Recent content by Icon P

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

    Rav 4 family car?
  2. I

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari ipi kwa safar ndefu

    Rav 4 family car?
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Abdul Nondo alijiteka, alikuwa amejipulizia hadi Pafyum

    Do Dogo ni out spoken.. Kwa mara ya kwanza nilimuona kipindi cha malumbano ya hoja ITV.. Ana kila sifa ya kufanyiwa anachofanyiwa sasa.. Dogo ni threat kwa serikali yoyote ya kipumbavu isiyotaka kukosolewa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wahenga,Hiz series Time trax,Counterstrike na Renegade mnazikumbuka?ITV asante kwa kutukuza

    PASSION:theresa, ethan, gwen, miguel, luis, sherdan crane, charity, Hank, Ivy, Russel, Tabitha, Timmy.. ... . Was my favourite.. ilifungiwa kuonyeshwa baada ya wabunge kulalamika haina maadili. Nilimind sanaaa. Matrix, Acapulco bay, La Mujer di mi vida, mr cooper, Damon, Bill cosby...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Acha mbwembwe.. haupo neutral
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi Dar es Salaam, je nitapata nyumba ya kuishi mjini?

    Nyumba za uswahilini hizo
  7. I

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Deja vu Tafuta hiyo mada uielewe vizuri
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    Mara Mtatiro, mara Mbowe, mara Mange Kimambi.. Kuweweseka tu..
  9. I

    JamiiForums Tanzania TRA: Askofu Kakobe hana fedha wala akaunti binafsi ila Kanisa lina akaunti yenye Sh. Bilioni 8.1; amemwomba Rais radhi

    Baje "Hera".... Asante mtoto wa Bakhresa
  10. I

    JamiiForums Tanzania Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali…

    Hizo mbinu ni kwa demu bikra na asiye na maisha magumu
  11. I

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

    Yani msemaji wa chama anatumia kitengo cha mawasiliano cha Ikulu kuwasiliana na wanachama wa CCM? Ni makusudi au ushamba.?
  12. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kwenda Ikulu Kumpongeza Magufuli, Kilichofanya Kuwa Big News, ni Lowassa na Sio Rais Magufuli!, Why?-Jicho Letu

    Lowasa hawezi siasa za ushindani. Dunia nzima ni very unusual upinzani kusifia chama tawala kwa sababu ya kuepuka kumpa advantage mshindani wako wa kisiasa.. Rejea kauli zake, "zamu yetu kkkt kuwa na Rais" Kwa kauli hiyo Nampe aliitumia kumchapa "mtaangalia vizuri ilani kwenye Internet kwa...
Back
Top Bottom