Recent content by ibrahim kisili

  1. I

    LL.B 1st class holder

    usisubiri kuajiliwa tutafutane tufanye kazi za kisheria.....yaepach@yahoo.com
  2. I

    Biharamlo tunaibiwa

    wote mmechangia vyema na inaonyesha mnaifahamu vizuri biharamulo na watu wake, kitu kimoja tu mi nitasema kuhusu biharamulo, halmashauri ya wilaya kuna watu ni kama miungu watu, na wanawatu wao wanaowatumia kwa njia ya kuwapa tenda then wananufaika wote, mji ule barabara zake huwa hazibadiliki...
  3. I

    Tarehe ya interview UDOM

    Kwenye website yao wameweka majina tu bila kusema ni tarehe ngapi....please mwenye kufahamu anisaidie. Regards.
  4. I

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Tuachane na hayo mambo hayajengi jamani, kama ndio hivyo mbona hatukushuhudia haya ya leo? mbona makanisa hayakuchomwa moto? mbona waislamu hawakuwekwa ndani kwa wingi kiasi hiki? me nadhani huu si wakati wa blaablaa ni wakati wa kulifikiria hili kwa kina na kuja na hoja za msingi za kujenga na...
  5. I

    Udini ukabila na taifa maskini

    Nashangaa sana tunaposhabikia swala hili humu ndani kwa kuwa naimani watu waliomo humu tunaouwezo wa kujadili maswala mazito, familia zetu leo hii nyingi zimeoleana waislamu na wakristo, sie tumekua hatuoni tofauti kati ya ukristo na uislamu ila watoto wetu wa sasa haya wanayoyaona naimani...
  6. I

    Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

    Nasikitishwa sana na hali inayoendelea Tanzania, nawaonea huruma wananchi wa Tanzania kwa maana tunachokitaka hatuna uzoefu nacho wala mahala pa kukimbilia, lakini zaidi nawaonea huruma wakina mama na watoto. Nimekua nikiiangalia hii hali nasikitika sana, matusi yanayotolewa humu jamii forum kwa...
  7. I

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Kwamba withdraw benefit haitakuwepo, na mashirika yaliyokua yanatoa yalitoa kimakosa sasa haipo na badala yake mwanachama atakua akitumia hiyo pesa kama collateral for home mortgage....kichekesho kweli
  8. I

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Jamaa hoja yao kubwa imebase kwenye hii provision... Collateral 38.-{ 1) The Minister may, in consultation with the Authority, make for home regulations for using benefit entitlements as collateral for home mortgage purposes for a member who has not attained the age of retirement. Wakiwa na...
  9. I

    Learned brothers comeon!!!!!!!!!!!

    Jamani tujitokeze na tutoe ufafanuzi juu y dhana nzima ya kutojadili swala lililoko mahakamani...ongezeko la kuitumia mahakama kama kivuli inanitia kinyaa na niaibu kwa wanasheria nchini. Kwa nini katika maswala mazito mara moja tunakimbilia mahakamani na kudai tunaheshimu sana mhimili huo kwa...
  10. I

    Dk Ulimboka

    Hivi kesi ya msingi ni ipi? mpaka tusijadili ili swala? me nadhani majadiliano hayatakiwi kuathiri mwenendo wa shauri lililoko mahakamani ila kujadili kuteswa na kutekwa kwa dk ulimboka ni swala linalojadilika kabisa kabisa
Back
Top Bottom