South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,139
Habari wakuu nimekuta bandiko katika ukurasa wa Prof. Jay kuhusu kukamatwa kwa msanii ROMA na kuchukuliwa kwa baadhi ya vitu vya studio ya Tongwe record sijui ni kiki au kweli? Mwenye kujua kinachoendelea.
=======
Baada ya kuzagaa kwa taarifa kuhusu kukamatwa kwa Msanii Roma Mkatoliki akiwa studio na kupelekwa kusiko julikana, Muungwana Blog imefika katika studio za Tongwe Records jijini Dar es salaam ambapo mkasa mzima ulikuwa hivi;
Kwa mujibu wa Mashuhuda (Majina yanahifadhiwa) walio ambao pia wanaishi katika nyumba ambayo inapatikana studio ya Tongwe, wameijuza Muungwana kuwa April 5, 2017 ambayo ilikuwa ni jana, katika majira ya Saa moja jioni ilionekana gari aina ya Noah nyeusi nje ya studio hizo, ambapo walishuka watu zaidi ya Watano na kuingia ndani ya studio hizo.
Watu hao bila ya kujitambulisha walitamka kuwa wanamuhitaji Roma na mwenzake ambapo walimchukua na kutoka nae nje, na baada ya muda kidogo walirejea ndani na kuwachukua wengine watano akiwemo na Prodyuza wa studio hiyo Anayeitwa Moni.
Mbali na kuwachukua watu hao pia mashuhuda hao wemeeleza baadhi ya vifaa vya studio hiyo pia vimebebwa ikiwemo TV, na Computer.
Kwa Mujibu wa Mwanasheria wa Studio hiyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Edin ameiambia Muungwana Blog kuwa nikweli tukio hilo limetokea na mpaka sasa hawajui Roma na wenzake wamepelekwa wapi na hivyo hawezi kuelezea zaidi mpaka atakapojua walipo wakina Roma, ambapo aliongeza kuwa anakwenda kuripoti katika kituo cha polisi cha Oysterbay Jijini humo.
Chanzo: Blogs
Mada kuhusu kutekwa kwa Ibrahim Musa (Roma Mkatoliki)
1. Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki
2. Kutekwa kwa Roma: Wasanii na wanafamilia ya Roma wafanya mkutano na wanahabari
3. Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo
4. Tutampataje Roma kwa kutumia namba zake za simu?
5. TAMASHA la XXL Dodoma lagubikwa na simanzi, umati wamyoshea mabango waziri!
6. Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’
7. Wazara ya Habari, Utamaduni, sanaa na Michezo, haijui ROMA alipo
8. Special thread: Kampeni ya kumsaka Roma nchi nzima kila sehemu
9. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Nimeshtushwa kwa kupotea Roma na wenzake
10. Social Media Reactions as unknown people kidnaps ROMA-Mkatoliki
11. Paul Makonda: Haitafika Jumatatu kabla hatujampata Roma
12. Kupotea kwa Roma Mkatoliki: Kibatala, Lissu na wanasheria wa TLS kufanya yao
13. Paul Makonda: Haitafika Jumatatu kabla hatujampata Roma
14. Sugu: RC akisema atawatoa akina Roma Jumapili, ni kazi gani amewapa ambayo anajua hadi siku hiyo
15. Sirro: Sakata la kina Roma kutekwa ni jambo la kawaida, awashangaa wasanii na Makonda kuingilia
16. Roma Mkatoliki na wenzake wapatikana, wapo Kituo cha Polisi Oysterbay
===============
Soma Zaidi kwa Wasanii wengine waliofungiwa

- Roma afungiwa miezi sita kujihusisha na sanaa
- Basata yaufungia nyimbo ya lady jay dee "one time"
- Whozu, Mbosso na Bill Nass wafutiwa adhabu ya kufungiwa, watalipa faini tu
- Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar
- Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza
- Mwaka 2023, Unakukumbusha tukio gani kwenye Tasnia ya Sanaa, Burudani na Michezo?
- Macheyeki: BASATA iifungulie Mara Moja Wimbo wa Ney wa Mitego
- BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni
- Msanii Snura afungiwa kujihusisha na sanaa, TCRA waagizwa kuifuta video ya Chura mtandaoni
- Gigy Money afungiwa miezi 6 na BASATA
- BASATA angalieni jinsi wasanii wanavyohamasisha ngono chafu
- Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
- Kuhusu mwimbaji wa nyimbo za dini Sifa Bujune anayeshikiliwa na polisi kinyume na sheria Mbeya
- Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo