchu wa madaraka na ubaguzi wa namna flani hivi
kaka nakuambiaje, tumuunge mkono utaona mambo yake! kwa sasa anakosa sapoti ya maana ndani ya chama, kama vp namshauri ahanzishe chama kipya mbadala wa ccm
Nimetafakari sana mwenendo wa nchi yangu na kugundua kuwa mwenye tatizo si rais, yaani jakaya Mrisho Kikwete.
Nimebaini kuwa huyu jamaa anaipenda sana nchi yake na watu wake tena kwa dhati, ila tatizo linakuja kwa viongozi au wasaidizi wake aliowachagua, chukulia mfano rahisi hawa mawaziri wake, wanashindwa hata kutoa mahamuzi ya maana mpaka rais aingilie kati! vingozi wa wizara ya afya wanasubiri nini kujiuzuru au mpaka JK aseme ndo wajiuzuru?
Kwanini kila mtu anakuwa msemaji wa chama? Mara Lowasa kasema hivi, mara Kinana, mara Sumaye, mara Pinda, mara Makinda, mara Sitta, mara Nyalandu, mara Nape, mara Mukama!
Hapa tatizo ni urais wa 2015. Hata kama anakosea ndo rais wetu mpaka baada ya miaka 4 iliyobaki, JK atafanya mangapi kama wasaidizi wake wanawaza urais badala ya kumsaidia kutatua kelo za walalahoi? kila msaidizi wake amekuwa mchumia tumbo! kuanzia sasa JK nakuunga mkono, piga wote chini hawa mawaziri ambao hawakusaidii weka wapya bado una muda wa kutosha kurudisha mvuto wako na wachama.
Tengeneza serikali ya wanaokutii na ambao wako tayari kukuunga mkono katika kuinua uchumi wa wananchi. Anza na wakuu wa wilaya na wakurugenzi wengi wapo tu hawakusaidii kitu zaidi ya kujimilikisha maaridhi ya wananchi na kula fedha za pembejeo. Angalia maliasili kwa jicho la kulia wanakuzunguka na kuuza wanyama, si ajabu hata vifaru uliowaleta wameshawauza.
Mzee kuwa mkali usiwachekee wanakudharu miaka 4 iliyobaki inakutosha kutimiza ahadi zako. Kuanzia sasa natangaza rasmi kuunga mkono mpaka utakapo staafu ila kumbuka kufanya maamuzi magumu.
Pinda hakusaidii ameshachoka anakuongezea mzigo nae piga chini akalime tu weka mtu wa kukusaidia katka nafasi hii.
Haya ni mawazo yangu kwa rais wangu JK, tafadhali nikosoe kwa ustaarabu nilipokosea.
Naomba kuwasilisha.

Ametumia Uhuru wake wa kutoa maoni kama wewe unavyoamini Regardless Lowasa na JK wote wawili hawana sifa za kuwa Marais wa nchi hii.hoja yako ni dhaifu sana