Compactor D6
Senior Member
- Mar 8, 2017
- 104
- 33
Balaaa litaletwa na siasa za kibaguzi wala si Gen Ulimwengu.Ulimwengu, Mimi namuona kama mchochezi na anataka kuleta attention ya wazungu maana anajipendekeza.
Hadi pale, Mr. Ulimwengu hana cha kupoteza na siyo mzawa.
Asituletee bala za asili ya nchi zake kuleee.