bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 543
Nashukuru kwa link na ukweli wenyewe nilishaisoma kwenye the East African.
Suala lenyewe sasa. Kwa uelewa wangu au upeo wangu wa lugha ya malkia, Ulimwengu hakumpigia chapuo EL katika makala hiyo. Kinyume chake anakejeli iweje mposaji atoe mgodi wa dhahabu wakati baba mkwe mtarajiwa anataka ng'ombe wawili tu wa kulimia?
Sure, the article was ironical! Nitashangaa sana kama Lowassa aliipenda hii article. Ilikuwa ni kejeri iliyoandikwa kwa lugha ya upole.