CAG: Hakuna ufisadi NSSF

CAG: Hakuna ufisadi NSSF

Polen sana..

Najua inawaumiza sanaaa...

Dr Dau is smart...wewe tokea lin msomi wa madrasa akawa kibaka?
Yule aliyetumbuliwa kule mawasiliano ni darasa la ngapi vile?

Ndo maana akili zako zinafanana na nguo za big show
 
Sio wakristo kaka, ni washenzi wachache kazi yao ni kuchafua watu mitandaoni na haswa JF kwa faida yao binafsi.. Dr Dau ni msafi na mchapa kazi hilo halina ubishi wwt na wakristo kwa waislamu wanamtambua kwa hilo.. Dini pembeni huyu ni mmoja wa wachapakazi wachache tulio nao nchini.. Keep it up Dr Dau
 
Teh teh teh angekuwa wa kigango nssf kingekuwa kituo cha ufisad ila watu was madrsa wanamuogopa mungu hata esrow kiliusika kiganga watupu madrasa hakuna hata mmoja
 
Gazeti gani hili lenye makengeza?
kwa akili ya kawaida yale magazeti mengine uyapendayo yataandika habari hii mbaya kwao? umesahau siku zote ndo yalikuwa mbele kumchafua huyo jamaa?
nchi hii mpo wapumbavu wengi sana. watu badala ya kufikiria maendeleo wengine wanawaombea wenzao mabaya. nachelea kusema mngelaaniwa kabisa.
 
Yule aliyetumbuliwa kule mawasiliano ni darasa la ngapi vile?

Ndo maana akili zako zinafanana na nguo za big show
jiulize ana muda gani tangia ateuliwe? sidhani kama ana hata mkataba mmoja ameingia na tenderer yoyote maana ana miezi tu pale. tumia akili kufikiria sio masaburi bwege wewe.
 
Sio wakristo kaka, ni washenzi wachache kazi yao ni kuchafua watu mitandaoni na haswa JF kwa faida yao binafsi.. Dr Dau ni msafi na mchapa kazi hilo halina ubishi wwt na wakristo kwa waislamu wanamtambua kwa hilo.. Dini pembeni huyu ni mmoja wa wachapakazi wachache tulio nao nchini.. Keep it up Dr Dau
natamani nchi yetu ingejaa wazalendo kama wewe. very positive way of thinking.
 
Teh teh teh angekuwa wa kigango nssf kingekuwa kituo cha ufisad ila watu was madrsa wanamuogopa mungu hata esrow kiliusika kiganga watupu madrasa hakuna hata mmoja
hawawez elewa hao jamaa maana wana vichwa lakini hawafikirii kwavyo hata kwa yale yaliyowazi kabisa kama hayo.
 
Mkuu hakuna alosema hivyo ila ni kigazeti cha ZZK kinaandika ujinga maana nae ni jipu akiwa PAC na upigaji hela huko Nssf soma mwananchi ndo kwenye taarifa kuwa Nssf hakuna ripoti ya CAG kwa kuwa haikuwa na board
achana na hao mwananchi maana nao ni walewale tu. soma ripoti yenyewe ya CAG (pg 420) ipo humu. usipende kutafuniwa au kuandaliwa kama akufanyiavyo kabla ya kukuanza.
 
Back
Top Bottom