Recent content by Ibrahim2b

  1. I

    JamiiForums Tanzania Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

    Inawezekana...tunaweza kumuongeza Sidney Sheldon Na kwa inspirational books Born a crime ya Noah na Biography ya Steve Jobs are currently the best kwangu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

    James Hadley Chase....ana vitabu vizuri sana dizaini ya Willy Gamba...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa: Alichofanya Makonda ni kitendo cha kinyama

    haurekebishi mhalifu kwa kufanya uhalifu., kiongozi jukumu lakr ni kusimamia sheria na sio kuvunja au kujichukulia sheria mkononi......... common sense is not common anymore.....
  4. I

    JamiiForums Tanzania Abdullah Kassim Hanga: Kutoka Kiongozi hadi adui wa mapinduzi ya Zanzibar

    Hivi ndio vitu tunavyopaswa kupata jamii forum....ni chakula cha akili.....
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kuagiza rice combine harvester toka China

    Hongera sana
  6. I

    JamiiForums Tanzania CAG: Hakuna ufisadi NSSF

    Kaaa kati.......
  7. I

    JamiiForums Tanzania CAG: Hakuna ufisadi NSSF

    Asa tatizo ni wewe Abunuwas hata sio mzalendo....
  8. I

    JamiiForums Tanzania CAG: Hakuna ufisadi NSSF

    Inakera sana unapomtetea au kumponda mtu kwa sababu ya dini....inakera na inaboa
  9. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    Tanzania inaongoza kuwa na wanafiki....
  10. I

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe serious: Lugha ya Rais inatusaidia nini?

    Mkuu hata kwa utaratibu wako wa kufikiri hata kushindwa kuongea kiswahili sio tatizo unaweza kuwasiliana tu kwa lugha yako ya asili na ukatafuta mkalimani afafanue.....
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe serious: Lugha ya Rais inatusaidia nini?

    Tunachojua ni kuwa katiba inakitambua kingereza kama lugha rasmi ya ofisini na kufundishia kwa hiyo kutoijua vizuri ni tatizo....
  12. I

    JamiiForums Tanzania Fikra Pevu: Lowassa alipwa mamilioni na Wasomali

    Common sense somitimes matters...now days unaweza kusajili biashara kama stationery but ukafanya zaidi ya kazi hamsini za ziada .., na usidhani kwa uwezo wa Lowasa akafungua biashara inayoingiza laki mbili... acheni uvivu wa kifikiri
  13. I

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Tutarudi na roho zetu?

    Dah bonge la simulizi..thank yuu
  14. I

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu, njoo kivingine!

    Nadhani ni ushauri wa busara sana kama mleta mada akienda pale british council itamsaidia sana ...
Back
Top Bottom