CAG: Hakuna ufisadi NSSF

CAG: Hakuna ufisadi NSSF

mbona mwanzoni mlisema ni ripoti ya CAG? au huyu mnaemuongelea ni yupi? au ni kipi kilikuwa chanzo cha taarifa yenu?
Ufisadi upo, ila source sina. Kiwanja kununuliwa kwa mil 800 utadhani kipo kariakoo? Mradi wa kigamboni bridge kuwa na thamani kubwa kuliko daraja la china lenye km 41 wakati kigamboni ni m 600 pekee lkn gharama kubwa kuliko la china. Value for money haipo.

Lkn pale ngedere anapopewa kumlinda ngedere kwenye shamba la mahindi
 
nakushangaa hutaki kutaja source wakati mwanzo mlisema ripoti ya CAG. kwa taarifa yako ukaguzi umefanyika kwa kushirikiana na campuni ya kimataif ya ERNEST AND YOUNG. better unyamaze.
 
nakushangaa hutaki kutaja source wakati mwanzo mlisema ripoti ya CAG. kwa taarifa yako ukaguzi umefanyika kwa kushirikiana na campuni ya kimataif ya ERNEST AND YOUNG. better unyamaze.
Sawa mkuu Abunuwasi
 
Duhh! Dau amekuwa kama nabii wa imani fulani. Tusubiri... Kwa nini zinatumika nguvu kubwa hivi kumpigania huyu bwana mkubwa.
 
CAG tutabanana mitaani haini shida nyie waoneni watanzania shimo la taka. Ipo siku isiyo na jina tutakuwa shimo takatifu. Endeleeni na kutuzuga. Sisi kawaida yetu wapoleeeee.
 
jinsi ulivyo bwege badala kusoma ripoti ya CAG unatuletea taarifa za udako. ripoti ya CAG ipo humu na kila kitu ina page 420. jisomee acha majungu.
Abunuas,unajua kuna ripoti ngapi?
Wewe umeisoma ipi?
Mimi ninazo zote,na sasa nasoma ripoti ya mashirika ya umma.Nitaleta yaliyomo kwa ufupi tu nikimaliza kuisoma na kuielewa,na hapo ndio nitaweza kuchangia lolote.
 
Kweli hakuna ufisadi ila matumizi mabaya ya fedha na madaraka yalikuwa ya kupita kiasi
Ndugu wachangiaji wa mada naona kuna ushabiki au mahaba badala ya ukweli na hata hili gazeti sidhani kama muandishi na mhariri wake wamesoma vizuri ripoti ya audit.

Audit imefanywa na kampuni ya Ernst & Young kwa niaba ya GAC. Kweli mahaba ni upofu kwani ripoti inaonesha ukiukwaji wa maadili, kutofuata sheria na tararibu na matumizi mabaya ya madaraka na fedha. Mfano ni ununuzi wa plot kibaha, madale nk, utata katika kupewa tenda kwa kampuni za Azimio ambayo pia ni ZAK katika kazi nyingi, kutofuata sheria hata katika kulipa stahiki wa wanachama kama sheria inavyotaka, na mengi mengineyo.

Hapa hatumzungumzii Dk Dau kama individual ila kama kiongozi wa shirika kubwa. Jamani tuache kujitoa ufahamu.

Tusubiri wahusika wana maoni gani katika hiyo ripoti, ni safi au chafu wao watatuambia sisi wananchi bila kujali nani anahusika. Na mwisho wa siku hatua zipi zinachukuliwa.
 
binafsi nimekereka sana na chuki zetu. nilijua fika kuanzia mwanzo kuwa hapa linaundwa zengwe tu la kumchafua huyu jamaa kwani hamjaanza leo wala jana. mnakera kwa kifupi.

Hachafukiwi mtu ni facts tu,tena kuna ishu ya kuwahonga wabunge 89 tshs 17bilion mwezi December 2015 bila utaratibu na mnufaika mmojawapo ni mhagama sasa subirini timbwili lake.
 
