Recent content by http

  1. http

    Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

    Kula matunda na mbogamboga kwa wingi, baadae hali yako itarejea.
  2. http

    Sitasahau siku nilipopigwa kofi na jambazi

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. http

    Msaada: Kupunguza mwanga wa PC

    Update graphic drivers. Fuata step hizi. Control panel> hardware and sound> device manager ipo chini ya device and printers> display adapters ,double click. Right click adapter zotakazotokea then click kwenye "update driver software" Baada ya yote tupe mrejesho.
  4. http

    Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

    Inategemea na MTU, kama in mzembe utafanya hivyo, lakini kama unajielewa utatoka DIT vzuri. Kama hujielewi in shida.
  5. http

    Msaada: Code za M-PESA zinagoma kufanya usajili TCU, ni zaidi ya masaa 12 hadi sasa

    HATA MIMI BADO INASUMBUA, WANALETA HIVI:......................
  6. http

    Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

    NENDA DIT, LAKINI JIANDAE KWA MSULI, MAANA PALE MWENDO MCHAKAMCHAKA.
  7. http

    Nafikilia kutengeneza ndege!!

    Jiangalie sana mkuu... Tusije tukasikia mengine...
  8. http

    Nafikilia kutengeneza ndege!!

    Umesoma kozi gani...? Kama ni mechanical engineering ,itakupa wepesi kuendelea.
  9. http

    Vyuo vilivyofungiwa kuchukua MD mwaka huu

    Hata mi cjui. Ngoja tusubiri wanajamvi.
  10. http

    Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Pole sana mkuu. Naona mngekaa chini upya mlijadili suala hili, usimtimue. Maana ukioa mwingine utakuwa umesolve temporary problem by creating a permanent problem. Mtoto kulelewa na mama wa kambo wakati mama yake mzazi yu hai, ina madhara kwa mtoto kisaikolojia. Vilevile ulipaswa kuliangalia...
  11. http

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    but kumbuka kuna watu bado hawajapata pia. Let we get concerned. Lakini isiwe one celebrating while the other is in toment.
  12. http

    Asante Whatsapp umenipatia mpenzi

    wadada mna matatizo pia. Nimekutongoza umenijibu NOOO... Umeona sikufai. Nimepata mwingne, unakuja unaniita baby. Sasa mi nifanyeje. Sina namna, inabidi nifanye maamuzi magumu. EXPERIENCED..!
  13. http

    Have you ever loved someone apart form your husband/wife?

    mimi naamini huwezi penda bila kutamani. But unaweza tamani bila kupenda. Kwa hiyo uliposema amependa hajatamani, hapo umenichanganya kidogo.
Back
Top Bottom