Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

Huyo ndie watu wanataka awe Rais, hivi sasa anatembea na kuzaa na mke wa mtu, kwa nguvu. Huyu mzee ndio maana Upadiri ukamshinda. Tena akichunguzwa huko isiwe ndio yale tuliyozowea kuyasikia Kanisa katoliki.
 
Duh yaani hapo ndio utachoka na wadau wengine wa CHADEMA, ingekuwa amefanya baba Mwanaasha hapa mapovu yangewatoka sana tu.

Kwa hili Dr amekosea.
 
Ndoa ya mama josephine na mumewe wa kwanza imeshavunjika (japo sio kisheria); hivyo ni swala kupata makaratasi tu period..maana amezini na kuzaa nje ya ndoa halali (kisheria)..

Slaa hii kitu itamsumbua sana mbeleni; namshauri aje mbele ya umma (break the ice); aombe msamaha kwa yaliyojiri katika maisha yake ya ndani (Upadre, mapenzi na ndoa ); wafungue ukurasa mpya..

Akifanya hivi by 2013 anaweza kuwa-convice watu wengi na hata mimi nitamuamini kwamba ni muungwana, otherwise ubabe wake hapa kakosea au watu mujuni tunasema "ameingia panapendwa na wengi"
 
Hii issue ni ya kisheria zaidi(Family Law). Kulikuwa na separation kati ya mumme wa zamani na Josephine ya zaidi ya miaka 3. Hiyo ni ground inayo sustain divorce proceeding. Ameenda mahakamani(primary court) kupa decree of divorce.
 
Tayari huyo mwanamke amezaa nje ya ndoa, na yeye hamtaki huyo mume wake anataka kitu ya kimbulu, hapo tayari panaonyesha kuna adultery on part of her na kama yeye hamtaki huyo jamaa mahakama haiwezi kuwalazimisha wakae pamoja watakuja kuuana bure.
Huyo jamaa angewahi kuomba fidia ya ugoni ajipatie bingo sasa kawahiwa tayari na huyo mama chaujanja.
Ila kama walitengana kutokana na maelezo ya hapo juu, basi hapo ndio ground inayoonyesha hawa wanandoa hawawezi kuishi pamoja tena kwa amani, yani mmetengana miaka mitatu na mke kapata jamaa na mimba juu na talaka anadai, sasa huyu mwanaume anasubiri nini kukubali tu kuwa hapo hakuna ndoa?
Tusubiri mahakama lakini.
 
Mkuu heshima yako. Una hoja lakini ungeacha matusi hoja inaweza kufika bila matusi kama neno ma........ Ni ukweli usiopingika kwamba ukiamua kuwa public figure basi kila kitu chako kinakuwa subject to public scrutiny. Ndio maana huko nyuma tulikuwa hatunywi na viongozi, wao walikuwa na club zao ili hata kama wakifanya uchafu uwe unajulikana kwa wao tu. Hivyo basi hili sakata la Josephine na Dr limefanyika publicly na public ina haki ya kuliuliza na kulijua kwa kuwa Dr. Slaa ni public figure. Mimi nikichikua mke wa mtu hakuna atakayesumbuka na mimi lakini akitokea mtu maarufu akafanya hivyo inakuwa news. Pia nikukumbushe kwamba Dr. Slaa alikuwa Padre na siyo mchungaji. Padre akishapata sakramenti ya upadrisho hawezi kupata sakrament ya ndoa vivyo hivyo mtu awaye yote akishapata sakramenti ya ndoa hawezi kipata sakramenti ya upadrisho. Hivyo basi kwa imani za kanisa katoliki Padre Slaa hawezi kuoa ndoa takatifu.

Kwa maana hiyo anaruhusiwa kuvunja AMRI ya sita kwa kila mwanamke amtake kwa kuwa hana mipaka?
 
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.
 
Alitaka tumpe Urais kumbe ni mwizi wa wake za watu!
Kumbe Josephine hajawahi hata kupewa talaka na Bw.Mahimbo?
kwa kiswahili fasaha huu ni ufuska uliokubuhu.

Heri ufuska kuliko ufisadi, heri ukimwi kuliko ccm, ulishaona wapi mwanamke akaibiwa? vuvuzela ccm. tunataka mabadiliko
 
Upeo wa kufikiri ni muhimu sana kwa watanzania. Nathubutu kusema Masaburi alivyosema kuna watu wanafikiria kwa kutumia makalio kuna uhalisia fulani. Si vizuri kutembea na mke wa mtu akiwa kwenye ndoa. Kwa Waislam Mme anaweza kumpa mke talaka kadhaa na kisha kumuacha. Kwa Wakristo talaka hairuhusiwi ila kama atakwenda kwenye vyombo vya nchi na kithibitiso anaweza toa talaka. Kwa upande mwengine mtu anapokuwa na mke afu mamekorofishana na kila mtu anakaa kivyake hapo hata kama mpo kwenye ndoa ni kama hakuna ndoa!. Pia kitendo hicho kinaweza kusababisha mwanandoa mmoja wapo kutembea na mme au mke mwingine pasina habari kwa mmoja wao. Hii ndio hali halisi ya Dr Slaa. Kulikuwa na kutengana kati ya mme wa zamani na Josephine kwa zaidi ya miaka 3. Hicho ni kigezo tosha kilicho ashiria hitaji la divorce !. Narudia japo Kikristo haikubaliki ila wawili wanapotengana ndoa inakuwa kama imevunjika
 
Huyu ndio Rais mtarajiwa, si atakuwa anaiba wake za watu kama kuku huyu! NI DHAIFU WA NAFSI HAFAI KUWA RAIS ! wanawake wote Tanzania UKAIBE MKE WA WATU ! SHAME ON SLAA ! SHAME ON CHADEMA ! aiseeee ! UDHAIFU WA NAFSI HUU SI ATAKUWA PIA DHAIFU WA PESA ZA WANANCHI HUYU! HUYU TUSIMPE URAIS JAMANI!
 
bi josephine mushumbushi ambaye ni mke halali wa bwana aminieli mahimbo amemfikisha kortini ktk mahakama ya mwanzo manzese mumewe bwana mahimbo akidai apewe talaka, kesi yao ambayo imepangwa kusikilizwa tarehe 8 mwezi wa 2 mwaka huu. Mwanamke huyo kwa sasa anaishi na dr slaa na tayari wameshazaa mtoto mmoja mwenye umri wa miezi takribani 5. Ikumbukwe bwana mahimbo alimshitaki mahakama kuu dr, slaa kwa kumtangaza hadharani mke wake huyo bi josephine kuwa ni mchumba wake na kesi hiyo inaendelea kusikilizwa.

Kwa maana hiyo Rais mtarajiwa amezaa na mwanamke bila kumuoa ! tendo hili likifanywa kati ya mwanamume na mwanamke bila kuoana huwa tunaita nini? wasuheli watueleze!
 
Wanaotoa comment kushusu silaa na wa mtima wake josephine ni wajinga 2 binafsi naona ile issue ni personal affears ya silaa na kipenz chake so ukiingilia mwingine wa tatu we mchawi.
 
Back
Top Bottom