Wahenga,Hiz series Time trax,Counterstrike na Renegade mnazikumbuka?ITV asante kwa kutukuza

"Visual more Salma". Nadhani nimepatia neno la Lambert kumuita binti yule, hata sikuelewa yule alikuwa ni nani ila kale ka rimoti kake ndo nilikaelewa.

Reno Lens na Bobby, na ile nyingine ya Chief Justice.....
Ndo kipindi tulikuwa tunaangalia Superman ITV, katuni maarufu kule CTN.

Nadhani bado sijafikia Uhenga...
 
Nilikua nampenda renagade na ile ya v wanavaa nguo nyekundu ya kula panya wana ngozi za bandia

Umenikumbusha na ROBOCOPY nilikuwa naipenda sana alafu kipindi icho ndo mzee amenunua tv alafu anatembea na rimoti yaani anazima tv alafu anakwenda na rimoti bar, mara kazini yaani nilikuwa sipendi

Hapa gheto nilinunua flat kwa hasira maana sio kwa kuninyanyasa kule tena naiacha on yaani nikikumbuka ata sitaki kwenye nyumbani wakae na li tv lao na li ungo lao la gulfstar
 
"Visual more Salma". Nadhani nimepatia neno la Lambert kumuita binti yule, hata sikuelewa yule alikuwa ni nani ila kale ka rimoti kake ndo nilikaelewa.

Reno Lens na Bobby, na ile nyingine ya Chief Justice.....
Ndo kipindi tulikuwa tunaangalia Superman ITV, katuni maarufu kule CTN.

Nadhani bado sijafikia Uhenga...
daah...umenikumbusha enzi hizo mkuu aisee
 
daah...umenikumbusha enzi hizo mkuu aisee
Ukisema enzi hizo utakuwa unatuzeesha sana, kwani katuni za Tom & Jerry, Himen, Double Dragons, Simpsons, Kimber, Turtles n.k si tulikuwa tunaangalia miaka ya 1994 na kuendelea kabla hatujaanza kuangalia NWO ya kina Lex Luga na Macho men, kisha movie ya V itv, mara Monkey, wakaja Days of our lives, Robocop, Passion, Accapulco, Sunset......kama hivyo yani!

Ni juzi tu ndugu, usiseme "enzi hizo".....
 
Mortal combat hiyo ilikua jumapili kwenye saa tano hivi ikishatoka vibe, mortal combat ilikua ya mateso sana kuisubir maana saa tano miaka hiyo ni usiku sana maana unasubiri vibe iishe unashangaa kimakuja kipindi cha ajabu wakat umeitarget mortal C
 
wale wenzangu wa KBC enzi hizo
THE CROW
WALKER TEXAS RANGERS - Chuck Norris hapa hata kuoga nilikuw siogi
VITIMBI - Mwala,Ojwang,Mama Kayayii
 
Ukisema enzi hizo utakuwa unatuzeesha sana, kwani katuni za Tom & Jerry, Himen, Double Dragons, Simpsons, Kimber, Turtles n.k si tulikuwa tunaangalia miaka ya 1994 na kuendelea kabla hatujaanza kuangalia NWO ya kina Lex Luga na Macho men, kisha movie ya V itv, mara Monkey, wakaja Days of our lives, Robocop, Passion, Accapulco, Sunset......kama hivyo yani!

Ni juzi tu ndugu, usiseme "enzi hizo".....
kuna hii THE BOLD AND THE BEAUTIFUL nilikuwa siipendi kabisa
 
PASSION:theresa, ethan, gwen, miguel, luis, sherdan crane, charity, Hank, Ivy, Russel, Tabitha, Timmy..
... . Was my favourite.. ilifungiwa kuonyeshwa baada ya wabunge kulalamika haina maadili. Nilimind sanaaa.

Matrix, Acapulco bay, La Mujer di mi vida, mr cooper, Damon, Bill cosby, camila.................
 
RENEGADE.

Vipindi vya mwanzoni, mwanzoni kurushwa ITV.

Natamani enzi zile zingebaki vile vile bila kubadilika.

ITV walikuwa wana Vipindi vizuri sana
 
Back
Top Bottom