Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

Status
Not open for further replies.
Tumeshakua na rais muislam kwa miaka 10 inatosha ni zamu ya mkristo kushika nchi... Wote tunajua na hatujawahi kua na rais kutoka kaskazini so ni zamu yao pia... Kikwete katufundisha kua wadini na wakabila vilevile

Duh! Zam zam sikuiz .....so tukitoka kaskazini tunaelekea wapi?
 
Hongera mkuu kwa Uchmbuzi ila Umesahau kutaja Hosp kuu za Rufaa za KCMC na Bugando ambazo wenzetu walijinyima na kujenga pamoja na mashule Lukuki.
 
Ndugu wana jf,hii ni hoja binafsi na ni mawazo tu,muandishi hatahusika kwa suala lolote litakalojitokeza,ni jukumu la mtu binafsi kutafakari.
Mauaji ya rwanda ya mwaka 1994 kuanzia mwezi april hadi mwezi july na kusababisha mauaji ya zaidi ya raia millioni 1 wasiokuwa na hatia,vuguvugu hilo la ukabila halikuanza siku moja,lilianza muda mrefu na wala hakuna kiongozi aliyejitokeza kupambana nayo hiyo hali.wakati huo rais alikuwa ni mhutu ambaye kabila lake hilo walikuwa wanataka kuliangamiza na kulifutilia mbali kabila la watutsi,rais habyarimana(mhutu)aliuawa ktk ndege iliyolipuliwa akiwa na rais wa burundi,baada ya tukio hilo ndipo mauaji yakaanza kwa wahutu kuwaua watutsi,thanx kwa kiongozi mwanamapinduzi kagame aliyeona mbali na kuanzisha kundi la waasi wanaopinga utawala dhalimu unaoendekeza ukabila, na alifanikiwa kuingia madarakani na kuleta mabadiliko makubwa sana,nenda sasa hv rwanda uone kama kuna suala la wahutu na watutsi tena,vivo hivyo kwa tanzania,serikali imeendelea kulifumbia macho hili suala la udini,kuna dini moja inataka yenyewe ijulikane kama vile ipo na wanajichukulia sheria mikononi bila kukemewa,ilhali hata rais aliyepo madarakani ni dini yao still wanajiona inferior kwa dini ya kikristo,waligomea sensa,serikali ikawa kimya,wakafukua mtoto aliyezikwa bagamoyo,wamechoma makanisa,wamechanachana biblia ktk kanisa moja na kama ungetaka kuuona moto ujaribu kuchana kitabu cha dini yao,wanaona furaha damu inapomwagika,je tanzania kuna dini moja tu?mbona zingine kama wakristo,washia,etc hatuwaoni kuandamana kama hao,na je ikitokea hali kama ya rwanda kwa rais wa kipindi hicho aliyekuwa anaendekeza ukabila ikimtokea rais wetu(kwa kweli siungi mkono hii hali kumtokea tafadhali,hii ni hoja tu) je hawa wenzetu watatuacha hivihivi kweli ama ndio jihad dhidi yetu wengine itatushukia,tafakari,tafakari,kwa nguvu zangu zote naupinga udini,naamini kuna viongozi mtauona huu ujumbe naomba hili suala la udini lifanyiwe kazi haraka kabla halijaota mizizi.asante,Mungu ibariki africa,Mungu ibariki tanzania
 
Unaandika thread bila kutoa ushahidi hiyo si hulka ya wasomi makini. Matukio hayo unayosema yametokea kwa sababu ya nini? kwa mfano kufukuliwa kaburi, kwanza unatoa habari ya uongo, mwenye mtu aliyekuwa amezikwa ndie aliyefuka mwenyewe baada ya kumsihi afukue! wewe unaona kwa akili yako ni sahihi mkristo kuzikwa kwenye makaburi ya Waislamu? Naomba ufanye uchunguzi ni kwanini hakuzikwa kwenye makaburi ya wakiristo. Nakuomba baada ya kufahamu ukweli urudi hapa hapa kwenye Jf utangazie umma. Kwa nini makanisa yamechomwa??? Lini muislamu aliwahi kuchana biblia? Waambieni wchungaji wenu wabadilishe jinsi ya kuwafundisha wafuasi wao juu ya Uislamu kukomesha matukio ya kudharau matukufu ya Waislamu. Hili ni tukio la tano la kudhalilishwa kitabu kitukufu kwa hapa TZ tu acha huko duniani. Kama hali hii haitazuiwa basi ni kweli utulivu utatoweka kwani amani haijawahi kuwepo tangu uhuru bali upo waoga na utulivu.
 
Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:


  • Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

    Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

    Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

    Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

    Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

    Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele:


    "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC".


    Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.