Sio wakristo kaka, ni washenzi wachache kazi yao ni kuchafua watu mitandaoni na haswa JF kwa faida yao binafsi.. Dr Dau ni msafi na mchapa kazi hilo halina ubishi wwt na wakristo kwa waislamu wanamtambua kwa hilo.. Dini pembeni huyu ni mmoja wa wachapakazi wachache tulio nao nchini.. Keep it up Dr Dau

Dau mwivi
 
Ndugu wachangiaji wa mada naona kuna ushabiki au mahaba badala ya ukweli na hata hili gazeti sidhani kama muandishi na mhariri wake wamesoma vizuri ripoti ya audit.

Audit imefanywa na kampuni ya Ernst & Young kwa niaba ya GAC. Kweli mahaba ni upofu kwani ripoti inaonesha ukiukwaji wa maadili, kutofuata sheria na tararibu na matumizi mabaya ya madaraka na fedha. Mfano ni ununuzi wa plot kibaha, madale nk, utata katika kupewa tenda kwa kampuni za Azimio ambayo pia ni ZAK katika kazi nyingi, kutofuata sheria hata katika kulipa stahiki wa wanachama kama sheria inavyotaka, na mengi mengineyo.

Hapa hatumzungumzii Dk Dau kama individual ila kama kiongozi wa shirika kubwa. Jamani tuache kujitoa ufahamu.

Tusubiri wahusika wana maoni gani katika hiyo ripoti, ni safi au chafu wao watatuambia sisi wananchi bila kujali nani anahusika. Na mwisho wa siku hatua zipi zinachukuliwa.
Daah mkuu watu wengine ni kuwaacha tu, inaweza kuwa lugha gongana ndio maana wanasema hakuna ufisadi, kununua acre 1 kwa zaidi ya milioni 800 mtu anaona ni sawasawa, kumlipa mkandarasi wa umeme kule mwanza wakati mkataba unaonesha pesa ilikuwa katika mkataba wa mkandarasi wa jengo, huyu Azimio ni fisadi wa kutupa akishirikiana na wafanyakazi wa NSSF
 
Duhh! Dau amekuwa kama nabii wa imani fulani. Tusubiri... Kwa nini zinatumika nguvu kubwa hivi kumpigania huyu bwana mkubwa.

Hata mimi nashangaa mkuu. Tatizo ni kuchanganya mambo. Nguvu kubwa inatumika sijui kwa maslahi ya nani. Imani ya mtu ni amali yake mbele ya Mungu wake, uwe mpagani au muumini wa dini ya asili ni wewe huhitaji kuungwa mkono ili uepuke adhabu ya ahera kama utakuwa umemkosea Muumba wako. Sitamuunga mkono mtu kwa kuwa tunaimani moja kwani sijui matendo yake mbele ya Mungu wake. Hivyo nawasihi binaadamu tusitumie nguvu sana kumpigania binaadamu ambaye humjui ila Mungu tu ndiye amjuaye. Mwisho wa yote siku ya mwisho na ya hukmu uzuri na ubaya utajulikana.

Tujikite katika mada kwa ajili ya kujenga si majungu.
 
achana na hao mwananchi maana nao ni walewale tu. soma ripoti yenyewe ya CAG (pg 420) ipo humu. usipende kutafuniwa au kuandaliwa kama akufanyiavyo kabla ya kukuanza.

Hebu utuwekee hyo pg 420 mi sjaiona mkuu
 
Daah mkuu watu wengine ni kuwaacha tu, inaweza kuwa lugha gongana ndio maana wanasema hakuna ufisadi, kununua acre 1 kwa zaidi ya milioni 800 mtu anaona ni sawasawa, kumlipa mkandarasi wa umeme kule mwanza wakati mkataba unaonesha pesa ilikuwa katika mkataba wa mkandarasi wa jengo, huyu Azimio ni fisadi wa kutupa akishirikiana na wafanyakazi wa NSSF
Ni kawaida tu mbna kariakoo chin ya robo heka wananunua kwa 1b
 
which is which? ufisadi au udini?
Ni udini, yani waislam kupewa hio nssf wanaona sijui kama nin... Wakati office nyingine wao wapo zaid ya 90% wanasahau kuwa na madrasa sikuizi wanatoa degrees
 
hehehe kumekucha!!!! hutawaona wakichomoza komo cruseda wote waliokua wakimuombea nabaya dr.
 
Back
Top Bottom