Recent content by Iflema

  1. Iflema

    Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

    Timu ipo daresalaam ila asili yake ni koromije
  2. Iflema

    Kwa wapenzi wa Nigerian music

    Kuna nyimbo za kinaija zmewahi nifanya nitaman kufika Nigeria asee: Wizkid-Ojuelegba Falz x Simi-Soja/chemistry Mr Eazi-Leg over Davido-aye Wizkid-Sound it/in my bed Mavins-Dorobuci/adaobi/looku looku Mayorkun-Eleko/mama Kiss daniel-Laye/woju remix/mama/yeba Dija-awww Don jazzy x P...
  3. Iflema

    Salim Kikeke siyo kwa ubaya ila ni ushauri tu, punguza mbwembwe na mikogo

    Kila anayefuatilia kipindi tajwa atakubaliana na wewe kwa angalau asilimia 80 ila apo kwa Liverpool aendelee ivyo ivyo coz I'm a Red devil
  4. Iflema

    Mwana JF unaweza kueleza maana ya avatar yako?

    Mimi yangu inawakilisha Jina LA kapten wa timu ya KILAZA fc
  5. Iflema

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mgogoro au ugoro?
  6. Iflema

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Soko ni mahali unapopata bidhaa zote kinagaubaga
  7. Iflema

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Vizuri vyajiuza vibaya vyajitembeza
  8. Iflema

    Harmo rapa, Sugu waenda Clouds kuwapa pole kwa kuvamiwa

    Hamorapa ni true definition ya maisha hayana formula
  9. Iflema

    Jenerali Ulimwengu ashauri Makonda ashitakiwe kwa kuvamia kituo cha Clouds

    Na ww ni unashiriki kwenye kumshikisha makonda ukuta nn? Maana sio kwa mahaba hayo
  10. Iflema

    Main chick

    Maua sama namwelewa sana hasa kigongo chake cha SISIKII
  11. Iflema

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wapi ambapo naweza kumuona kamanda sepetu?
  12. Iflema

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Dar inaongozwa na kilaza
  13. Iflema

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Namwona kanisani namwona msikitini yaani kwa kifupi yukoyuko
  14. Iflema

    Alikiba, justin bieber, bruno mars ndani ya jukwaa moja

    Daaah Asisahau kwenda na Hamorapa tuu aseee maana ana ngoma mpya kali
Back
Top Bottom