    In 1970 Nyerere invited to the State House the then Secretary General of the Tanzania Episcopal Conference, Fr. Robert Rweyemamu and the Pope’s Representative to Tanzania Mgr. Giovano Cerrano. Among other things Nyerere told his guests that he was doing every thing in his power to strengthen Catholicism in the country. He also requested them to go and inform the Bishops that he had established a Department of Political Education in TANU (the ruling and only political party at that time), and that he had appointed a Christian Reverend to head that department, not because of his competence as a political analyst, but because of his strong faith as a Christian. His responsibility was to guide and control the political direction of the party. He also informed them that in the Party’s National Executive Committee (NEC) two members were Reverends. He said he believed that was the best way of ensuring that the party got good people(van Bergen, 1981:333-336).


    It is quite obvious that by “good people” Mwalimu Nyerere meant Christians in general and Roman Catholics in particular. It is not surprising therefore that Sivalon (1992:49) reports that in the same year 1970 Roman Catholics could boast that they constituted 70% of the 75% elected Christian members of Parliament. Out of the 108 elected Members of Parliament, 23 were Muslim, 5 Traditionalist and 80 Christian. Throughout his rule Nyerere was both President and Chairman of the ruling Party. His promise to strengthen Catholicism was not an empty one. Catholics could now use Parliament to promote their religious interests if they so wished.

Source: Mfumo Kristo
 
Mambo yote uliyoyasema hapo ni ya dini, lakini yalimuathiri vipi Mwislamu? na una ushahidi kuwa ilikuwa ni lazima kuyafuata kwa watanzania wote?, na ni kwa percentage gani yalipandikiza udini?..Je Waislamu hawakuwa na activities zozote wakati huo?...au walikatazwa kufanya chochote na Mwalimu?
Ikumbukwe kuwa Nyerere, pamoja na nchi kuwa secular yeye alikuwa na dini yake...
SASA isije kuwa mambo yake personal yanatafsiriwa kuwa alikuwa anayafanya kwaajili ya Taifa!
 
Tuachane na hayo mambo hayajengi jamani, kama ndio hivyo mbona hatukushuhudia haya ya leo? mbona makanisa hayakuchomwa moto? mbona waislamu hawakuwekwa ndani kwa wingi kiasi hiki? me nadhani huu si wakati wa blaablaa ni wakati wa kulifikiria hili kwa kina na kuja na hoja za msingi za kujenga na si kubomoa.
 
Atokee mmoja awe mkristo au muislamu tuchapane hapa mangumi, sio kuoteana na kuchoma makanisa mwenye hasira ajitokeze.
 
Ni makanisa mangapi yaliteketezwa wakati wa nyerere, ukilinganisha na serikali ya Kikwete?

Ni misikiti mingapi iliteketezwa wakati wa nyerere, ukilinganisha na serikali ya Kikwete

Ni katika mazingira gani vilitokea vikundi kama uamsho kuchinja watu kwa kisingizia cha kudai haki kwa mgongo wa dini?

Ni Polisi wangapi waliuliwa wakati wa nyereye kwa misingi ya vikundi vya watu kwa kisingizio cha kutetea dini?


Na bado, Tanganyika ikijitenga tu Unguja na Pemba zitageuka somalia, waliochapana kule mogadishu waislamu

watupu, wala mwalimu Nyerere hakuwepo kule. Najuwa mtakanusha lakini nisuala la muda tu mtakuwa wakimbizi

marekani kwa makafil
 
Wow.....ina maana waislamu walizuiwa kutoa salamu za uhuru waTanganyika? Au kutengeneza medali? au kukutana ndani ya ukumbi wa bunge (ambao ni mali ya familia ya Karimjee ambao ni Waislamu?)
 
Sasa kuanzia sasa kitimoto itakuwa ikiuzwa misikitini, maana hamtaki amani
 
Hawa ndugu zangu Waislam,wanachanganya dini na siasa sana.Angalia Somalia,Sudan,Pakistan,Nigeria,Mali,Afaghanistan na makundi mbalimbali ya Kigaidi duniani, au kuna kundi la Kigaidi la Kikristo?!.Wasipoangalia vizuri,miaka kadhaa ijayo,hii dini inaweza kutoweka dunia.Kwasababu hata huko Uarabuni,vijana wameanza kukaa pembeni na hii misimamo mikali.Vurugu kama hizi zinachangiwa na Umaskini na Ujinga.
 
toa takataka hapa, hujui chooo kipo pande gani? vidhibitisho vya kuunga...mbona serikali ya kwanza ya mwalimu ilijaa waislamu na walikuwa marafiki wake wakubwa? wao hawakuona hilo??
 
Tatizo lenu waislamu hamuwezi kukaa chini na kubuni vitu ambavyo vitakubalika na watu wote na havina matatizo kwa jamii hata mambo mlivyoiga kutoka kwa wakrito bado mmeshindwa kuyaboresha. kwa hivi sasa mnaonekana mna wivu na wakrito kwa mafanikio yao, mi naomba mjitathmini kabla ya kulalamika.

Nawaomba mtulie na mje na vitu vya maendeleo sio vitu vinavyolenga kuwabagua watanzania, watanzania bado wanashida nyingi sana zinazowakabili mnaweza kuja na suluhu ya matatizo hayo na sio kuongeza matatizo kama mnavyofanya hivi sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom