Kwa wapenzi wa Nigerian music

Kwa wapenzi wa Nigerian music

Kuna nyimbo za kinaija zmewahi nifanya nitaman kufika Nigeria asee:
Wizkid-Ojuelegba
Falz x Simi-Soja/chemistry
Mr Eazi-Leg over
Davido-aye
Wizkid-Sound it/in my bed
Mavins-Dorobuci/adaobi/looku looku
Mayorkun-Eleko/mama
Kiss daniel-Laye/woju remix/mama/yeba
Dija-awww
Don jazzy x P square-Collabo

And the list goes on
 
Kuna nyimbo za kinaija zmewahi nifanya nitaman kufika Nigeria asee:
Wizkid-Ojuelegba
Falz x Simi-Soja/chemistry
Mr Eazi-Leg over
Davido-aye
Wizkid-Sound it/in my bed
Mavins-Dorobuci/adaobi/looku looku
Mayorkun-Eleko/mama
Kiss daniel-Laye/woju remix/mama/yeba
Dija-awww
Don jazzy x P square-Collabo

And the list goes on
Hahahahah et kutaman kufka 9ja,,mkuu Hawa jamaa wako vzr
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] acha tu mkuu japo na nyingine napenda ila hizi nyimbo zinaletaga kimzuka flani hivi cha kucheza hata kama hujui
hahaha ngoma za ki9ja znachezeka sana,,,

na dj's wao wako vzr sana kwenye mixing ,,,ukiskliza playlist zao dah
 
machache usiyoyajua khs Mr.Eazi

Cha kwanza jamaa ni Mghana
Pia degree horder wa Mechanical Engineering aligraduate pale KNUST(kwameh Nkrumah university of science n technology)
Jamaa toka anasoma alkuwa anadream za kuwa musician,so alpomaliza chuo pale KNUST aliajiriwa Schumbergher,,, moja ya kampuni kubwa Duniani kwenye Oil, Gas n Petroleum aliajiriwa km mechanical engineering

Baada ya kuchanga mkwanja wa kutosha ilibd aitose kampuni hyo na kujoini moja kwa moja kwenye Music Industry

Ngoma ilomtambulisha vyema zaidi Ilikuwa Skin Tight
Baadhi ya majarida makubwa duniani km The Fadder wanasema skin tight Ilkuwa ngoma kubwa Sana na ilfanya vzr kwenye mainstream
Baada ya skin tight kubreak the record ilfanyiwa remix kbao

Na hyo ngoma ndo ilimfanya kumuungansha kufanya kazi na star boy Wizkid ,,
Toka amedrop skin tight,, ameshadrop hit song kbao km leg over, na Kapewa collaboration nyingi sana

Pia ameshachukua awards mbalimbali

Kikubwa ni kuwa kauchukua muziki wa Ghana na kuupeleka Nigeria kisha kwenda k u take over!!

Haya ni machache khs Mr. Eazi jamaa anakuambia life is simple hata vdeo zake Hana complication is too simple

ba10431b1ef85c9c48dc5a139e9ecd6b.jpg
 
Souti soul wamewakubali Sana wanaija

Melanie ft Patoranking
Girl next door ft Tiwa Savage
African star ft Burna boy,,, na zote ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Souti soul wamewakubali Sana wanaija

Melanie ft Patoranking
Girl next door ft Tiwa Savage
African star ft Burna boy,,, na zote ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji91] [emoji91] [emoji91]
ila girl next door kwangu ndo [emoji91] [emoji91] zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom