Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

Paragraph 6: Julius hakujipa cheo alichonacho, alichaguliwa na mkutano halali wa CUF. Siyo anaota, ni kweli Mange anawaendesha. Na atawaendesha kwelikweli. Kwani aliyewaagiza Uhamiaji wamtie nguvuni Mange akionekana kwenue mipaka
 
Kwani aliyeagiza Uhamiaji kuwa Mange atiwe nguvuni popote atakapoonekana katika mipaka ya nchi alikuwa ni Baba wa Taifa? Unakumbuka kauli za Simon Siro? Na yule aliyepeleka malalamiko Instagram HQ alikuwa ni Nabii Tito? Mange siyo anawaendesha, yeye anawaburuza- brutally dragged.
 
Paragraph 7: Haki, una akili kweli wewe? Ni kweli kuwa hujui Mtatiro ndiye muajiri wa hao Polisi? Ni kweli hujui kuwa kazi kuu ya hao polisi ni kumlinda Mtatiro na Mali zake? Hivi kuna muajiriwa aliye juu ya muajiri? Kuna muajiri ambaye ni "ndiyo mzee", hana mamlaka ya kuhoji utendaji wa muajiriwa wake? Hill linawezekana tu kwenye nchi ya Kichaa inayoongozwa na Mfalme Juha.
 
Paragraph 8: Mtatiro angekuwa rais wa nchi hata kwa mwaka mmoja tu, tusingekuwa hapa. Mtatiro ninayemfahamu mimi asingemuua JIRANI yangu Danny, kijana mbichi kabisa. Very innocent! Mtatiro huyu asingempiga Risasi Tundu Lissu-Julius is very humble. Kamwe asingeweza kumshambulia mtu anayekuonesha doa la mavi ya kunguru kwenye shati lako jeupe, mgongoni. Ukiwa na busara, mtu wa namna hiyo unapaswa kumshukuru. Si vema hata kidogo kumlinganisha na huyu aliyesema yeye akiwa rais, watu watalimia meno, badala ya majembe tuliyozoea, cha!
 
Waendelee kukuua huku umejificha kwenye mtandao???? Nenda kaandamane kama unataka wakuue
Kwani unajuaje sikuandamana, na unajuaje kuwa sitaandamana?Lazima tukate shingo na hilo bichwa la Sizonje pumbavu zake tuwape kunguru
 
UJUMBE HUU AUSOME Ndg. JULIUS MTATIRO

Na Kalisto Joseph

Wewe na kundi la CUF-Maalim Seif umejipa cheo cha Mwenyekiti wa Muda wa CUF. Najua kuna mvutano lakini uwehu unaoufanya mitandaoni nashindwa kuelewa ni Mwenyekiti wa Muda wa CUF au ni Mwenyekiti wa Muda wa kitengo cha instagram, whatsapp, facebook na tweeter.

Kutwa kucha mitandaoni unamtukana Rais, utukana Jeshi la Polisi, unatukana Usalama wa Taifa, unadhalilisha chombo muhimu JWTZ, achilia mbali wanasiasa walio tofauti na mlengo wako.

Nakuona mwehu kwa sababu sijaona anayekujibu hata mmoja.

Labda tukumbushane tafsiri ya mwehu. Mwehu ni mtu anayesemasema hovyo, kutoa kauli za kuudhi watu, kutukana, kufanya matendo machafu halafu kwa sababu jamii inamtambua ni mwendawazimu inampuuza na kuachana nae. Muda wote anabaki anafukuzana na watoto na kucheza naowakati mwingine, huku watoto wakichukua tahadhali kubwa kwa sababu kuna wakati akili zinaweza kumtuma jambo baya zaidi na akawadhuru.

Sasa ndg yangu wewe umesahau kuwa umejipa cheo kikubwa, umebaki unashambulia viongozi kwa unazi wako wa kisiasa. Hata hushtuki kama hakuna anayekujibu? Unapuuzwa kama anavyopuuzwa Mange Kimambi yule mwendawazimu aliyejificha Marekani na anaota kuwa ataendesha siasa za Tanzania kwa kutumia mitandao.

Hebu angali maandiko yako. Najiuliza hivi unavyowachokonoa hivi polisi lengo lako nini? Au unatamani ukung’utwe ili upate kiki ya kisiasa?

Yaani kwa mwendo huu ndio uwe ni kiongozi wa chama kinachotaka kuongoza nchi. Sipati picha hiyo nchi itakuwa nchi ya namna gani.

Yaani hapa ndio naona kwa nini wana CUF waliona bora ya Prof. Lipumba, hapa ndio naona kwa nini walikupiga chini ubunge.

Kutwa kucha wewe ni kutukana tu na kuwajaza watu hasira kwenye mitandao. Sasa hicho chama cha CUF ndio kinajengwa kwa mtindo huo, kweli Maulid Mtulia hakuwa na namna nyingine zaidi ya kutoka maana hilo lilishakuwa kundi lisilomfaa.

Halafu kesho na keshokutwa ukikamatwa kwa makosa ya mtandao ambayo na sheria ipo utaanza ninaonewa. Nani na wapi duniani huko unakowadanganya watu kuna demokrasia ya kweli wanafanya uwehu unaoufanya wewe hapa?

Huko Marekani unakokusifia mwaka jana pekee kulikuwa na matukio 35 ya mauaji ya kutumia bunduki, tena mengine ni mauaji ya watu wengi.

Juzi tu kuna mwanafunzi kaua wenzake 17. Marekani bunduki zinanunuliwa kama simu. Wewe kazi yako kuwatia hofu watanzania tu.

Najua utalisoma andiko hilo. Na nyie vyombo vya dola wakati mwingine mnatumia nguvu nyingi kukabiliana na matukio yanayochochewa na hawa wehu kama Julius Mtatiro why are you sparing these cantankerous.

Unajua tufike mahali kama Taifa tuwe na mwelekeo. Hii biashara wengine wanajenga wengine wanabomoa itafika mahali wenye nia ya kujenga watasema enough is enough. Wakati huo wehu kama nyie akina Mtatiro hamtamuona Polisi wala mwana usalama yeyote, tutawashughulikia sisi wananchi wenyewe.

Binti wa watu Akwilina (Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema) amepoteza maisha kwa upuuzi huu huu na uwehu wa akina Mbowe na akina Mtatiro.

Unawahamasishaje wananchi waandamane wakati unajua ni kinyume na sheria?

Unawahamasishaje watu waandamane wakati unajua kuwa Polisi watawapiga mabomu na mkiwazidi nguvu watapiga risasi za moto?

Unawahamasishaje watu waandamane wakati unajua purukushani zikitokea zitawaathiri hata wasio na ushabiki wa siasa?

Hivi mtoto mtukutu akihamasisha watoto wa mtaani waende kuogolea kwenye mto wenye mamba na kisha mtoto mmoja akaliwa na mamba, mwenye kosa ni mamba au ni mtoto mtukutu aliyewapeleka wenzake kwenye mto wenye mamba?

Unajua watanzania tufike mahali tukatae upuuzi na uwehu wa akina Mtatiro na Mbowe. Hawa wanataka kwenda Ikulu kwa gharama za damu za Watanzania. This is unfair!!!

Hatujiulizi kwa nini Mbowe na wenzake baada ya kuhamasisha watu waanze kuandamana wao walikimbia na kujificha?

Najua Mtatiro umenisoma na wengine mmenisoma.
Mwehu kweli huyu, yaani anaacha kumlaumu mkurugenzi aliyechelewesha viapo na barua ili kulibeba liccm then analaumu wwngine?? Hata cc wananchi tusiokuwa na shule tumeshayajua maovu yenu, shame on you
 
Kwani wewe uliemwandikia unacheo gani,mpaka upate nguvu ya kuyasema hayo?!!,unavunja katiba makusudi na kwa dhamira kabisa kutaka mtatiro asiongee,mbona wewe unaongea?!!
 
Huyu mwandishi wa vitisho dhidi ya mtatiro, Mbowe na upinzani kwanza hana hoja (maskini wa fikra), pili mchumia tumbo, tatu hajui anachoandika, nne aliyemtuma naye hajui aluchomtuma, tano si mwelewa wa katiba, utawala wa sheria na democracy.

Mkuu bado kabisa wewe, heshimu upinzani pengine bila hata huo upinzani ccm ungekosa kazi kwa mabwana zako
 
Dah! Mkuu kama umejichanganya vileee! Ngoja kwanza bhaaanaa, kuna pahala umeandika mtatiro ni mwehu kwakuwa watu hawamjibu na humpuuza ndo mana nawe ukampachika huo wehu.

Swali langu: Ni kivp kawa mwehu Kwakuwa anapuuzwa na watu kwa kutomjibu ingawa wewe umemjibu? Sasa nawe tukuweke kundi lipi kwa kumjibu huyo mwehu?
Yeye angefuata ule msemo wa kiingereza usemao Never argue with a fool, people may never see the difference.
 
Huyu mwandishi atakuwa ni miongoni mwa yale mashangingi ya UVCCM yanayojipendekeza kwa Makonda.
 
UJUMBE HUU AUSOME Ndg. JULIUS MTATIRO

Na Kalisto Joseph

Wewe na kundi la CUF-Maalim Seif umejipa cheo cha Mwenyekiti wa Muda wa CUF. Najua kuna mvutano lakini uwehu unaoufanya mitandaoni nashindwa kuelewa ni Mwenyekiti wa Muda wa CUF au ni Mwenyekiti wa Muda wa kitengo cha instagram, whatsapp, facebook na tweeter.

Kutwa kucha mitandaoni unamtukana Rais, utukana Jeshi la Polisi, unatukana Usalama wa Taifa, unadhalilisha chombo muhimu JWTZ, achilia mbali wanasiasa walio tofauti na mlengo wako.

Nakuona mwehu kwa sababu sijaona anayekujibu hata mmoja.

Labda tukumbushane tafsiri ya mwehu. Mwehu ni mtu anayesemasema hovyo, kutoa kauli za kuudhi watu, kutukana, kufanya matendo machafu halafu kwa sababu jamii inamtambua ni mwendawazimu inampuuza na kuachana nae. Muda wote anabaki anafukuzana na watoto na kucheza naowakati mwingine, huku watoto wakichukua tahadhali kubwa kwa sababu kuna wakati akili zinaweza kumtuma jambo baya zaidi na akawadhuru.

Sasa ndg yangu wewe umesahau kuwa umejipa cheo kikubwa, umebaki unashambulia viongozi kwa unazi wako wa kisiasa. Hata hushtuki kama hakuna anayekujibu? Unapuuzwa kama anavyopuuzwa Mange Kimambi yule mwendawazimu aliyejificha Marekani na anaota kuwa ataendesha siasa za Tanzania kwa kutumia mitandao.

Hebu angali maandiko yako. Najiuliza hivi unavyowachokonoa hivi polisi lengo lako nini? Au unatamani ukung’utwe ili upate kiki ya kisiasa?

Yaani kwa mwendo huu ndio uwe ni kiongozi wa chama kinachotaka kuongoza nchi. Sipati picha hiyo nchi itakuwa nchi ya namna gani.

Yaani hapa ndio naona kwa nini wana CUF waliona bora ya Prof. Lipumba, hapa ndio naona kwa nini walikupiga chini ubunge.

Kutwa kucha wewe ni kutukana tu na kuwajaza watu hasira kwenye mitandao. Sasa hicho chama cha CUF ndio kinajengwa kwa mtindo huo, kweli Maulid Mtulia hakuwa na namna nyingine zaidi ya kutoka maana hilo lilishakuwa kundi lisilomfaa.

Halafu kesho na keshokutwa ukikamatwa kwa makosa ya mtandao ambayo na sheria ipo utaanza ninaonewa. Nani na wapi duniani huko unakowadanganya watu kuna demokrasia ya kweli wanafanya uwehu unaoufanya wewe hapa?

Huko Marekani unakokusifia mwaka jana pekee kulikuwa na matukio 35 ya mauaji ya kutumia bunduki, tena mengine ni mauaji ya watu wengi.

Juzi tu kuna mwanafunzi kaua wenzake 17. Marekani bunduki zinanunuliwa kama simu. Wewe kazi yako kuwatia hofu watanzania tu.

Najua utalisoma andiko hilo. Na nyie vyombo vya dola wakati mwingine mnatumia nguvu nyingi kukabiliana na matukio yanayochochewa na hawa wehu kama Julius Mtatiro why are you sparing these cantankerous.

Unajua tufike mahali kama Taifa tuwe na mwelekeo. Hii biashara wengine wanajenga wengine wanabomoa itafika mahali wenye nia ya kujenga watasema enough is enough. Wakati huo wehu kama nyie akina Mtatiro hamtamuona Polisi wala mwana usalama yeyote, tutawashughulikia sisi wananchi wenyewe.

Binti wa watu Akwilina (Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema) amepoteza maisha kwa upuuzi huu huu na uwehu wa akina Mbowe na akina Mtatiro.

Unawahamasishaje wananchi waandamane wakati unajua ni kinyume na sheria?

Unawahamasishaje watu waandamane wakati unajua kuwa Polisi watawapiga mabomu na mkiwazidi nguvu watapiga risasi za moto?

Unawahamasishaje watu waandamane wakati unajua purukushani zikitokea zitawaathiri hata wasio na ushabiki wa siasa?

Hivi mtoto mtukutu akihamasisha watoto wa mtaani waende kuogolea kwenye mto wenye mamba na kisha mtoto mmoja akaliwa na mamba, mwenye kosa ni mamba au ni mtoto mtukutu aliyewapeleka wenzake kwenye mto wenye mamba?

Unajua watanzania tufike mahali tukatae upuuzi na uwehu wa akina Mtatiro na Mbowe. Hawa wanataka kwenda Ikulu kwa gharama za damu za Watanzania. This is unfair!!!

Hatujiulizi kwa nini Mbowe na wenzake baada ya kuhamasisha watu waanze kuandamana wao walikimbia na kujificha?

Najua Mtatiro umenisoma na wengine mmenisoma.
Hivi ni kwanini awamu hii kuna ongezeko kubwa la wajinga?
 
Usimpangie mtu cha kuandika kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake kwa kile anachoamini ni sahihi.

UHURU WA MAWAZO UHESHIMIWE.
 
Njaa huleta mawazo ya kipumbavu kama ya mtoa mada. Sijui unapata faida gani unapobeza upinzani ambao kazi yake ni ku-challenge serikali ili ijisahihishe pale inapokosea kwa ajili ya ustawi wa jamii
 
Aisee ni kwamba upo la saba B au buku saba imekudatisha?

Back
Top Bottom