Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,610
Kumekuwa na viji-mada vya kipuuzi kuhusu Kiingereza kibovu cha Rais JPM.
Nina maswali kwa wanaoibua hivi vijimada au wenye wao la kuibua mada hizi za kipuuzi:
Tuibue vitu vya msingi na vya manufaa kwa Taifa. Hii leo Rais akiwa anaongea first class English inatusaidia nini Watanzania? Hivi watu wa mataifa mengine wakisoma mada kama hizo si wanatuona Watanzania wote kama vichaa hivi?
Tuache ujinga!
UPDATE
Kwa wanaokomaa kuwa English ndio kila kitu kwa Rais wa nchi pitia hii link ujielimishe kwa viongozi wengine duniani kuwa English sio kila kitu kama mnavyoitukuza ktk Urais!
Narendra Modi may join the list of world leaders who don’t want to speak English
Nina maswali kwa wanaoibua hivi vijimada au wenye wao la kuibua mada hizi za kipuuzi:
- Kiingereza sio lugha ya asili kwa Watanzania. Kitu cha muhimu kwa kiongozi wa serikali ni uwezo wa kusoma, kuelewa na kuandika "common English". Hakuna aliyethibitisha Rais hajui hilo.
- Rais ana wasaidizi wa kutafsiri chochote kilichoandikwa ikiwa ni kwa lugha ya kisheria au vyovyote vile na anaweza ku-commission watu wowote kuifanya kazi hiyo panapokuwa na msingi wa kufanya hivyo
- Lugha ya kigeni au lugha nyingine kwa maana hiyo haijawahi na haitakuwa kipimo cha utendaji kazi, au uwezo wa ufahamu wa mambo. Kuna watu wengi waliozifanyia nchi zao mengi mazuri na mema na hawakuwa wanajua vyema lugha ya Kiingereza. In fact wengine wao hawakujua kabisa kiingereza.